HIyo picha ya Raisi kupiga magoti huielewi kuna miko ukitaka kuwaonyesha unaomba jambo kubwa unapiga magoti ukiwaombaKutokana na kauli yako nitakujibu kwa picha pamoja na maelezo.
Wakati mnawanyang'anya upinzani manispaa za jiji la Dar, mliwaleta hadi kina Ndalichako mkadai ni wakazi na wapiga kura wa Dar, sasa hivi wapo Kasulu huko wanalalamika raia wanakunywa matope na nyie mko kwenye mafuriko.
Wekeni mpira kwa ground muone saa 3 asubuhi tumemaliza kazi
View attachment 1601836
angekuwa msimamia kwenye haki asingemfukuza Zitto CHADEMABinadamu wa aina ya lissu ni wachache sana duniani mkuu, na mara nyingi mamlaka huo haziwataki kbs tokana na caliber yao ya kusimama upande wa haki na wanaodhulumiwa, wengi wao huo wanaishia kuwa eliminated.
Tatizo makalio mnaopenda vyama vyama mkiambiwa kitu negative tu mnaanza kuwashwa, mkuu kura yangu hata mimi Lissu ntampa ila haimaanishi napenda kila mtu aliyepo CDM, CDM imejaa watu ovyo sawa na vyama vingine vyote, na Lissu ni kwa sababu ana uafadhali kuliko wengine, magufuli ni kimeo number moja.Wewe acha porojp Mwenyeliti yuko na harakato zingine za kupambana na wizi wa kura. Tumejipanga aisee
Sawa mkuuHawezi maana atabakia kuwa Mwenyekiti wa CCM Mpya, anaweza kuwatimua labda Bashiri na Polepole tu.Viongozi na watumishi wa serikali hawezi maana hatakuwa na mandate tena!
Tuache kuwajaza Watanzania hofu isiyokuwepo.
Du!Na kuuwa watu.
Tume lazima itamtangaza hakuna namnaAkifanikiwa kuupata urais atakula watu vichwa.
Huyo tumbo tumbo ni Lugola?Ameshaanza kuvaa yebo yebo mara hii au ni usanii wake?Mbona mapema sana!Hii ni Ibada ya kuabudu nini ambayo Lugola anaonekana ndiyo Mchungaji na jamaa wapo kuungama/kusujudu!Kutokana na kauli yako nitakujibu kwa picha pamoja na maelezo.
Wakati mnawanyang'anya upinzani manispaa za jiji la Dar, mliwaleta hadi kina Ndalichako mkadai ni wakazi na wapiga kura wa Dar, sasa hivi wapo Kasulu huko wanalalamika raia wanakunywa matope na nyie mko kwenye mafuriko.
Wekeni mpira kwa ground muone saa 3 asubuhi tumemaliza kazi
View attachment 1601836