Tundu Lissu ni mchoyo na mbinafsi, politicaly speaking

Matusi umeyaanza wewe Msaghane!

Kwahiyo ulitaka unitukane halafu nikuangalie tu kama mumeo anavyokunyanduaga akiwa anakuangalia?

Punguani wewe!

Ukijenga hoja utajibiwa Kwa hoja,ukija kisimbe tutakujibu kisimbe!
endelea kuyaporomosha kwa uzito unaostahili basi,

huenda Chadema ikapendwa zaidi na Kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, mchoyo na mbinafsi huenda akapata kura nyingi zaidi na kuchaguliwa kua Mwenyekiti wa Chadema taifa,

maana matusi mazito mazito kama unavyoyaporomodha mbele ya wadau wa heshima sana JF, yamesaidia sana kibaraka kua maarufu na chadema kuonekana kama ilivyo,

well done gentleman 👊💪🐒
 
huenda Chadema ikapendwa zaidi Kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, mchoyo na mbinafsi huenda akapata kura nyingi zaidi na kuchaguliwa kua Mwenyekiti wa Chadema taifa,

maana matusi mazito mazito kama unavyoyaporomodha mbele ya wadau wa heshima sana JF, yamesaidia sana kibaraka kua maarufu na chadema kuonekana kama ilivyo,

well done gentleman 👊💪🐒
Endelea kupambana na wajinga wenzio msimbe wewe,Mimi si saizi yako!
 
sure,
kwenye mihemko na kuporomosha matusi mazito mazito kwa mpangilio maalumu , sikuwezi kabisa gentleman, hiyo nakubali 🤣

hapo well done! 🤣
 
endelea kuyaporomosha kwa uzito unaostahili basi,

huenda Chadema ikapendwa zaidi na Kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, mchoyo na mbinafsi huenda akapata kura nyingi zaidi na kuchaguliwa kua Mwenyekiti wa Chadema taifa,

maana matusi mazito mazito kama unavyoyaporomodha mbele ya wadau wa heshima sana JF, yamesaidia sana kibaraka kua maarufu na chadema kuonekana kama ilivyo,

well done gentleman 👊💪🐒
Namna unavyo andika ni hakika CCM utaendelea kukutumia uipiganie hapa JF kwasababu muandiko tu unaonyesha wewe ni mtu wa namna gani?

Mimi ningekuwa wewe ningetumia muda huu kwenda MEMKWA kujifunza kuandika !
 
sure,
kwenye mihemko na kuporomosha matusi mazito mazito kwa mpangilio maalumu , sikuwezi kabisa gentleman, hiyo nakubali 🤣

hapo well done! 🤣
Kuandika kwenyewe hujui,halafu bila aibu unaweka emoji's za kucheka!,huoni hata aibu?

Kweli mtaji wa CCM ni mazezeta kama wewe!
 
Namna unavyo andika ni hakika CCM utaendelea kukutumia uipiganie hapa JF kwasababu muandiko tu unaonyesha wewe ni mtu wa namna gani?

Mimi ningekuwa wewe ningetumia muda huu kwenda MEMKWA kujifunza kuandika !
huo ni uamuzi mzuri sana,
ila ule wa kuporomosha matusi mazito mazito ulikua unakuvunjia heshma sana,

kumbe wewe ni mwalimu wa muandiko kabisa aise?
matusi umejifinzia wapi sasa mwalimu? kumbe ni mtu wa maana kabisa, alaaa?🤣
 
Rudi shule ukajifunze kuandika na kupangilia Aya vizuri !

Huu ni ushauri wa Bure nakupatia,tofauti na hapo utaendelea kujivua nguo Solokobhwe wewe!
 
Kuandika kwenyewe hujui,halafu bila aibu unaweka emoji's za kucheka!,huoni hata aibu?

Kweli mtaji wa CCM ni mazezeta kama wewe!
sasa muerevu,
mbona ulikua unababaika na kuporomosha matusi tu badala ya kutoa mawazo mapya na fikra mbadala bora zaidi ya zilizotolewa na wadau?

mwenye akili na bongo kali hawezi kutukana wala kua na mihemko?

ni kweli kabisaa wewe ni muerevu?
hebu thibitishia wadau wa JF 🐒
 
Wewe ni miongoni mwa watu hapa JF niliwahi dhani una akili timamu,ila leo ndipo nimekuweka kwenye orodha ya watu wapumbavu & wajinga !

Umeridhihirisha hilo baada ya kuona namna ambavyo hata kuandika tu hujui,Sasa kama kuandika tu hujui ndiyo utaweza ku-question akili ya jiniasi Lisu ?

Hivi karibuni nitatoa orodha ya watu wajinga hapa JF na orodha hiyo wewe utakuwa miongoni mwao!
 
Rudi shule ukajifunze kuandika na kupangilia Aya vizuri !

Huu ni ushauri wa Bure nakupatia,tofauti na hapo utaendelea kujivua nguo Solokobhwe wewe!
sawa kitimbankwiri,

kuanzia leo,
acha kabisa tabia mbaya ya kuporomosha matusi mazito mazito mbele za watu wa heshima sana humu JF ?

sawa gentleman? nisione umetukana tena humu JF, right?

ukiwa huna hoja kaa kimya tu 🐒
 
Nimekwambia ukijenga hoja kisimbe nitakujibu kisimbe,ila ukijenga hoja zenye mantiki nitakujibu ki mantiki !

Akili nilizonazo kwenye ukoo wenu wote sidhani kama atapatikana mtu ambaye hata anakaribia ⅓ ya akili yangu !

Labda nikutie mimba angalau na wewe uzae mtoto mwenye akili kama Mimi ili ukoo wenu ujivunie!
 
Wewe ni miongoni mwa watu hapa JF niliwahi dhani una akili timamu,ila leo ndipo nimekuweka kwenye orodha ya watu wapumbavu & wajinga !

Umeridhihirisha hilo baada ya kuona namna ambavyo hata kuandika tu hujui,Sasa kama kuandika tu hujui ndiyo utaweza ku-question akili ya jiniasi Lisu ?

Hivi karibuni nitatoa orodha ya watu wajinga hapa JF na orodha hiyo wewe utakuwa miongoni mwao!
muerevu hapigwi ban 🤣

kinyume na hapo ndiyo hivyo tena kichwani mwake 🐒

Hata hivyo,
ni muhimu sana ikiwa unajibu unachoelezwa na mdau mwingine maana yake unajielewa,

ila badala ya kujieleza,
unaporomosha matusi mazito mazito 🤣

hiyo,
ni kujitambulisha kwa wadau jinsi kichwani kulivyo na ombwe la mawazo mapya na fikra mbadala.

Jiheshimu na ujikite kwenye hoja mahususi, mathalan hiyo iliyopo mezani kwamba Kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ni mchoyo na mbinafsi mbaya sana 🐒
 
Nimekwambia ukijenga hoja kisimbe nitakujibu kisimbe,ila ukijenga hoja zenye mantiki nitakujibu ki mantiki !

Akili nilizonazo kwenye ukoo wenu wote sidhani kama atapatikana mtu ambaye hata anakaribia ⅓ ya akili yangu !

Labda nikutie mimba angalau na wewe uzae mtoto mwenye akili kama Mimi ili ukoo wenu ujivunie!
huna haja kujiexpose kwa wadau wa JF kwamba wewe ni msimbe, hiyo pambana nayo kibinafsi gentleman 🤣

relax,
usijekujikuta unajiexpose kwamba hata kwenye familia umetengwa kwasabb za ki IQ🤣

jikite tu kwenye hoja za ubinafsi na uchoyo wa Kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi gentleman 🐒
 
muerevu hapigwi ban 🤣

kinyume na hapo ndiyo hivyo tena kichwani mwake 🐒

Hata hivyo,
ni muhimu sana ikiwa unajibu unachoelezwa na mdau mwingine maana yake unajielewa,

ila badala ya kujieleza,
unaporomosha matusi mazito mazito 🤣

hiyo,
ni kujitambulisha kwa wadau jinsi kichwani kulivyo na ombwe la mawazo mapya na fikra mbadala.

Jiheshimu na ujikite kwenye hoja mahususi, mathalan hiyo iliyopo mezani kwamba Kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ni mchoyo na mbinafsi mbaya sana 🐒
Kwanza inapaswa ushukuru leo mwanaume mwenye akili na timamu kama Mimi kujibishana na wewe!

Hilo inapaswa liwe moja ya mafanikio yako kwenye huu mwaka wa 2025,mara zote huwa wapumbavu nawaacha na upumbavu wao,ila wewe bahati ya mtende imekuangukia !,najua unafurahi sana leo na bila shaka huu Uzi ukamuonyeaha mumeo namna ambavyo mtu makini kama Mimi nimetumia muda kujibu ushubwada wako,nia na lengo ni kuona unabadilika kutoka jalalani ambako umeivua nguo akili yako na kuivalisha japo koti tu hiyo akili ili usiendelee kujitia aibu !

Lakini,pia hakuna hoja yoyote uliyoandika inayotaka majibu na ndiyo maana nikakutaka huu muda uliotumia kuandika huu upuuzi ungeutumia kumuandalia mumeo chai !
 
huna haja kujiexpose kwa wadau wa JF kwamba wewe ni msimbe, hiyo pambana nayo kibinafsi gentleman 🤣

relax,
usijekujikuta unajiexpose kwamba hata kwenye familia umetengwa kwasabb za ki IQ🤣

jikite tu kwenye hoja za ubinafsi na uchoyo wa Kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi gentleman 🐒
Shukuru Mungu nishaachana na zinaa,tofauti na hapo lazima ningekupa mimba ili kuibariki familia yenu ambayo yaelekea nyote kuandika hamjui!
 
Miaka zaidi ya 60 baada ya uhuru na 30 ya mfumo wa vyama vingi..dola inahangaika kupambana na vyama vya upinzani kwa kutumia pesa, vyeo na taasisi zenye majukumu mengine kabisa km UWT kupandikizia vyama watu wafanye hujuma vyama vife..ni jambo la kusikitisha na kukera! Kila Mwaka mpya unapoanza ni nafasi ya kurekebisha makosa na kunia kutenda mazuri kwa wenzio..!
 
naona kama kawaida kama kawa unarudi kwenye kuyapiromosha,

akili finyu bana 🤣
 
Miaka zaidi ya 60 baada ya uhuru na 30 ya mfumo wa vyama vingi..dola inahangaika kupambana na vyama vya upinzani kwa kutumia pesa, vyeo na taasisi zenye majukumu mengine kabisa km UWT kupandikizia vyama watu wafanye hujuma vyama vife..ni jambo la kusikitisha na kukera! Kila Mwaka mpya unapoanza ni nafasi ya kurekebisha makosa na kunia kutenda mazuri kwa wenzio..!
nadhani Tatizo kubwa ni ubinafsi, uchoyo, uchu na ulafu wa madaraka na chuki miongoni mwa upinzani ndiyo haswa kuchocheo cha hayo yote,

hata hivyo,
uzalendo wenye mashaka juu ya vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi umezidisha udhaifu wa upinzani, kiasi kwamba wanaishia kulaumiana wao kwa wao dhidi ya mifumo ya vyama vingine 🐒
 
Kwanza inapaswa ushukuru leo mwanaume mwenye akili na timamu kama Mimi kujibishana na wewe!

Hilo inapaswa liwe moja ya mafanikio yako kwenye huu mwaka wa 2025,mara zote huwa wapumbavu nawaacha na upumbavu wao,ila wewe bahati ya mtende imekuangukia !,najua unafurahi sana leo na bila shaka huu Uzi ukamuonyeaha mumeo namna ambavyo mtu makini kama Mimi nimetumia muda kujibu ushubwada wako,nia na lengo ni kuona unabadilika kutoka jalalani ambako umeivua nguo akili yako na kuivalisha japo koti tu hiyo akili ili usiendelee kujitia aibu !

Lakini,pia hakuna hoja yoyote uliyoandika inayotaka majibu na ndiyo maana nikakutaka huu muda uliotumia kuandika huu upuuzi ungeutumia kumuandalia mumeo chai !
hakuna mdau wa heshima wa JF anaweza kubabaika na mtu wa mihemko na kuporomosha matusi kama wewe gentleman 🐒

yaani mtu mwerevu na timamu wa akili ana tukana hivyo, kweli?

nakushuri tu kama mdau wa JF,
ikiwa hoja imekuzidi kiwango cha uzito wa fikra zako , na huna mawazo mapya mbadala,

kaa kimya tu na ujifunze kwa wenye mawazo bora zaidi, kuliko kuporomosha matusi mazito mazito. Unawakwaza wadau, na kujivunjia heshima wewe mwenyewe,

acha hiyo tabia, sawa gentleman?🐒
 
Back
Top Bottom