Tundu Lissu ni clever but not Intelligent person. Ni Kiongozi mwenye papara sana na hana utulivu kabisa

Tundu Lissu ni clever but not Intelligent person. Ni Kiongozi mwenye papara sana na hana utulivu kabisa

Watekaji na wauaji walifikiri hawaonekani, beberu mshenzi lakini nampendea vitu kama hivi haviachagi vipite, King of Saudi alivyomuua Jamal Khashoggi alifikiri ni untouchable lakini aliishia kuwahukumu walinzi wake vifo na kulipa millions of dollars maana beberu alimwekea mchezo aliofanya wote mezani, TIGO na serikali wataishia kulipa millions bila kukubaliwa ila watajua sasa wako under surveillance, watu individuals kama Makonda na CEO wa TIGO wanaweza kuishia kufungwa Kwa muda mrefu sana
 
Kampuni ya simu haiwezi kumdukua mtu hizo info zipo kwenye data base zao (kote duniani).

Serikali ikitaka hizo info uwezi zuia, kuna rules of engagement na sheria za nchi usika ambazo lazima wawe adhered too.

Msingi wa lawama zenu kwa TiGO is because Lissu told you so. Halikadhalika hakuna kampuni ya simu itatoa info za mteja wake bila ya shinikizo la serikali using specific laws.

Lissu angekuwa mteja wa Voda, Airtel, Halotel, TTCL or any other suppliers; serikali ingewafuata na ku-demand info ya track zake in the name of national security hakuna wakukataa given the law.

Lissu was too emotional kwenye speech yake, but not realistic.

..for the sake of this discussion tuseme Lissu "alidukuliwa. "

..huyo bwana aliyewashitaki TIGO anadai taratibu za kisheria hazikufuatwa ktk "kumdukua" Tundu Lissu.

..kwenye nchi nyingi duniani, taarifa za mawasiliano ya mteja haziwezi kutolewa na makampuni ya simu bila AMRI YA MAHAKAMA. Je, kwa hapa Tanzania sheria ikoje kuhusu suala hilo?

..Kwa upande mwingine, nadhani umma utapenda kuwajua waliokuwa wakitaka taarifa za Lissu ni kina nani. Na malengo yao yalikuwa ni nini? Je, kuna uhusiano gani kati ya hao waliomdukua na waliojaribu kumuua?

..Jambo la msingi ni Lissu apate HAKI yake.
 
Sijamshambulia bali nimeonyesha weakness yake ya ukurupukaji!
Tundu Lissu huyu si ndo hivi karibuni alituhumu Chama Chake (CHADEMA,) kimehongwa pesa! Alipotakiwa kuthibitisha kwenye Kamati Kuu yao akaruka kimanga!
Kwenye Press yake ameonyesha jinsi alivyo na uzoefu wa kukamata Ndege zetu huko Nje!
Mtu Intelligent hasemi hadharani Kila kitu anachojua!

Kosa lake lipo wapi?. Kuhusu kumkamata ndege wewe unayejiita legal brain lazima utambue alikuwa anaamanisha nini sio kuleta tafsiri zako hapa. Lissu alimaanisha kuattach property za serikali. Maana Kwa hapa bongo ku enforce decree kwa serikali ni ngumu Sana.
 
Nimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!

Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana!

Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana!
(The Art of War by Sun Zu)!

Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku akikusanya ushahidi taratibu.

Angesubiri aone pia kama Judgement ingekuwa in favor ya huyo Whistle Blower wake Michael Clifford then angekuwa kwenye position nzuri ya kufanya well informed decision!

Kaonyesha weakness kubwa sana, sema tu watu wengi ni mediocres wanamsifia tu bila reasoning ya maana!

Sana sana nimemsikia akibeza Mahakama zetu za Profesa Juma!!

Soma Pia:

Ameonyesha tamaa ya kulipwa mapesa mengi na Tigo!! Amedhihirisha pia siyo mzalendo na kumbe ni kweli Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwamba anashirikuana na maadui zetu kukamata Ndege zetu!!

Tundu Lissu ni mkurupukaji sana! Utulivu zero kabisa!
Nikukumbushe tu kuwa Lissu ni miongoni mwa mawakili au wanasheria walioshinda keai nyingi sana.
Kwa taarifa yako anaoufanya Lissu ni mchezo wa akili sana kama afanyavyo Simba porini.

Simba dume huwa ananguruma kuwatoa mafichoni wanyama na ndipo simba jike hushambulia.

Mi ccm inaenda kutolewa hadharani yajikaange menyewe🤣🤣🤣
 
Wewe hujaelewa hoja yangu!
Mimi sipangani na facts bali approach ya Mhe.Tundu Lissu katika jambo hili!
Bado liko kwenye very early stage mno ! Hakuwa na sababu ya kuita Press kwa sasa bali angekuwa mtu makini angejipa muda kwanza kufuatilia hiyo case ili kuweza kupata data za kutosha za kumwezesha ktk case yake endapo ataamua kumfungulia yeyote yule!
Sasa hapa Tundu Lissu anakurupuka mithili ya Mwajuma kandambili wa uswazi!
Mzee, pamoja na mambo mengine huu ni mtaji wa siasa pia na lazima utumike kubadilisha upepo wakati huu CCM wanajiona wameweza kuzima maandamano yao
 
Wewe hakuna unalojua. Tangu ushindwe kujua tofauti ya AU Chairperson na AU Commission Chairperson huwa nakuona Kama mjuaji asiyejua kitu.

Kisheria, ili serikali ivhukue taarifa za mteja ni lazima iombe kibali mahakamani.
Unfortunately that’s just your opinion of me, but that doesn’t define me.

That’s just your psychological thinking of me.

Halikadhalika katika kujiongeza kwangu, sifikirii kabisa kuhusu how econonist wa JF thinks of my development. .

I won’t even remember what we argued about two weeks ago if we were on the same page or in disagreement. I have so much to worry in life than live with JF debates in my mind.

Good for you if your head has space for that.
 
Tatizo wewe ndiye diyo intelligent halafu unawaona wenzako kuwa mediocre wakati in reality ni kinyume chake.

Ameeleza vizuri kuhusu ni wakati gani alitaarifiwa kuhusu uwepo wa hiyo kesi, akatulia akisubiri na wote mlikuwa hamjui kinachoendelea.

Pili, hajakurupuka, mpaka amekwenda public ameshashauriana na Wakili wake.

Kwa kilichopatikana kinatosha kabisa kufanya alichofanya na zuri zaidi inapofanyika hiyo kesi serikali haina uwezo wa kuingilia, na atakapoenda kuifungulia hiyo kesi nako serikali haitakuwa na uwezo wa ku influence maamuzi.

Hapo kukurupuka kupo wapi? Maana kama ushahidi wanao wa kutosha na wanaendelea kukusanya.

Alichoongea ni sehemu ndogo ya ushahidi uliopo na mengine ameyaongea kwa makusudi kwa lengo la kuwa trigger ili wa react
(Alichoongea ni sehemu ndogo ya ushahidi uliopo na mengine ameyaongea kwa makusudi kwa lengo la kuwa trigger ili wa react)

Hapo kwenye mabano umeongea vizuri.
Lengo kuu ni kuwatoa mafichoni wauaji waanze kujitekenya wenyewe😂
 
Nimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!

Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana!

Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana!
(The Art of War by Sun Zu)!

Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku akikusanya ushahidi taratibu.

Angesubiri aone pia kama Judgement ingekuwa in favor ya huyo Whistle Blower wake Michael Clifford then angekuwa kwenye position nzuri ya kufanya well informed decision!

Kaonyesha weakness kubwa sana, sema tu watu wengi ni mediocres wanamsifia tu bila reasoning ya maana!

Sana sana nimemsikia akibeza Mahakama zetu za Profesa Juma!!

Soma Pia:

Ameonyesha tamaa ya kulipwa mapesa mengi na Tigo!! Amedhihirisha pia siyo mzalendo na kumbe ni kweli Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwamba anashirikuana na maadui zetu kukamata Ndege zetu!!

Tundu Lissu ni mkurupukaji sana! Utulivu zero kabisa!
Hata mimi niliwaza hivyo lakini kaamua, (kukinukisha mapema), kuchafua hali ya hewa kutokana hali ya siasa ilivyo kwasasa, ushahidi anao ila ana jaribu kutahadhalisha upande mwingine kwamtindo wa jamba jamba
 
Kuna relation gani ya serikali kuomba info za Lissu kutoka TiGO na maamuzi ya kushambuliwa (kama based on that info).

Seriously watanzania mnaitaji kunyooshwa the reasoning of you people is way below developed nations.

Magufuli alikuwa soft anahitajika mtu wa kuwapa life perspective, mnaishi kwenye dunia moja ambayo mambo ni rahisi sana.

Wewe ndio unahitaji kunyooshwa. Maana unajifanya mjuaji Sana.
 
Huna hoja na wewe ni mkurupukaji na mropokaji tu kama Mhe.Tundu Lissu!
Mawazo na mikakati ya Lissu imeshajulikana!
Yeye ameshaona atashinda kesi ya mabilioni dhidi ya Tigo na Serikali na hatimaye kukamata Ndege zetu kwa ajili ya malipo yake! Very Stupid reasoning toka kwa mtu mwenye hadhi ya Lissu!A

Ndio maana Lissu anawapeleka Tigo mahakamani ili wawataje waliopewa taarifa. Halafu hapo ndipo kesi ya msingi itaanza. Hata mashushu hustakiwa.
Let's wait and see.
Ndio maana Lissu anawapeleka Tigo mahakamani ili wawataje waliopewa taarifa. Halafu hapo ndipo kesi ya msingi itaanza. Hata mashushu hustakiwa.
 
Nimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!

Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana!

Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana!
(The Art of War by Sun Zu)!

Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku akikusanya ushahidi taratibu.

Angesubiri aone pia kama Judgement ingekuwa in favor ya huyo Whistle Blower wake Michael Clifford then angekuwa kwenye position nzuri ya kufanya well informed decision!

Kaonyesha weakness kubwa sana, sema tu watu wengi ni mediocres wanamsifia tu bila reasoning ya maana!

Sana sana nimemsikia akibeza Mahakama zetu za Profesa Juma!!

Soma Pia:

Ameonyesha tamaa ya kulipwa mapesa mengi na Tigo!! Amedhihirisha pia siyo mzalendo na kumbe ni kweli Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwamba anashirikuana na maadui zetu kukamata Ndege zetu!!

Tundu Lissu ni mkurupukaji sana! Utulivu zero kabisa!
Watanzania tumejaliwa kukosoa Tuu,, Wewe Hujui lolote. Msimpangie aongelee Nini Mbona hamkumpangia mlipotaka kumuua Acha apumue. Takataka nyie
 
Back
Top Bottom