Tundu Lissu ni clever but not Intelligent person. Ni Kiongozi mwenye papara sana na hana utulivu kabisa


Wewe uliye intelligent na mwenye kusoma the art of war, yako wapi mavitu yako sasa ili japo nawe ukapate kutambulika wamo?
 
Unaonekana uko kinyume na Lissie na tumeumia kwa pess yake
Swala la mahakama ni kweli hatuna mahakama wabunge wa serekali credinle
 

Inaonekana Lissu yupo sahihi ila aliyekurupuka ni mleta mada!
 
Uvccm unasympathize, ajabu hii

Unasema lissu siyo mzalendo,
Na Wewe bado ni mediocre ambaye hutaki lisu atuambie sababu za ndege kukamatwa ughaibini

Ukidai kuficha mapungufu ya magufuli na ccm yake ndo uzalendo
 
Nenda Oxford Dictionary uone kuna tofauti kubwa sana kati ya mtu kuwa Clever na Intelligent!

Clever person is somebody who is quick on learning and understanding but Intelligent person is somebody who is good at learning and reasoning in a logical way!

Clever person anaweza kupata alama A katika masomo ( Division 1 point 7) but anaweza kuwa siyo mtu Intelligent!
Mtu anaweza kupata makarai ( alama C ) katika masomo yake yote na akawa mtu Intelligent sana!
Being intelligent is more than just being a mere Clever!

Hizi Intelligence Bureau zote Duniani haziajiri watu kwasababu ni Clever na wamepata alama A katika masomo yao!
After all ndio maana zinaitwa Intelligence Bureaus!
 
Mwenzio ni mwanasheria ..Unadhani mikakati atakuambia Kila kitu
 

..TIGO wamevunja sheria kwa kumdukua Tundu Lissu, hilo halina ubishi.

..sasa namna ya kuwaunganisha waliodukua na shambulizi dhidi ya Lissu ni kikwazo ambacho mawakili wake watapaswa wakivuke.

..Natarajia mahakama itaweza kuwatambua wahanga wengine waliodukuliwa na TIGO. Je, TIGO ilihusika kuwadukua Ben Saanane, Azory Gwanda, Benard Membe, na wengine? Na udukuaji wa TIGO ulifanyika kwa muda gani?
 
Wewe nae utakuwa una husika na jaribio la kutaka kumfuta Tundu Lissu.
 
Kuna technics za kupresent jambo linapokuwa hot kujenga tention ili kupata hapari nyingine zaidi ili kukusaidia katika uchunguzi wako. Hapo kamkurupusha ngiri kwenye shimo lake lazima ahahe. Unajua jambo lolote zito kama hili la lisu usipo lifanyia kazi kwsa mda mrefu ktk mifumo inayokubalika unaruhusu, Bush process of ku take Action. Mpaka sasa Lisu hajaliweka hili swala kisheria kwasababu hana shahidi hata mmoja ambaye anaweza kumwambia moja kwa moja aliye kupiga Risasi ni huyu kwahiyo analipeleka kisiasa, huku akiwavutia kasi watu anao wahisi au kutonywa kuwa ndiyo hao walio fanya hilo tukio wajikamatishe wenyewe na wahusika nao ni wajanja sana. Wanajua kabisa nia ya Lisu ni nini.
 

Mwacheni afungue kesi. Punguzeni unafiki. Ameshambuliwa na hakuna uchunguzi umefanyika. Kaamua kufungua kesi mnaanza kulalamika.
 

Siku ukipigwa risasi ya mguuni moja tu, hutaongea huu ujinga. Mnataka Lissu akake kimya wakati amepata prima facie evidence ya kiwanja waliomshambulia.
 
Kampuni ya simu haiwezi kumdukua mtu hizo info zipo kwenye data base zao (kote duniani).

Serikali ikitaka hizo info uwezi zuia, kuna rules of engagement na sheria za nchi usika ambazo lazima wawe adhered too.

Msingi wa lawama zenu kwa TiGO is because Lissu told you so. Halikadhalika hakuna kampuni ya simu itatoa info za mteja wake bila ya shinikizo la serikali using specific laws.

Lissu angekuwa mteja wa Voda, Airtel, Halotel, TTCL or any other suppliers; serikali ingewafuata na ku-demand info ya track zake in the name of national security hakuna wakukataa given the law.

Lissu was too emotional kwenye speech yake, but not realistic.
 

Wewe hakuna unalojua. Tangu ushindwe kujua tofauti ya AU Chairperson na AU Commission Chairperson huwa nakuona Kama mjuaji asiyejua kitu.

Kisheria, ili serikali ivhukue taarifa za mteja ni lazima iombe kibali mahakamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…