Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Hana uchungu na chadema, na huenda hata kadi yake ya uanachama hajailipia kwa kipindi kirefu sana.
Infact, Kibaraka ni mchoyo na mbinafsi asiependa kutoa bali kupokea tu, tena kwa kuombaomba kuchangiwa na wadau, kwa maigizo yenye hisia kali za kusisimua, akitia huruma na unyonge kupindukia ili aonewe huruma na watu na aonekane ni mtu wa shida na taabu sana, anaehitaji kusaidiwa sana, kumbe uvivu tu na mazoea mabaya ya kuomba omba.
Mtu wa aina hii hafai kua kiongozi, ni muhimu sana akakataliwa na wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema taifa, na kwakweli hastahili kabisa kuchaguliwa kua mwenyekiti wa Chadema taifa na chama kingine cha siasa.
Ni aibu na mzigo kwa chama cha siasa kua na kiongozi wa aina ya huyu ambae ni mchoyo asieweza kujitegemea, mvivu, mbinafsi na omba omba kama huyu kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi.🐒
Heri ya mwaka mpya familia.
Mungu Ibariki Tanzania.