YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
HIyo picha ya Raisi kupiga magoti huielewi kuna miko ukitaka kuwaonyesha unaomba jambo kubwa unapiga magoti ukiwaombaKutokana na kauli yako nitakujibu kwa picha pamoja na maelezo.
Wakati mnawanyang'anya upinzani manispaa za jiji la Dar, mliwaleta hadi kina Ndalichako mkadai ni wakazi na wapiga kura wa Dar, sasa hivi wapo Kasulu huko wanalalamika raia wanakunywa matope na nyie mko kwenye mafuriko.
Wekeni mpira kwa ground muone saa 3 asubuhi tumemaliza kazi
View attachment 1601836
Hayo maeneo machifu hupigiwa magoti ukienda kuomba kitu ni mila za maeneo husika ila wewe sababu hujui .Watu uwaomba jambo kubwa kule kwa mila zao unapiga goti
Lisu wenu kasaimama wima na mikono kaweka mifukoni alipopita kule halafu ohhh naomba kura!!!!! ASubiri maeneo hayo Magufuli alipiga magoti atapata kura ngapi na yeye Lisu Mbelgiji asiyejua mila na desturi za eneo atapata kura ngapi
Ni kama kilimanjaro ukiona mtu amebabe jani la Isare ujue ni jambo kubwa
WAtu wa kule wamemwelewa