Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ni Mtu hatari asipuuzwe!

"Anayosema kihusu uchaguzi huru na haki iwe kweli vinginevyo dunia itashangazwa na Tanzania itaandika historia mpya!"
"Nashauri tuwe na uchaguzi huru na haki kweli kweli!"

Kwa mujibu wa sentensi hizo mbili labda niulize tu kwamba mtu hatari ni yule anae kubaliana na sentensi hizo, ama ni yule anae zikataa?
 
J3 au J4 itatoa Jibu kama Mh Rais Mtarajiwa Tundu Lissu amedhamiria au la
 
Atazimwa yeye asubuhi na watanzania wataendelea na mishe zao kama hakuna lilitokea.
Mwambieni hapa nchini siyo ubelgiji

Najua unaumia sana na haukutegemea ila ndo hivyo vumilia tu.
 
Tujipe muda,
Siku zote Lisemwalo lipo na halina taarifa huja ghafla kama kifo
 
Msituni sio
 
hapa amekosekana tu mchungaji mtikila ili column itimie
 
Atakaye iponya nchi na atakayeiangamiza nchi ni Magufuli.
Hata kwa kikwete ngonjera zilikuwa hizihizi, mnabadilisha maneno tu tune ileile. Kwa maneno yako kuwa ni mtu hatari Basi huyu akipewa nchi ataharibu. Hatapewa.
 
Hata kwa kikwete ngonjera zilikuwa hizihizi, mnabadilisha maneno tu tune ileile. Kwa maneno yako kuwa ni mtu hatari Basi huyu akipewa nchi ataharibu. Hatapewa.
Umesoma wasifu wake hapo juu kabla ya ku comment?
 
Mbona mchezo tunamaliza kabla ya kuisha misa ya kwanza
 
Daaah,huku duniani bana,kuna watu walisema mpk 2020,upinzani utakua umefutika,ila naona imekua kinyume nyume.sio mchezo haya mambo
 
Yani miaka 5 mingine ya mateso hapana aisee
 
haha yani kila mtu anangoja atokee mtu mwingine aanzishe ma keyboard warriors mna shida sana
 
😀😀 mikwara mingi nyuma ya keyboard wakati live huwezi hata kutembea mwenyewe koridoni umeme ukikatika
 
Ni muhimu kujenga taifa la watu wanaoamini katika haki na kweli.
Maendeleo ya kweli na endelevu yatakuwepo pale tu raia wakiwa na Imani katika kweli, haki na usawa katika Mambo ya msingi kama uchaguzi.
Nchi zote zilizoendelea hazina udanganyifu wa wazi na ubabe katika Mambo ya msingi kama uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…