PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Pole kwa kudanganywaLissu hana credibility kivile.
Wakati mwingine huwa anadanganya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole kwa kudanganywaLissu hana credibility kivile.
Wakati mwingine huwa anadanganya.
Mimi sio sheria, lakini nataka kujiuliza hao wanasheria wake hawakuwa wanajua hili usemalo?Unacheka kwa sababu hujui mambo ya msingi!
Huna details na hujui Sheria!
Kuna Sheria inaitwa , Law of Limitation Act, kama shauri limepitwa na muda basi kwanza unaiomba Mahakama ikuruhusu ufile case hiyo nje ya muda!
Mahakama ikikubali basi ina grant extension of time na una file case yako.
Sasa nikikuuliza ktk case ya Kabendera Nini kilitokea hadi Mahakama ikatupilia mbali? Bado utaendelea kucheka kama zuzu tu!
LAAaah!Kuna relation gani ya serikali kuomba info za Lissu kutoka TiGO na maamuzi ya kushambuliwa (kama based on that info).
Seriously watanzania mnaitaji kunyooshwa the reasoning of you people is way below developed nations.
Magufuli alikuwa soft anahitajika mtu wa kuwapa life perspective, mnaishi kwenye dunia moja ambayo mambo ni rahisi sana.
Daah sio pole kwake unasema kwa wateja wake mkuu...hawa si ndio Nchi inalipa hela kila kukicha na wapo kimya wanakuja kumshauri mtu aliewazidi uwezo wa kufikiri na kuamua..Kwa hiyo Lissu ni layman kwenye legal field? Na Mwanasheria wake ni layperson pia?
Kwa kujitambulisha upo field gani ndiyo umejirusha mwenyewe uvunguni mwa semi iliyo kwenye mwendo.
Yaani unajiita legal brain halafu unakuwa mvivu wa kufuatilia details ndogo kama hizi!? Pole kwa wateja wako.
You are clever but not intelligent. I have read your brief. There isnt much substance that shows you are intelligent. Clever may be!!!Nimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!
Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana!
Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana!
(The Art of War by Sun Zu)!
Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku akikusanya ushahidi taratibu.
Angesubiri aone pia kama Judgement ingekuwa in favor ya huyo Whistle Blower wake Michael Clifford then angekuwa kwenye position nzuri ya kufanya well informed decision!
Kaonyesha weakness kubwa sana, sema tu watu wengi ni mediocres wanamsifia tu bila reasoning ya maana!
Sana sana nimemsikia akibeza Mahakama zetu za Profesa Juma.
Soma Pia:
Ameonyesha tamaa ya kulipwa mapesa mengi na Tigo!! Amedhihirisha pia siyo mzalendo na kumbe ni kweli Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwamba anashirikuana na maadui zetu kukamata Ndege zetu.
- Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani
- Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka
- Tundu Lissu: Aliyeongoza Kikosi cha wauaji walioagizwa kuniua ni Paul Makonda, ndio maana Marekani ilimzuia
Tundu Lissu ni mkurupukaji sana! Utulivu zero kabisa.