Tundu Lissu ni clever but not Intelligent person. Ni Kiongozi mwenye papara sana na hana utulivu kabisa

Kesi bado inaendelea, hakuna judgement imetoka! Mimi ni Legal Brain najua ninachoongea!
Kumbuka kesi ya msingi ni huyo Mpelelezi kufukuzwa kazi na sio kuhusu waajiriwa wa tigo waliokuwa wanavujisha taarifa za Liissu.

Pia, usisahau alichoongea Lissu ni jambo ambalo teyari liko kwenye vyombo vya habari tena kwa ruhusa ya Mahakama ya Rufaa ya Uingereza baada ya kutoa uamuzi hiyo kesi isiendeshwe kwa siri. Lissu kachambua tu taarifa ya gazeti kuhusu wafanyakazi wa tigo Tanzania kutoa taarifa zake za mawasiliano jambo ambalo ni kosa kisheria.
 
Kwa haraka unaweza sema kakurupuka kweli,kwa maslahi yake binafsi angetulia kweli ushahidi uwekwe wazi hasa wahusika halisi. Je kwa maslahi mapana ya kibiashara ushahidi ukabaki siri atafanyaje?
Tusisahau zile chicken za ngambo zinajali sana maslahi ya uchumi ya kampuni zao na ushahidi unaweza potezwa.Lakini kwa maslahi ya kisiasa na propaganda ni kama amepakua supu bado ya moto ukifuatia hoja ya maandano yaliyozuiwa Jumatatu.
Amepigilia msumari hoja iliyopo mezani kijamii na kimataifa.
 
Nimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!
Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana!

Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana!
( The Art of War by Sun Zu)!

Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku akikusanya ushahidi taratibu.

Angesubiri aone pia kama Judgement ingekuwa in favor ya huyo Whistle Blower wake Michael Clifford then angekuwa kwenye position nzuri ya kufanya well informed decision!

Kaonyesha weakness kubwa sana, sema tu watu wengi ni mediocres wanamsifia tu bila reasoning ya maana!

Sana sana nimemsikia akibeza Mahakama zetu za Profesa Juma!!
Ameonyesha tamaa ya kulipwa mapesa mengi na Tigo!!
Amedhihirisha pia siyo mzalendo na kumbe ni kweli Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwamba anashirikuana na maadui zetu kukamata Ndege zetu!!

Tundu Lissu ni mkurupukaji sana! Utulivu zero kabisa!
Baada ya kumwita Tundu Lissu kwa majina yote mabaya, je vimepata faida gani?
 
Kesi bado inaendelea, hakuna judgement imetoka! Mimi ni Legal Brain najua ninachoongea!
Kaka-Legal brain andiko lako limemshambulia sana TL, limekuwa personal sana. Na hukumu ukatoa kabisa, Ndivyo mnavyofundishwa huko?

Amedhihirisha pia siyo mzalendo na kumbe ni kweli Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwamba anashirikuana na maadui zetu kukamata Ndege zetu!!” Nimenukuu.
 
Nimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!
Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana!

Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana!
( The Art of War by Sun Zu)!

Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku akikusanya ushahidi taratibu.

Angesubiri aone pia kama Judgement ingekuwa in favor ya huyo Whistle Blower wake Michael Clifford then angekuwa kwenye position nzuri ya kufanya well informed decision!

Kaonyesha weakness kubwa sana, sema tu watu wengi ni mediocres wanamsifia tu bila reasoning ya maana!

Sana sana nimemsikia akibeza Mahakama zetu za Profesa Juma!!
Ameonyesha tamaa ya kulipwa mapesa mengi na Tigo!!
Amedhihirisha pia siyo mzalendo na kumbe ni kweli Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwamba anashirikuana na maadui zetu kukamata Ndege zetu!!

Tundu Lissu ni mkurupukaji sana! Utulivu zero kabisa!
Naunga mkono hoja!, tena mimi ni school mate wake Ilboru,
P
 
Kaka-Legal brain andiko lako limemshambulia sana TL, limekuwa personal sana. Ndivyo mnavyofundishwa huko?

Amedhihirisha pia siyo mzalendo na kumbe ni kweli Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwamba anashirikuana na maadui zetu kukamata Ndege zetu!!” Nimenukuu.
Sijamshambulia bali nimeonyesha weakness yake ya ukurupukaji!
Tundu Lissu huyu si ndo hivi karibuni alituhumu Chama Chake (CHADEMA,) kimehongwa pesa! Alipotakiwa kuthibitisha kwenye Kamati Kuu yao akaruka kimanga!
Kwenye Press yake ameonyesha jinsi alivyo na uzoefu wa kukamata Ndege zetu huko Nje!
Mtu Intelligent hasemi hadharani Kila kitu anachojua!
 
Nimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!

Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana!

Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana!
(The Art of War by Sun Zu)!

Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku akikusanya ushahidi taratibu.

Angesubiri aone pia kama Judgement ingekuwa in favor ya huyo Whistle Blower wake Michael Clifford then angekuwa kwenye position nzuri ya kufanya well informed decision!

Kaonyesha weakness kubwa sana, sema tu watu wengi ni mediocres wanamsifia tu bila reasoning ya maana!

Sana sana nimemsikia akibeza Mahakama zetu za Profesa Juma!!

Ameonyesha tamaa ya kulipwa mapesa mengi na Tigo!!
Amedhihirisha pia siyo mzalendo na kumbe ni kweli Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwamba anashirikuana na maadui zetu kukamata Ndege zetu!!

Tundu Lissu ni mkurupukaji sana! Utulivu zero kabisa!
Mahakama za Uingereza sio za Jaji Juma. Hakuna Majaji wa MCHONGO kule, wala maagizo kutoka juu.
 
Kumbuka kesi ya msingi ni huyo Mpelelezi kufukuzwa kazi na sio kuhusu waajiriwa wa tigo waliokuwa wanavujisha taarifa za Liissu.

Pia, usisahau alichoongea Lissu ni jambo ambalo teyari liko kwenye vyombo vya habari tena kwa ruhusa ya Mahakama ya Rufaa ya Uingereza baada ya kutoa uamuzi hiyo kesi isiendeshwe kwa siri. Lissu kachambua tu taarifa ya gazeti kuhusu wafanyakazi wa tigo Tanzania kutoa taarifa zake za mawasiliano jambo ambalo ni kosa kisheria.
Sheria ipi inakataza Tigo isitoe taarifa za Lisu kwa Serikali?
 
Sijamshambulia bali nimeonyesha weakness yake ya ukurupukaji!
Tundu Lissu huyu si ndo hivi karibuni alituhumu Chama Chake (CHADEMA,) kimehongwa pesa! Alipotakiwa kuthibitisha kwenye Kamati Kuu yao akaruka kimanga!
Kwenye Press yake ameonyesha jinsi alivyo na uzoefu wa kukamata Ndege zetu huko Nje!
Mtu Intelligent hasemi hadharani Kila kitu anachojua!
Nimeamini kweli wewe ni 'Legal Brain' yaani hata katikka kauli yake ile kuhusu rushwa ndani ya CHADEMA haukuilewa? Sasa wewe ni kipi ambacho huwa unakielewa?
Wapi alikituhumu Chama chake ?
 
Nimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!

Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana!

Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana!
(The Art of War by Sun Zu)!

Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku akikusanya ushahidi taratibu.

Angesubiri aone pia kama Judgement ingekuwa in favor ya huyo Whistle Blower wake Michael Clifford then angekuwa kwenye position nzuri ya kufanya well informed decision!

Kaonyesha weakness kubwa sana, sema tu watu wengi ni mediocres wanamsifia tu bila reasoning ya maana!

Sana sana nimemsikia akibeza Mahakama zetu za Profesa Juma!!

Ameonyesha tamaa ya kulipwa mapesa mengi na Tigo!!
Amedhihirisha pia siyo mzalendo na kumbe ni kweli Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwamba anashirikuana na maadui zetu kukamata Ndege zetu!!

Tundu Lissu ni mkurupukaji sana! Utulivu zero kabisa!
Kwanza tuanze na hoja hii, Je, wewe katika maisha yako umeshawahi kupigwa risasi ngapi ambazo zimeingia mwilini mwako?

Tundu Lissu yuko sahihi kukosa Imani na Mahakama za Tanzania, kwa sababu Mahakama hizo tayari zimethibitisha mara nyingi Sana kwamba zina udhaifu mkubwa Sana. Kwa namna jinsi zilivyo zinavyofanya kazi zake, ni Kama Kamati za Kufanya Mapambio kwa Chama tawala na serikali iliyopo madarakani. Mahakama zenyewe kutokana na matendo yake ndio zimejishushia heshima mbele ya Wananchi, Watu wengi Sana wamepoteza Imani nazo.

Aidha, hao unaowaita kuwa ni 'maadui zetu' ni akina nani hasa?
Huyo Mzungu aliyekamata ndege alikuwa anazo sababu za msingi za yeye kuamua kufanya hivyo. Endapo kama hakuwa na sababu za msingi Wala asingeweza kufanya hivyo, dawa ya deni ni kulipa. Mlipeni haki yake huyo mzungu ili akose sababu za kuendelea kukamata hizo ndege zenu. Huyo mzungu siyo adui bali yeye anapigania haki yake ambayo ni dhahiri kabisa utawala wa nchi hii unataka kumdhulumu.
 
Nimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!

Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana!

Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana!
(The Art of War by Sun Zu)!

Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku akikusanya ushahidi taratibu.

Angesubiri aone pia kama Judgement ingekuwa in favor ya huyo Whistle Blower wake Michael Clifford then angekuwa kwenye position nzuri ya kufanya well informed decision!

Kaonyesha weakness kubwa sana, sema tu watu wengi ni mediocres wanamsifia tu bila reasoning ya maana!

Sana sana nimemsikia akibeza Mahakama zetu za Profesa Juma!!

Ameonyesha tamaa ya kulipwa mapesa mengi na Tigo!!
Amedhihirisha pia siyo mzalendo na kumbe ni kweli Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwamba anashirikuana na maadui zetu kukamata Ndege zetu!!

Tundu Lissu ni mkurupukaji sana! Utulivu zero kabisa!
Rubbish

Rubbish...sasa matokeo ya kesi yanahusika vipi na the fact Tigo walivujisha data zake kwa serikali? Kesi ya Lissu haihusiani na kwamba Clifford alikuwa terminated fairly or not....wewe ndiyo umekurupuka
 
Tatizo lako na Tundu Lissu ni moja!

Ukurupukaji! Hujasoma hata hoja yangu umeshakurupuka!
Mimi nimembeza Tundu Lissu anavyo approach mambo na hasa jambo kubwa kama hili!

Hapo juu nimesema Nina sympathize naye ktk masaibu yake lakini unanilaumu!

Najua hujui maana ya Sympathize na masaibu na kwa kifupi wewe ni mediocre au kilaza tu!
Siamini kama unamzidi tundu Lisu elimu, exposure na maumivu aliyo nayo. Busara ungenyamaza uendelee na mishe zako
 
Nimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!

Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana!

Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana!
(The Art of War by Sun Zu)!

Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku akikusanya ushahidi taratibu.

Angesubiri aone pia kama Judgement ingekuwa in favor ya huyo Whistle Blower wake Michael Clifford then angekuwa kwenye position nzuri ya kufanya well informed decision!

Kaonyesha weakness kubwa sana, sema tu watu wengi ni mediocres wanamsifia tu bila reasoning ya maana!

Sana sana nimemsikia akibeza Mahakama zetu za Profesa Juma!!

Ameonyesha tamaa ya kulipwa mapesa mengi na Tigo!!
Amedhihirisha pia siyo mzalendo na kumbe ni kweli Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwamba anashirikuana na maadui zetu kukamata Ndege zetu!!

Tundu Lissu ni mkurupukaji sana! Utulivu zero kabisa!
Mimi na wewe tunaweza kusema lolote kwa kukosoa hatua yake ya leo. Kwa sababu hatujawahi kupatwa na tukio kama lake, au la kukaribia ukubwa kama la kwake.

Kuwindwa na watu wenye mamlaka na kushambuliwa kwa risasi, kisha 16 zikaingia mwilini, na watuhumiwa wa tukio hilo wasiguswe na kuchukuliwa hatua yoyote ile. Kunaumiza sana hisia.

Hatuwezi kujua msisimko alioupata baada ya kupata dalili ya watesi wake kuwekwa hadharani, kisha kupata haki yake, angalau kupozwa kwa hisia zake kwa watesi wake kufikiwa.

Ova
 
Nimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!

Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana!

Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana!
(The Art of War by Sun Zu)!

Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku akikusanya ushahidi taratibu.

Angesubiri aone pia kama Judgement ingekuwa in favor ya huyo Whistle Blower wake Michael Clifford then angekuwa kwenye position nzuri ya kufanya well informed decision!

Kaonyesha weakness kubwa sana, sema tu watu wengi ni mediocres wanamsifia tu bila reasoning ya maana!

Sana sana nimemsikia akibeza Mahakama zetu za Profesa Juma!!

Ameonyesha tamaa ya kulipwa mapesa mengi na Tigo!!
Amedhihirisha pia siyo mzalendo na kumbe ni kweli Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwamba anashirikuana na maadui zetu kukamata Ndege zetu!!

Tundu Lissu ni mkurupukaji sana! Utulivu zero kabisa!
nafikiri umekosea kidogo ndugu yangu, kwa mimi ambaye nina practise sheria kwa mahakama za hawa ngozi nyeupe, kwenye Kampuni kubwa sana la kisheria ( bila kulitaja) nafikiri umekosea sana. Mahakamanini popote pale duniani humu ni mambo ya procedures tupu na rules of evidence. Siku ya kwanza unapelekwa kwa pilato, utaambiwa tu taja jina lako, confirm tarehe yako ya kuzaliwa na anuani yako. Baada ya hapo, utaambiwa njoo siku fulani uje usewe how do you wish to plead ( guilty or not guilty), siku ya tatu au kabla ya hapo mawakili watakuwa wamekubaliano mambo yafuatayo:

preliminary case management
date ya ku exchange mambo mfano- bundles,
issues in disputes ( which the judge needs to decide)- contentious issues
issues not disputable
process for case management
date for documents exchange
na mambo mengine mengi- lazima yakubaliwe before hand

sasa mpaka hapo hiyo case ya London ilipofikia- uelekeo ushajulikana nani ataibuka kidedea- sio haya mambo yetu ya bongo ya kupiga ramli pata potea - tatu mzuka.
Ndio maana hata sasa inatangazwa maana yake hii kesi ina public interest kama ilivyo kwisha amliwa. Ni wazi mleta maombi atawabwaga walalamikiwa if they do not opt to settle of court .
Kwa uingereza ni mara chase sana ktk employment tribunal mwajiri kuibuka kidedea. mara nyingi wanashindwa, maana kwa mfano, hiyo sheria yenyewe ya whistleblower, inaegemea sana upande wa watu wanao itumia in good faith. Ni sheria pana.

ifutiliew kesi ya London na kuna mawili:
1. out of court settlement
2. Au kesi iendelee, Tigo/kampuni mama apatikane na hatia

NB: Mlalamikaji ni ex-law enforcer- ex MET police officer ( Fatma karume anawajuwa) ( a person of good standing); wazungu wanawaamini sana mapolisi wao/ ex police officers kuliko sisi, sio kama kwetu wanarundikwa kule kwenye mabati chakavu. Maadam ni kesi ya ex police officer, Tigo wana mountain to climb just because mlalamika ni ex police- hiyo pekee inampa credibility ya kutosha kwa macho ya mahakama na mtu wao huwa hatupwi unless under extreme circumstances.
 
Nimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!

Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana!

Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana!
(The Art of War by Sun Zu)!

Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku akikusanya ushahidi taratibu.

Angesubiri aone pia kama Judgement ingekuwa in favor ya huyo Whistle Blower wake Michael Clifford then angekuwa kwenye position nzuri ya kufanya well informed decision!

Kaonyesha weakness kubwa sana, sema tu watu wengi ni mediocres wanamsifia tu bila reasoning ya maana!

Sana sana nimemsikia akibeza Mahakama zetu za Profesa Juma!!

Ameonyesha tamaa ya kulipwa mapesa mengi na Tigo!!
Amedhihirisha pia siyo mzalendo na kumbe ni kweli Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwamba anashirikuana na maadui zetu kukamata Ndege zetu!!

Tundu Lissu ni mkurupukaji sana! Utulivu zero kabisa!

Na mimi nilijiuliza maswali kama uliyojiuliza, kama Tundu Lissu kakurupuka kutangaza mkakati wake sasa.

Tundu Lissu ni mwanasheria na mwanasiasa na hujui kasema alilosema kama sehemu ya mkakati wa kisheria au kisiasa.

Pia, kesi yake haitegemei kesi ya Michael Clifford, ingawa kesi ya Michael Clifford inaweza kutoa habari muhinu kuhusu kesi yake, ataanzisha kesi tofauti.

Mahakama zenu za Profesa Juma hajazibeza kwa uongo. Kazibeza kwa ukweli. Rostam Aziz alisema zinaamrishwa jinsi ya kutoa hukumu kwa simu.

Kutaka kulipwa mapesa mengi kama ni haki yake, ni sawa tu akisema hilo. Watanzania wengi wamezoea fake modesty, Tundu Lissu hana fake modesty.

Dhana ya uzalendo ni ndefu sana. Mtu aliyeionya serikali isiingie mikataba holela, isivunje mikataba kiholela, utamuita vipi si mzalendo?

Mwanasheria anasimamia haki, kama watawala wanafanya maamuzi yasiyo haki, akiwaambia hivyo, huko si kukosa uzalendo.

Usichanganye uzalendo na uchawa, Tundu Lissu si chawa, kutokuwa chawa hakumfanyi asiwe mzalendo.

Uzalendo ni kusimama na nchi yako muda wote na kusimama na serikali yako pale inapostahili tu.

Usichanganye mtu kutoikubali serikali na kutoikubali nchi.

Utulivu is overrated.

Tundu Lissu kapigwa risasi yeye, maisha yaliyoharibiwa ni yake. Usimpangie jinsi ya kuzungumza kuhusu hii kesi.

Usimuwekee censorship kumpangia vya kusema.

Muachie afanye anavyotaka, tutaona matokeo.
 
Sijamshambulia bali nimeonyesha weakness yake ya ukurupukaji!
Tundu Lissu huyu si ndo hivi karibuni alituhumu Chama Chake (CHADEMA,) kimehongwa pesa! Alipotakiwa kuthibitisha kwenye Kamati Kuu yao akaruka kimanga!
Kwenye Press yake ameonyesha jinsi alivyo na uzoefu wa kukamata Ndege zetu huko Nje!
Mtu Intelligent hasemi hadharani Kila kitu anachojua!

..hajakurupuka.

..according to him, hizi taarifa alikuwa nazo tangu siku Mzee Ally Kibao alipofariki.

..kipindi chote hicho alikuwa mtulivu mpaka magazeti ya Uingereza yalipoanza kuandika, na habari kufika ktk mitandao ya kijamii ya Tanzania.

..lakini pia Lissu amekuwa na subira kwa miaka 7 tangu ashambuliwe.
 
Back
Top Bottom