Tundu Lissu ni kama Yona/Yunus au Yesu/Issa

Magufuli ni chaguo la kila mtu
 
Leo nimepita kijiwe kimoja uswazi, wazee kwa vijana wanasema wacha Madufuli ashinde, lkn wao watampa kura Lissu!

Kisha nikakuta kijuwe cha watumishi wa umma, wanasema waziwazi kuwa mtu aliewanyima haki ya kupandishwa mishahara kwa miaka mitano huku yeye akigawa pesa hovyo barabarani...atafute njia nyingine ya kushinda!
 
Nacho shangaa eti kuna watu wame like uzi wako...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The dream Cabinet

Namuona Membe akiwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Tanzania kuanzia November 2020.

Raisi- Tundu Antipas Lissu

Makamu- Salum Mwalimu

Waziri Mkuu - Bernad C. Membe

Waziri/ Nje- Lazaro Nyarandu

Waziri/ Fedha- Zitto Kabwe


Waziri/ Ulinzi- Esther Bulaya

Waziri/ Sheria- Halima Mdee

Waziri/ Afya- Juma Duni Haji


Waziri/ Muungano- Ismail Jussa

Waziri/ Tamisemi- John Mnyika

Waziri/ Ndani- Godbless Lema


Waziri/ Habari n Michezo- Joseph Mbilinyi

Waziri Viwanda/ Biashara na uwekezaji- Freeman Mbowe

Waziri/ Uchukuzi- John Heche
 
Wote tuseme Amina
 
Tokea arudi jiwe hajaongea neno lolote kuhusu yeye
Ni kama anamuogopa halafu Lisu anaongea kimakasiriko...
Hivi ushawahi kumsikia Mh Rais anamuongelea Lissu tangia aingie madarakani? Yani nikiwaangalia na huyo Lissu wenu ni sawa bifu la Mond na Kiba tu! Kiba huwa anaforce bifu Ili limpaishe lakini wap! Ndio nyie mnaforce bifu kwa Mh Rais lakin mwanaharakati wenu Hana lolote zaidi ya kelele tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…