Tundu Lissu ni kama Yona/Yunus au Yesu/Issa

Huoni aibu mtu kumkuwadia mama yake?
Ndo mlolishika kichwani mwenu...!? Miongoni mwa sababu za kuja kuiwezesha Upinzani kushika dola kwanza ni kuacha sera za kijinga/kitoto na wafuasi kuacha ku support ujinga wa viongozi wao wakati wazi ni (UJINGA)


Hapo ndo mtakapo weza tikisa serekali...ila kwa ujinga aliozungumza leo Lissu!

Naomba tu muwe na uadilifu na mumshauri mtu wenu abadili sera ili aweze kutupa chang'amoto ya kweli sio upuuzi wa kitoto

Asante Sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaogopa kutaja jina lake anaishia kumsema kimafumbo..
Lisu halindwi na jeshi wala polisi lakini haogopi....
 
Hao watu wote ni ww na familia yako, wengine hatuoni lolote ndani yake
Ww co mtu bali ni mnyama na ndio maana mpo tayari kuua asiye ccm. Hamkufurahia kupigwa risasi kwa Aquilina na Lisu? Haufuraishi kupotea kwa Ben saa 8, haufurahii kutekwa kwa viongozi wa chadema? Jiulize alafu jithaminishe kama ww na kundi lako ni watu au wanyama mwitu? Binadamu ni ubinadamu animals for grey
 
Wa kwenu haongeagi ujinga? Nimtu wa kuharibu kila akitanua mdomo wake usiopigwa mswaki
 
Anaogopa kutaja jina lake anaishia kumsema kimafumbo..
Lisu halindwi na jeshi wala polisi lakini haogopi....
Tatizo la Jiwe ni wivu tu na anajua kuwa Lisu ndie rais yaani kama firaun alivyojua Musa ni kiongozi wa baadae akaanza kupambana nae ili kumuua. Amseme Lisu kwa mema maana baya hana ni smart man. Jiwe vya kumsema ni vingi karibia vyote kuanzia uvaaji, kuongea, unyoaji, utembeaji, ulaji n.k
 
Yesu sio issa shika adabu yako
Ww chagua linalokuhusu hapo wa Isa ataelewa na Yesu ataelewa, huwezi elewa yote mawili kwa pamoja utachanganya kama ulivyochanganya
 
List tamu hii, we simba nini?
 
Yesu yuko Lumumba, usimfananishe Lissu na Yesu! Tafuta mfano mwingine
 
Usituletee Frustration zako kuanza kumfananisha binadamu wa kawaida na Yesu Kristo. Kwa hilo huwa sinaswalie mtume uwe chama tawala au upinzani. Acha upopoma wa kiimani. Tunampenda Lissu lakini hatupo tayari kumvusha katika utu wake na kumpeleka kwenye Uungu. Koma kabisa.
 
Hizi propaganda kamnyweshe lazaro
 
MI NASHAURI SERIKALI IPIGE MARUFUKU MATUMIZI YA KONYAGI NA BHANGI. MAANA MADHARA YAKE NDO KAMA HAYA.

 
Mimi nimemuheshimu Lissu kwa kitu kimoja tu ambacho sio cha kawaida. Kakaa nje ya ulingo kwa takribani miaka mitatu halafu karudi na mvuto ule ule. Hiki sio kitu cha kawaida kabisa kwenye siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…