Magufuli ni chaguo la kila mtuKwa muda wa miaka mitatu toka anusurike jaribio la mauwaji nchi ilikuwa imepoa binadamu mmoja tu aliyejigeuza Mungu mtu alikuwa anaongea yeye nasisi wote tunafyata Sasa mbabe kapata mbabewe na Pele limempata Pele.
Lisu amevunja mwiko wa kuligeuza taifa Zima kondoo na wanyonge .
Yani Kuna mtu alikuwa akiongea yeye neno lake ndio sheria na wengine wote kimya.
Asante lisu kwa kuturudishia ujasiri wetu.
Sema chaguo lako wewe,babako na familia yako,usitusemee wengine alaah!!Magufuli ni chaguo la kila mtu
Sema chaguo lako wewe,babako na familia yako,usitusemee wengine alaah!!Magufuli ni chaguo la kila mtu
I'm tested and ready mwisho wa kunukuuNasikiliza htuba yake, huwezi kuamini kuwa huyu kapigwa risasi! Very articulate and composed!
ACT kama ChademaLissu kafanya mapambano yameanza rasmi.View attachment 1527265
Chaguo la chato.... Watz wanamtaka LissuMagufuli ni chaguo la kila mtu
Labda watanzania wa JfChaguo la chato.... Watz wanamtaka Lissu
Nacho shangaa eti kuna watu wame like uzi wako...!Kwa muda wa miaka mitatu toka anusurike jaribio la mauwaji nchi ilikuwa imepoa binadamu mmoja tu aliyejigeuza Mungu mtu alikuwa anaongea yeye nasisi wote tunafyata Sasa mbabe kapata mbabewe na Pele limempata Pele.
Lisu amevunja mwiko wa kuligeuza taifa Zima kondoo na wanyonge .
Yani Kuna mtu alikuwa akiongea yeye neno lake ndio sheria na wengine wote kimya.
Asante lisu kwa kuturudishia ujasiri wetu.
Sema ni chafuo la disii wa kichwarawee!Magufuli ni chaguo la kila mtu
Ndio wako wengi hawa Lugola types.Kuna mtu alimfananisha wakwao na muumbaji mili huchukia naona na wewe umekuja na yale yale ya kufananisha wateule wa kiroho na binadamu wa kawaida
Wote tuseme AminaHabarini wana jukwaa hili la siasa na JamiiForums kwa umjula.
Mungu aendelee kutupa uzima na afya njema ktk maisha yetu ya kila siku.
Niamze kwa kumpongeza kaka yangu Lissu kwa ushindi mnono alioupata kutoka kwa viongozi (wajumbe).
Nimeona historia tukufu mbili katika vitabu vitakatifu vya MUNGU, Bible na Quran. Historia ya Yona katika Biblia ipo sambamba na ile katika Quran kuwa Yunus alikuwa katika hali isiyo ya kawaida (nusu kufa). Baadae Mungu alimuinua na kumrudisha kwa watu wake na akawa kiongozi mkubwa hadi kaacha historia inayosomwa na mamilioni ya watu.
Lisu aliondoka mwaka 2017 akiwa unconscious kama vile Yesu (Isa) au Yona (Yunus) siku tatu usiku na mchana, Lisu ni miaka mitatu kiangazi na masika.
Hawa watatu wote walizaniwa wamekufa na hawataonekana tena lakini miujiza ya Mungu wakapata kuishi tena. Baada ya magumu Mungu aliwapa ujasiri na aliwainua.
Wakati huu uliopo unampendelea Lisu na unampa mwanya wa kuonyesha uwezo wa Mungu. Mungu anajieleza kupitia Lissu na Lissu ni nguvu.
NB: Shetani alijaribu kujikweza kuwa yeye ndie mungu ila Mungu Muumba amejibu kupitia Lissu.
Ukitafakari ya Lisu haikupi ugumu kutambua yeye ndie mkombozi wa kweli kwa nyakati hizi kama vile nyakati zilivyowabeba Nyerere, Mandela, Mussa, Daudi n.k
Mengi yatasemwa juu ya Lisu ila Mungu atampa ushindi kama alivyompa dhidi ya watu wasiojulikana.
ALIMWOKOA KATIKA KIFO ILI AWEZE KUTAWALA NCHI KWA JINA LA MUNGU NA AKOMESHE UOVU ULIOTAMALAKI TANZANIA
Kwani Dc wa kisarawe hana hata boyfriend wa rika lake au aliyemzidi kidogo ?Sema ni chafuo la disii wa kichwarawee!
Hivi ushawahi kumsikia Mh Rais anamuongelea Lissu tangia aingie madarakani? Yani nikiwaangalia na huyo Lissu wenu ni sawa bifu la Mond na Kiba tu! Kiba huwa anaforce bifu Ili limpaishe lakini wap! Ndio nyie mnaforce bifu kwa Mh Rais lakin mwanaharakati wenu Hana lolote zaidi ya kelele tuTokea arudi jiwe hajaongea neno lolote kuhusu yeye
Ni kama anamuogopa halafu Lisu anaongea kimakasiriko...