Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ni Mtu hatari asipuuzwe!

Mali hawajaaingia msituni wamewakamata kama kuku tu. Na ndivyo itakavyokuwa. Kwani aliyemkamata Keita kule Mali ni CDF? Ni wale wenye njaa. Stay tuned
 
Sasa watu waelewe tunaposema Membe anajitambua na ni kiongozi, siyo hili galasha la chadema kila siku kujisifu eti HAPATATOSHA.

Kiongozi lazima uwe na watu, Membe ana watu gani, and at his age ni siasa zipi anaweza kuzifanya nje ya siasa alizojifunza ccm? Zito ndio kajichanganya kumpokea, yaani karudia makosa ya cdm ya 2015.
 
Kwanini ufanye mambo ya kuzinguana ndiyo ujihalalishe ?!. Mnakubalika basi wachieni wananchi waamue
 
Lissu ni mbwa tu
 
[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
 
Hii imekaa poa. NEC na CCM wachochee haraka. kuna mazuzu ya ccm yandhani machafuko yakitolea yenyewe yatakuwa salama.

Hata huyo mwanajeshi atakuwa vitani lakini baba yake, mama yake, watoto wake na mke wake tutakuwa wote tunakula udongo huku kitaa.
Uzuzu hauchagui chama. Hata huko uliko pia kuna mazuzu, tena hatari.
 
Tatizo lako unadhani kila siku ni ijumaa
 
Hakuna taifa lenye rais mlemavu! Lisu hawezi kuwa rais, time will tell
 
Kijana kua jitambue ulipewa akil ili uish na sio kuwaza kuinuliwa na mtu
Tena usiombee vita kichaa wew kama unaona kwako itakupendeza nenda somalia huko
 
Mkuu Trust me

Lisu anaweza katwa and nothing will happen

Kinachoendelea kwa sasa ni ushabiki tu wa kawaida wa kisiasa, ila huko field jamaa wanamuona msaliti na hawatampigia kua za kutosha ashinde.

Chadema wenyewe wanafahamu hili, Urais ni habari nyingine kamanda.

Tulia uone namna Magufuli anarejea Ikulu Oktoba

Kama kawaida Tanzania ataibuka mshindi.
 
Msijitoe ufahamu, Lissu ni Makamu Mwenyekiti wa chama chake. Wakati wowote na muda wowote ule hakuna sheria inayomzuia kuwasiliana na Wanachama wake kama ilivyo kwa polepole, mangula, bashiru na wengineo wanavyofanya. CCM acheni bange.
 

Attachments

  • magu.jpeg
    128.6 KB · Views: 1
Umeongea kama Magufuli kabisa!
Kiwango kidogo sana cha kufikiri kimetumika
 
Kijana kua jitambue ulipewa akil ili uish na sio kuwaza kuinuliwa na mtu
Tena usiombee vita kichaa wew kama unaona kwako itakupendeza nenda somalia huko

Kumbe mnaogopa tutawamwaga mavi hatuna cha kupoteza. Huamini mpaka uone na utaona sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…