SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Tundu anang'ara kama almasi? Kwa gharama gani?
Yaani sasa Tundu Laigwanaan Lissu ana Jina linalong'ara miongoni mwa wanaharakati, itoshe baadhi ya Wananchi. Mada ni ushahidi mmoja.
Alianza safari yake ya ajabu baada ya kutandikwa ama kurindimwa risasi.
Mbinu zake na kujitoa mhanga kwake ilimfikisha Ubeligiji-Nchi inayojulikana kwa ustadi wake wa kuchonga na kung'arisha Almasi.
Nasikia yule mzungu, jina kapuni, ndie alieshirikiana nae wakati wa Uchaguzi, na labda baadae huko Ubeligiji, yaani akiwa huko alishirikiana na beberu mahiri.
Katika korido za Antwerp? uwezo wake wa uharakati ulikutana na ufundi wa kibeberu ambako alinolewa kisawasawa? Kama Almasi vile!
Sasa anang'aa kama Almasi. Lakini kwa gharama gani?