Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Somo rahisi sana na linaeleweka hata kwa raia mwenye kisomo kidogo.Tundu Lissu anawambia wananchi matrilioni wa Lamadi kwamba wanunuzi wakubwa wa pamba ni maCCM na wanainunua kwa mali kauli aka stakabadhi gharani kupitia AMCOS wanaifanyia biashara, wanatajirika ndio wanawaletea wakulima 700/kilo…
Asante Mungu kwa kuwa Lissu
Twenty Twenty wakimbizeee.. mchakamchakaaKuna kawimbo kamenikaa kichwani:
'Tundu Lissu wapeleke mchakamchaka,wapeleke kikamandaaaaaaaaa'
Kwani upande wa pili wanaongelea mh. Pombe au ccm? Embu jiongezeWatu wanaongelea Lisu kuliko CHADEMA kuna shida
We jamaa Mungu anakuona ujue....[emoji23][emoji23]Abudulahamamu........[emoji23][emoji23]
Soma tena.......
Abudulahamamu[emoji23][emoji23]
Wewe acha porojp Mwenyeliti yuko na harakato zingine za kupambana na wizi wa kura. Tumejipanga aiseeWatu wanashangaa Mbowe kutokuwepo kampeni za Lissu, sio kitu cha ajabu ile ni strategy. Ukweli ni kua watu wengi wanapata picha mbaya wakimuona Mbowe sababu kuna maneno ya chinichini mara anataka kua mwenyekiti wa milele, mara anapiga sana tungi na wanawake. Lissu kujionyesha kama kajitenga ni strategy nzuri sana.
Tulishaishauri system na kwamba ina mtihani mgumu kukubaliana na matakwa ya wananchi au kuitumbukiza nchi machafukoni.Salute kwa mtoa hoja,hii ndiyo hoja ya levels za Great Thinker.
Nguvu ya Mh.Lissu IPO kwa wananchi,haiwezi kushindwa na kitu chochote.Busara kwa watawala ni kusikiliza sauti ya Wananchi kupitia sanduku LA kura na siyo vinginevyo.Kupangilia uchakachuaji ni hatari kwa usalama wa taifa letu LA Tanzania.
Akifanikiwa kuupata urais atakula watu vichwa.Baada ya uchaguzi atafukuza sana watu
Kutokana na kauli yako nitakujibu kwa picha pamoja na maelezo.Kwenye uchaguzi kuwa jeshi la mtu mmoja huwezi kushinda kura.Teamwork ya kufa mtu inatakiwa.Na chama kinatakiwa kuwa maarufu kuliko mgombea ili kushinda sio mgombea pekee awe mnaarufu kuliko chama
Watu wanaongelea Lisu kuliko CHADEMA kuna shida ya ushindi hapo na zimebaki siku tisa tu za kampeni hilo kosa too late haliwezi sahihishika!!! jiandaeni huyu mtu wenu jeshi la mtu mmoja kuporomoka vibaya kwenye kura
Na kuuwa watu.Baada ya uchaguzi atafukuza sana watu
Hawezi maana atabakia kuwa Mwenyekiti wa CCM Mpya, anaweza kuwatimua labda Bashiri na Polepole tu.Viongozi na watumishi wa serikali hawezi maana hatakuwa na mandate tena!Baada ya uchaguzi atafukuza sana watu
Wewe ni shida[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kutokana na kauli yako nitakujibu kwa picha pamoja na maelezo.
Wakati mnawanyang'anya upinzani manispaa za jiji la Dar, mliwaleta hadi kina Ndalichako mkadai ni wakazi na wapiga kura wa Dar, sasa hivi wapo Kasulu huko wanalalamika raia wanakunywa matope na nyie mko kwenye mafuriko.
Wekeni mpira kwa ground muone saa 3 asubuhi tumemaliza kazi
View attachment 1601836
Binadamu wa aina ya lissu ni wachache sana duniani mkuu, na mara nyingi mamlaka huo haziwataki kbs tokana na caliber yao ya kusimama upande wa haki na wanaodhulumiwa, wengi wao huo wanaishia kuwa eliminated.Huyu mtu hata Mimi nimeogopa aisee ..
Jamaa anatembea mwenyewe ila anakusanya Kijiji
Imagine msafara wa Lissu ana magari 2 au 3 hivi lakini jamaa ni mwiba sana.
Pia atauwna, atatesa Sana na Kuna maeneo hatokaa akanyage miaka yote 5. Mfano Kagera.
Kuepusha Shari yote hii huyu jamaa assipite kabisa.