Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Watekaji na wauaji walifikiri hawaonekani, beberu mshenzi lakini nampendea vitu kama hivi haviachagi vipite, King of Saudi alivyomuua Jamal Khashoggi alifikiri ni untouchable lakini aliishia kuwahukumu walinzi wake vifo na kulipa millions of dollars maana beberu alimwekea mchezo aliofanya wote mezani, TIGO na serikali wataishia kulipa millions bila kukubaliwa ila watajua sasa wako under surveillance, watu individuals kama Makonda na CEO wa TIGO wanaweza kuishia kufungwa Kwa muda mrefu sana