Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 16,583
- 42,992
Wee uliepoteza muda kunijibu ndio umeshangaza zaidi

Hao watu wote ni ww na familia yako, wengine hatuoni lolote ndani yakeHakika Lisu ni chaguo la watu wote
Ongezea ALIYE MJINGAMagufuli ni chaguo la kila mtu
Nilikuwa nasikiliza Speech ya Lissu nikawa nabaki kucheka tuWee uliepoteza muda kunijibu ndio umeshangaza zaidi
Huoni aibu mtu kumkuwadia mama yake?Nilikuwa nasikiliza Speech ya Lissu nikawa nabaki kucheka tu
Maana ni Aibu Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo mlolishika kichwani mwenu...!? Miongoni mwa sababu za kuja kuiwezesha Upinzani kushika dola kwanza ni kuacha sera za kijinga/kitoto na wafuasi kuacha ku support ujinga wa viongozi wao wakati wazi ni (UJINGA)Huoni aibu mtu kumkuwadia mama yake?
Anaogopa kutaja jina lake anaishia kumsema kimafumbo..Hivi ushawahi kumsikia Mh Rais anamuongelea Lissu tangia aingie madarakani? Yani nikiwaangalia na huyo Lissu wenu ni sawa bifu la Mond na Kiba tu! Kiba huwa anaforce bifu Ili limpaishe lakini wap! Ndio nyie mnaforce bifu kwa Mh Rais lakin mwanaharakati wenu Hana lolote zaidi ya kelele tu
Ww co mtu bali ni mnyama na ndio maana mpo tayari kuua asiye ccm. Hamkufurahia kupigwa risasi kwa Aquilina na Lisu? Haufuraishi kupotea kwa Ben saa 8, haufurahii kutekwa kwa viongozi wa chadema? Jiulize alafu jithaminishe kama ww na kundi lako ni watu au wanyama mwitu? Binadamu ni ubinadamu animals for greyHao watu wote ni ww na familia yako, wengine hatuoni lolote ndani yake
Wa kwenu haongeagi ujinga? Nimtu wa kuharibu kila akitanua mdomo wake usiopigwa mswakiNdo mlolishika kichwani mwenu...!? Miongoni mwa sababu za kuja kuiwezesha Upinzani kushika dola kwanza ni kuacha sera za kijinga/kitoto na wafuasi kuacha ku support ujinga wa viongozi wao wakati wazi ni (UJINGA)
Hapo ndo mtakapo weza tikisa serekali...ila kwa ujinga aliozungumza leo Lissu!
Naomba tu muwe na uadilifu na mumshauri mtu wenu abadili sera ili aweze kutupa chang'amoto ya kweli sio upuuzi wa kitoto
Asante Sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la Jiwe ni wivu tu na anajua kuwa Lisu ndie rais yaani kama firaun alivyojua Musa ni kiongozi wa baadae akaanza kupambana nae ili kumuua. Amseme Lisu kwa mema maana baya hana ni smart man. Jiwe vya kumsema ni vingi karibia vyote kuanzia uvaaji, kuongea, unyoaji, utembeaji, ulaji n.kAnaogopa kutaja jina lake anaishia kumsema kimafumbo..
Lisu halindwi na jeshi wala polisi lakini haogopi....
Ww chagua linalokuhusu hapo wa Isa ataelewa na Yesu ataelewa, huwezi elewa yote mawili kwa pamoja utachanganya kama ulivyochanganyaYesu sio issa shika adabu yako
Lissu amekua You Know Who kwa MagufuliAnaogopa kutaja jina lake anaishia kumsema kimafumbo..
Lisu halindwi na jeshi wala polisi lakini haogopi....
Yy alijiita jiwe hakujua Lisu ndie jiwe kuu. Amemezwa mapemaTokea arudi jiwe hajaongea neno lolote kuhusu yeye
Ni kama anamuogopa halafu Lisu anaongea kimakasiriko...
List tamu hii, we simba nini?The dream Cabinet
Namuona Membe akiwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Tanzania kuanzia November 2020.
Raisi- Tundu Antipas Lissu
Makamu- Salum Mwalimu
Waziri Mkuu - Bernad C. Membe
Waziri/ Nje- Lazaro Nyarandu
Waziri/ Fedha- Zitto Kabwe
Waziri/ Ulinzi- Esther Bulaya
Waziri/ Sheria- Halima Mdee
Waziri/ Afya- Juma Duni Haji
Waziri/ Muungano- Ismail Jussa
Waziri/ Tamisemi- John Mnyika
Waziri/ Ndani- Godbless Lema
Waziri/ Habari n Michezo- Joseph Mbilinyi
Waziri Viwanda/ Biashara na uwekezaji- Freeman Mbowe
Waziri/ Uchukuzi- John Heche
Yesu yuko Lumumba, usimfananishe Lissu na Yesu! Tafuta mfano mwingineHabarini wana jukwaa hili la siasa na JamiiForums kwa umjula.
Mungu aendelee kutupa uzima na afya njema ktk maisha yetu ya kila siku.
Niamze kwa kumpongeza kaka yangu Lissu kwa ushindi mnono alioupata kutoka kwa viongozi (wajumbe).
Nimeona historia tukufu mbili katika vitabu vitakatifu vya MUNGU, Bible na Quran. Historia ya Yona katika Biblia ipo sambamba na ile katika Quran kuwa Yunus alikuwa katika hali isiyo ya kawaida (nusu kufa). Baadae Mungu alimuinua na kumrudisha kwa watu wake na akawa kiongozi mkubwa hadi kaacha historia inayosomwa na mamilioni ya watu.
Lisu aliondoka mwaka 2017 akiwa unconscious kama vile Yesu (Isa) au Yona (Yunus) siku tatu usiku na mchana, Lisu ni miaka mitatu kiangazi na masika.
Hawa watatu wote walizaniwa wamekufa na hawataonekana tena lakini miujiza ya Mungu wakapata kuishi tena. Baada ya magumu Mungu aliwapa ujasiri na aliwainua.
Wakati huu uliopo unampendelea Lisu na unampa mwanya wa kuonyesha uwezo wa Mungu. Mungu anajieleza kupitia Lissu na Lissu ni nguvu.
NB: Shetani alijaribu kujikweza kuwa yeye ndie mungu ila Mungu Muumba amejibu kupitia Lissu.
Ukitafakari ya Lisu haikupi ugumu kutambua yeye ndie mkombozi wa kweli kwa nyakati hizi kama vile nyakati zilivyowabeba Nyerere, Mandela, Mussa, Daudi n.k
Mengi yatasemwa juu ya Lisu ila Mungu atampa ushindi kama alivyompa dhidi ya watu wasiojulikana.
ALIMWOKOA KATIKA KIFO ILI AWEZE KUTAWALA NCHI KWA JINA LA MUNGU NA AKOMESHE UOVU ULIOTAMALAKI TANZANIA
Usituletee Frustration zako kuanza kumfananisha binadamu wa kawaida na Yesu Kristo. Kwa hilo huwa sinaswalie mtume uwe chama tawala au upinzani. Acha upopoma wa kiimani. Tunampenda Lissu lakini hatupo tayari kumvusha katika utu wake na kumpeleka kwenye Uungu. Koma kabisa.Habarini wana jukwaa hili la siasa na JamiiForums kwa umjula.
Mungu aendelee kutupa uzima na afya njema ktk maisha yetu ya kila siku.
Niamze kwa kumpongeza kaka yangu Lissu kwa ushindi mnono alioupata kutoka kwa viongozi (wajumbe).
Nimeona historia tukufu mbili katika vitabu vitakatifu vya MUNGU, Bible na Quran. Historia ya Yona katika Biblia ipo sambamba na ile katika Quran kuwa Yunus alikuwa katika hali isiyo ya kawaida (nusu kufa). Baadae Mungu alimuinua na kumrudisha kwa watu wake na akawa kiongozi mkubwa hadi kaacha historia inayosomwa na mamilioni ya watu.
Lisu aliondoka mwaka 2017 akiwa unconscious kama vile Yesu (Isa) au Yona (Yunus) siku tatu usiku na mchana, Lisu ni miaka mitatu kiangazi na masika.
Hawa watatu wote walizaniwa wamekufa na hawataonekana tena lakini miujiza ya Mungu wakapata kuishi tena. Baada ya magumu Mungu aliwapa ujasiri na aliwainua.
Wakati huu uliopo unampendelea Lisu na unampa mwanya wa kuonyesha uwezo wa Mungu. Mungu anajieleza kupitia Lissu na Lissu ni nguvu.
NB: Shetani alijaribu kujikweza kuwa yeye ndie mungu ila Mungu Muumba amejibu kupitia Lissu.
Ukitafakari ya Lisu haikupi ugumu kutambua yeye ndie mkombozi wa kweli kwa nyakati hizi kama vile nyakati zilivyowabeba Nyerere, Mandela, Mussa, Daudi n.k
Mengi yatasemwa juu ya Lisu ila Mungu atampa ushindi kama alivyompa dhidi ya watu wasiojulikana.
ALIMWOKOA KATIKA KIFO ILI AWEZE KUTAWALA NCHI KWA JINA LA MUNGU NA AKOMESHE UOVU ULIOTAMALAKI TANZANIA
Hizi propaganda kamnyweshe lazaroHabarini wana jukwaa hili la siasa na JamiiForums kwa umjula.

Na mwenye njaa kichwani kama wale waliochukuliwa kutoka Udsm.Ongezea ALIYE MJINGA
Habarini wana jukwaa hili la siasa na JamiiForums kwa umjula.
Mungu aendelee kutupa uzima na afya njema ktk maisha yetu ya kila siku.
Niamze kwa kumpongeza kaka yangu Lissu kwa ushindi mnono alioupata kutoka kwa viongozi (wajumbe).
Nimeona historia tukufu mbili katika vitabu vitakatifu vya MUNGU, Bible na Quran. Historia ya Yona katika Biblia ipo sambamba na ile katika Quran kuwa Yunus alikuwa katika hali isiyo ya kawaida (nusu kufa). Baadae Mungu alimuinua na kumrudisha kwa watu wake na akawa kiongozi mkubwa hadi kaacha historia inayosomwa na mamilioni ya watu.
Lisu aliondoka mwaka 2017 akiwa unconscious kama vile Yesu (Isa) au Yona (Yunus) siku tatu usiku na mchana, Lisu ni miaka mitatu kiangazi na masika.
Hawa watatu wote walizaniwa wamekufa na hawataonekana tena lakini miujiza ya Mungu wakapata kuishi tena. Baada ya magumu Mungu aliwapa ujasiri na aliwainua.
Wakati huu uliopo unampendelea Lisu na unampa mwanya wa kuonyesha uwezo wa Mungu. Mungu anajieleza kupitia Lissu na Lissu ni nguvu.
NB: Shetani alijaribu kujikweza kuwa yeye ndie mungu ila Mungu Muumba amejibu kupitia Lissu.
Ukitafakari ya Lisu haikupi ugumu kutambua yeye ndie mkombozi wa kweli kwa nyakati hizi kama vile nyakati zilivyowabeba Nyerere, Mandela, Mussa, Daudi n.k
Mengi yatasemwa juu ya Lisu ila Mungu atampa ushindi kama alivyompa dhidi ya watu wasiojulikana.
ALIMWOKOA KATIKA KIFO ILI AWEZE KUTAWALA NCHI KWA JINA LA MUNGU NA AKOMESHE UOVU ULIOTAMALAKI TANZANIA
Mimi nimemuheshimu Lissu kwa kitu kimoja tu ambacho sio cha kawaida. Kakaa nje ya ulingo kwa takribani miaka mitatu halafu karudi na mvuto ule ule. Hiki sio kitu cha kawaida kabisa kwenye siasa.Lissu ni hatari kwa kweli. Nakosa neno moja zuri la kumpa huyu mtu ila itoshe tu kusema huyu mtu si wa sayari hii.
Kwa hotuba yake fupi ya leo nina uhakika leo Lumumba hali ni mbaya sana tena sana. Nina uhakika yule wa ikulu ndo hatolala kabisa leo.
Huyu mtu si wa sayari hii. Nimeona watu wenye uwezo wa kiakili ila Lissu hapana uwezo wake si wa kawaida