Tundu Lissu ni clever but not Intelligent person. Ni Kiongozi mwenye papara sana na hana utulivu kabisa

Tundu Lissu ni clever but not Intelligent person. Ni Kiongozi mwenye papara sana na hana utulivu kabisa

Unacheka kwa sababu hujui mambo ya msingi!
Huna details na hujui Sheria!
Kuna Sheria inaitwa , Law of Limitation Act, kama shauri limepitwa na muda basi kwanza unaiomba Mahakama ikuruhusu ufile case hiyo nje ya muda!
Mahakama ikikubali basi ina grant extension of time na una file case yako.
Sasa nikikuuliza ktk case ya Kabendera Nini kilitokea hadi Mahakama ikatupilia mbali? Bado utaendelea kucheka kama zuzu tu!
Mimi sio sheria, lakini nataka kujiuliza hao wanasheria wake hawakuwa wanajua hili usemalo?
 
Lissu ni elite person anajua anachokifanya and by the way muhukumu baada ya final results
 
Alipigwa risasi miaka mitano iliyopita, ulitaka atulie hadi lini?.
 
We ni mpuuzi kwelikweli hujawahi pigwa hata na mbulunga ya manati wala tope lililorushwa na kombeo hujawahi pata maumivu yoyote zaidi ya kutemwa na Basha wako usimpangie LISSU cha kusema, watu walificha Kila kitu leo watu waliofanya jaribio baya kabisa Ktk historia na wengine wanajificha kwenye madhabahu kwamba wacha Mungu na sasa wanaelekea kuumbuka halafu unaleta kebehi kwa LISSU? Tena chunga sana usije jikuta unafuata nyayo za kubwa la maadui lilipingwa nyundo moja likaishia huko liliko
 
Kuna relation gani ya serikali kuomba info za Lissu kutoka TiGO na maamuzi ya kushambuliwa (kama based on that info).

Seriously watanzania mnaitaji kunyooshwa the reasoning of you people is way below developed nations.

Magufuli alikuwa soft anahitajika mtu wa kuwapa life perspective, mnaishi kwenye dunia moja ambayo mambo ni rahisi sana.
LAAaah!

Pamoja na kukubaliana na wewe juu ya uhitaji wa waTanzania "kunyooshwa"; kamwe siwezi kukubaliana na njia zile alizokuwa akitumia Magufuli, hata kidogo.

Ndiyo; hata mimi nitashangilia nikiona hawa washenzi wanao fuja mali za nchi hii hata wakitiwa kitanzi shingoni na kufa. Lakini isiwe kwa maneno ya mtu mmoja tu akiamrisha nini kifanyike hata nje ya taratibu. Sikubaliani kabisa na upumbavu huo.
 
Yaani changamoto ya serikali ya CCM ni moja tu ambayo ni mbaya sana hawataki mtu a challenge wao wanataka mtu wa ndio baba ndio mama. Lazima mtu ajibiwe kwa hoja mpaka umshinde na sio kumuua sasa lissu anakosa gani ni udhaifu wenu wa kujieleza ndio unawafanya muone njia rahisi ya kudili na watu wanamna hio ni elimination. Akati mnajua kabisa kuna watu milioni 60 wapo wengine pia inamaana msipo noa vichwa vyenu mtaeliminate hata nusu ya watanzania ambayo ni wastage of human resources. Sasa tutaendelea vipi bila resources za brain peoples? Noeni vichwa muanze kuwalisha watu kwa hoja that's a solution. Mtazidi kuabika kama hivi ujinga ni uchi wa kuku haufichiki ni kaupepo kidogo tu mambo yote hadharani.
 
Mganga msukuma kalumanzira unaamini lisu ni mjinga? Ok mwerevu wenu mwendazake yupo wapi??
 
Kwa hiyo Lissu ni layman kwenye legal field? Na Mwanasheria wake ni layperson pia?

Kwa kujitambulisha upo field gani ndiyo umejirusha mwenyewe uvunguni mwa semi iliyo kwenye mwendo.

Yaani unajiita legal brain halafu unakuwa mvivu wa kufuatilia details ndogo kama hizi!? Pole kwa wateja wako.
Daah sio pole kwake unasema kwa wateja wake mkuu...hawa si ndio Nchi inalipa hela kila kukicha na wapo kimya wanakuja kumshauri mtu aliewazidi uwezo wa kufikiri na kuamua..
 
Nimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!

Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana!

Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana!
(The Art of War by Sun Zu)!

Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku akikusanya ushahidi taratibu.

Angesubiri aone pia kama Judgement ingekuwa in favor ya huyo Whistle Blower wake Michael Clifford then angekuwa kwenye position nzuri ya kufanya well informed decision!

Kaonyesha weakness kubwa sana, sema tu watu wengi ni mediocres wanamsifia tu bila reasoning ya maana!

Sana sana nimemsikia akibeza Mahakama zetu za Profesa Juma.

Soma Pia:
Ameonyesha tamaa ya kulipwa mapesa mengi na Tigo!! Amedhihirisha pia siyo mzalendo na kumbe ni kweli Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwamba anashirikuana na maadui zetu kukamata Ndege zetu.

Tundu Lissu ni mkurupukaji sana! Utulivu zero kabisa.
You are clever but not intelligent. I have read your brief. There isnt much substance that shows you are intelligent. Clever may be!!!
 
lissu yuko sahihi, wewe ndio hujui kuwa strategy za ku deal na adui zinabadirika kulingana na mazingira
 
Back
Top Bottom