Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbuka kesi ya msingi ni huyo Mpelelezi kufukuzwa kazi na sio kuhusu waajiriwa wa tigo waliokuwa wanavujisha taarifa za Liissu.Kesi bado inaendelea, hakuna judgement imetoka! Mimi ni Legal Brain najua ninachoongea!
Usihangaike naye huyo. Umem challenge kidogo tayari anaanza story za "unanijua mimi ni nani".Kumbuka kesi ya msingi ni huyo Mpelelezi kufukuzwa kazi na sio kuhusu waajiriwa wa tigo waliokuwa wanavujisha taarifa za Liissu.
Baada ya kumwita Tundu Lissu kwa majina yote mabaya, je vimepata faida gani?Nimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!
Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana!
Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana!
( The Art of War by Sun Zu)!
Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku akikusanya ushahidi taratibu.
Angesubiri aone pia kama Judgement ingekuwa in favor ya huyo Whistle Blower wake Michael Clifford then angekuwa kwenye position nzuri ya kufanya well informed decision!
Kaonyesha weakness kubwa sana, sema tu watu wengi ni mediocres wanamsifia tu bila reasoning ya maana!
Sana sana nimemsikia akibeza Mahakama zetu za Profesa Juma!!
Ameonyesha tamaa ya kulipwa mapesa mengi na Tigo!!
Amedhihirisha pia siyo mzalendo na kumbe ni kweli Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwamba anashirikuana na maadui zetu kukamata Ndege zetu!!
Tundu Lissu ni mkurupukaji sana! Utulivu zero kabisa!
Kaka-Legal brain andiko lako limemshambulia sana TL, limekuwa personal sana. Na hukumu ukatoa kabisa, Ndivyo mnavyofundishwa huko?Kesi bado inaendelea, hakuna judgement imetoka! Mimi ni Legal Brain najua ninachoongea!
Naunga mkono hoja!, tena mimi ni school mate wake Ilboru,Nimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!
Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana!
Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana!
( The Art of War by Sun Zu)!
Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku akikusanya ushahidi taratibu.
Angesubiri aone pia kama Judgement ingekuwa in favor ya huyo Whistle Blower wake Michael Clifford then angekuwa kwenye position nzuri ya kufanya well informed decision!
Kaonyesha weakness kubwa sana, sema tu watu wengi ni mediocres wanamsifia tu bila reasoning ya maana!
Sana sana nimemsikia akibeza Mahakama zetu za Profesa Juma!!
Ameonyesha tamaa ya kulipwa mapesa mengi na Tigo!!
Amedhihirisha pia siyo mzalendo na kumbe ni kweli Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwamba anashirikuana na maadui zetu kukamata Ndege zetu!!
Tundu Lissu ni mkurupukaji sana! Utulivu zero kabisa!
Sijamshambulia bali nimeonyesha weakness yake ya ukurupukaji!Kaka-Legal brain andiko lako limemshambulia sana TL, limekuwa personal sana. Ndivyo mnavyofundishwa huko?
“Amedhihirisha pia siyo mzalendo na kumbe ni kweli Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwamba anashirikuana na maadui zetu kukamata Ndege zetu!!” Nimenukuu.
Mahakama za Uingereza sio za Jaji Juma. Hakuna Majaji wa MCHONGO kule, wala maagizo kutoka juu.Nimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!
Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana!
Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana!
(The Art of War by Sun Zu)!
Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku akikusanya ushahidi taratibu.
Angesubiri aone pia kama Judgement ingekuwa in favor ya huyo Whistle Blower wake Michael Clifford then angekuwa kwenye position nzuri ya kufanya well informed decision!
Kaonyesha weakness kubwa sana, sema tu watu wengi ni mediocres wanamsifia tu bila reasoning ya maana!
Sana sana nimemsikia akibeza Mahakama zetu za Profesa Juma!!
Ameonyesha tamaa ya kulipwa mapesa mengi na Tigo!!
Amedhihirisha pia siyo mzalendo na kumbe ni kweli Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwamba anashirikuana na maadui zetu kukamata Ndege zetu!!
Tundu Lissu ni mkurupukaji sana! Utulivu zero kabisa!
Sheria ipi inakataza Tigo isitoe taarifa za Lisu kwa Serikali?Kumbuka kesi ya msingi ni huyo Mpelelezi kufukuzwa kazi na sio kuhusu waajiriwa wa tigo waliokuwa wanavujisha taarifa za Liissu.
Pia, usisahau alichoongea Lissu ni jambo ambalo teyari liko kwenye vyombo vya habari tena kwa ruhusa ya Mahakama ya Rufaa ya Uingereza baada ya kutoa uamuzi hiyo kesi isiendeshwe kwa siri. Lissu kachambua tu taarifa ya gazeti kuhusu wafanyakazi wa tigo Tanzania kutoa taarifa zake za mawasiliano jambo ambalo ni kosa kisheria.
Nimeamini kweli wewe ni 'Legal Brain' yaani hata katikka kauli yake ile kuhusu rushwa ndani ya CHADEMA haukuilewa? Sasa wewe ni kipi ambacho huwa unakielewa?Sijamshambulia bali nimeonyesha weakness yake ya ukurupukaji!
Tundu Lissu huyu si ndo hivi karibuni alituhumu Chama Chake (CHADEMA,) kimehongwa pesa! Alipotakiwa kuthibitisha kwenye Kamati Kuu yao akaruka kimanga!
Kwenye Press yake ameonyesha jinsi alivyo na uzoefu wa kukamata Ndege zetu huko Nje!
Mtu Intelligent hasemi hadharani Kila kitu anachojua!
Kwanza tuanze na hoja hii, Je, wewe katika maisha yako umeshawahi kupigwa risasi ngapi ambazo zimeingia mwilini mwako?Nimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!
Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana!
Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana!
(The Art of War by Sun Zu)!
Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku akikusanya ushahidi taratibu.
Angesubiri aone pia kama Judgement ingekuwa in favor ya huyo Whistle Blower wake Michael Clifford then angekuwa kwenye position nzuri ya kufanya well informed decision!
Kaonyesha weakness kubwa sana, sema tu watu wengi ni mediocres wanamsifia tu bila reasoning ya maana!
Sana sana nimemsikia akibeza Mahakama zetu za Profesa Juma!!
Ameonyesha tamaa ya kulipwa mapesa mengi na Tigo!!
Amedhihirisha pia siyo mzalendo na kumbe ni kweli Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwamba anashirikuana na maadui zetu kukamata Ndege zetu!!
Tundu Lissu ni mkurupukaji sana! Utulivu zero kabisa!
RubbishNimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!

Rubbish...sasa matokeo ya kesi yanahusika vipi na the fact Tigo walivujisha data zake kwa serikali? Kesi ya Lissu haihusiani na kwamba Clifford alikuwa terminated fairly or not....wewe ndiyo umekurupukaNimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!
Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana!
Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana!
(The Art of War by Sun Zu)!
Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku akikusanya ushahidi taratibu.
Angesubiri aone pia kama Judgement ingekuwa in favor ya huyo Whistle Blower wake Michael Clifford then angekuwa kwenye position nzuri ya kufanya well informed decision!
Kaonyesha weakness kubwa sana, sema tu watu wengi ni mediocres wanamsifia tu bila reasoning ya maana!
Sana sana nimemsikia akibeza Mahakama zetu za Profesa Juma!!
Ameonyesha tamaa ya kulipwa mapesa mengi na Tigo!!
Amedhihirisha pia siyo mzalendo na kumbe ni kweli Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwamba anashirikuana na maadui zetu kukamata Ndege zetu!!
Tundu Lissu ni mkurupukaji sana! Utulivu zero kabisa!
Siamini kama unamzidi tundu Lisu elimu, exposure na maumivu aliyo nayo. Busara ungenyamaza uendelee na mishe zakoTatizo lako na Tundu Lissu ni moja!
Ukurupukaji! Hujasoma hata hoja yangu umeshakurupuka!
Mimi nimembeza Tundu Lissu anavyo approach mambo na hasa jambo kubwa kama hili!
Hapo juu nimesema Nina sympathize naye ktk masaibu yake lakini unanilaumu!
Najua hujui maana ya Sympathize na masaibu na kwa kifupi wewe ni mediocre au kilaza tu!
Mimi na wewe tunaweza kusema lolote kwa kukosoa hatua yake ya leo. Kwa sababu hatujawahi kupatwa na tukio kama lake, au la kukaribia ukubwa kama la kwake.Nimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!
Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana!
Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana!
(The Art of War by Sun Zu)!
Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku akikusanya ushahidi taratibu.
Angesubiri aone pia kama Judgement ingekuwa in favor ya huyo Whistle Blower wake Michael Clifford then angekuwa kwenye position nzuri ya kufanya well informed decision!
Kaonyesha weakness kubwa sana, sema tu watu wengi ni mediocres wanamsifia tu bila reasoning ya maana!
Sana sana nimemsikia akibeza Mahakama zetu za Profesa Juma!!
Ameonyesha tamaa ya kulipwa mapesa mengi na Tigo!!
Amedhihirisha pia siyo mzalendo na kumbe ni kweli Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwamba anashirikuana na maadui zetu kukamata Ndege zetu!!
Tundu Lissu ni mkurupukaji sana! Utulivu zero kabisa!
nafikiri umekosea kidogo ndugu yangu, kwa mimi ambaye nina practise sheria kwa mahakama za hawa ngozi nyeupe, kwenye Kampuni kubwa sana la kisheria ( bila kulitaja) nafikiri umekosea sana. Mahakamanini popote pale duniani humu ni mambo ya procedures tupu na rules of evidence. Siku ya kwanza unapelekwa kwa pilato, utaambiwa tu taja jina lako, confirm tarehe yako ya kuzaliwa na anuani yako. Baada ya hapo, utaambiwa njoo siku fulani uje usewe how do you wish to plead ( guilty or not guilty), siku ya tatu au kabla ya hapo mawakili watakuwa wamekubaliano mambo yafuatayo:Nimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!
Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana!
Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana!
(The Art of War by Sun Zu)!
Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku akikusanya ushahidi taratibu.
Angesubiri aone pia kama Judgement ingekuwa in favor ya huyo Whistle Blower wake Michael Clifford then angekuwa kwenye position nzuri ya kufanya well informed decision!
Kaonyesha weakness kubwa sana, sema tu watu wengi ni mediocres wanamsifia tu bila reasoning ya maana!
Sana sana nimemsikia akibeza Mahakama zetu za Profesa Juma!!
Ameonyesha tamaa ya kulipwa mapesa mengi na Tigo!!
Amedhihirisha pia siyo mzalendo na kumbe ni kweli Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwamba anashirikuana na maadui zetu kukamata Ndege zetu!!
Tundu Lissu ni mkurupukaji sana! Utulivu zero kabisa!
Nimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!

Sijamshambulia bali nimeonyesha weakness yake ya ukurupukaji!