Tundu Lissu ni kama Yona/Yunus au Yesu/Issa

Mimi nimemuheshimu Lissu kwa kitu kimoja tu ambacho sio cha kawaida. Kakaa nje ya ulingo kwa takribani miaka mitatu halafu karudi na mvuto ule ule. Hiki sio kitu cha kawaida kabisa kwenye siasa.
Huyu jamaa ni God given kwa kweli. Sijaona mwanasiasa kama Lissu kwa kweli
 
Ww chagua linalokuhusu hapo wa Isa ataelewa na Yesu ataelewa, huwezi elewa yote mawili kwa pamoja utachanganya kama ulivyochanganya

Acha frastresheni zako. Pelek kwa Lissu. Mtaota Lissu will never be the president.
 
Tuwe na kiasi kidogo kwenye namna ya kulinganisha watu.

Ungeweza kumlinganisha na hata babu yako/mjomba wako au mkwe wako.
 
Yy alijiita jiwe hakujua Lisu ndie jiwe kuu. Amemezwa mapema
Nyinyi wenyewe mnajua hawezi shinda Lissu... na si nyinyi tu mpaka mbowe na cabinet nzima ya wenye kujitambua!

Kinachofanyika pale ni kukuza chama na kufanya kisife ili (RUZUKU) iendelee/isiishe so that hizi kelele zote mnazopiga ndo maana Mnaona Serekali wamekaa kimya tu wana watizama tu

Na wanaona dalili za ACT WAZALENDO kukua na kua chama kikuu cha upinzani na ndo maana mbowe kwenye maneno yake wakati wa ufunguzi wa kikao alisema anafanya mazungumzo na ACT WAZALENDO ili kuunganisha nguvu!


Mambo ni meengi yaliyoko nyuma ya pazia ila sisi raia kwa ujinga wetu tunashangilia tu mambo tusio yajua shame on us!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
alifananishwa mtu na yesu mkapiga kelele za kutosha leo.mnarudia yaleyale , mnapigwa behind
 
Ni swala la muda tu haya kutimia.

Hivi nyie mataga hamuoni ajabu mtu kupigwa risasi zote hizo mwilini na kupona? Huyu Lissu ana mission kwa Tanzania ambayo Mungu anataka aikamilishe kabla ya uhai wake kutoweka duniani!! Time will tell; kwani nyie mlitegemea kuwa JIWE angekuwa Rais?
 
Ungeandika Lissu kama Ulimboka ningekuelewa vizuri. Mbinu zao za biashara zinafanana. Wote wanatumia 3-4-3.

Uwanjani Ulimboka ni mzuri zaidi wa ball control na mnyumbufu. Alishikia akili wasomi madaktari. Lissu asilimia kubwa ni mazuzu na majuha ndio amewashikia akili.
 
Usikufuru ndugu. Siasa zenu ziwe na mipaka
 
Ndio maana Mkapa aliwaita wapinzani marofa na wapumbavu, uwezi kulinganisha Yesu na mla rushwa Lisu, huyu aliyenunuliwa na Lowassa akaanza kuramba matapishi yake, kadanganye watoto wenzio huko, alijifanya anawatetea wananchi, serikali ilivo ingilia kati na kuunda tume, tukaona akageuka akaanza kutetea mabwenyenye /wazungu tena kwa vitisho vikali na matusi. Ndipo sisi ambao tulio kuwa wapenzi wa hoja zake tukaanza kujiuliza nini kimempata Lisu, baada ya kusimama na kuungana na kupigania kile alichokuwa anatwambia kuwa tunaibiwa, gafura kageukia Kwa adui na kuanza kuwa adui wa nchi nakuanza kuwatetea hao aliowaita majizi mda mrefu. Ndio nikajua Lisu huyu mtu wa namna hipi. Usirudie kufananisha watumishi wa Mungu na takataka. Chadema wote wana mapepo by Gwajima voice.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…