Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ni Mtu hatari asipuuzwe!

Lissu atazinguliwa tu na hakuna mtakachoweza kufanya, mmejaa humu na majina feki kwa uoga halafu mnaongelea mapinduzi. Sijawahi ona watu waoga na wenye mikwara Kama wabongo. Lissu hana madhara yoyote Ila mitandaoni ndo mnampaisha sana. Yawezekana safari yake ikaishia wiki ijayo na mtaishia kulalamika humu tu. Huwa nasema siku zote, Lissu ana akili nyingi sana za darasani Ila kuhusu elimu DUNIA ni ZERO kichwani.
Jmc a. Ka jamaa mtoto wa chanika mtu Mwenye uthubutu wa kuweka jina lake jamii forums
 
Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu kumepatikana mwamko na amsha amsha za aina yake!

Kupitia Safu hii napenda nijadili haiba ya wagombea urais aina ya Lissu!

Kwa waliopita ktk system ya kusolve migogoro ya power corridors ndani na nje ya nchi mtakubaliana nami hiki ninachokwenda kuandika hapa.

Duniani kote wanaotumika kuleta mapinduzi au kuongoza mageuzi huwa ni watu ambao hawana cha kupoteza ktk maisha (lumpen)

Lissu amepitia Kitu tunaita’Near Death Experience’ Duniani kote wanasiasa au wanaharakati waliopitia the Near death Experience huwa majasiri na hatari sana! Wanaopanga njama dhidi yao huchagua kufa au kupona.

Spirit Yao huwa ni kali sana na hubadilisha upepo wa mambo kwa kasi sana!

Wanaomsikiliza Lissu wanaweza kuona anatania au anatishia but psychologically anachoongea Lissu kinatoka moyoni na anadhamiria.

Miaka mingi tumekuwa tukisema upinzani umepoa na hamna wa kukinukisha ni kwa sababu hapajawai tokea Mtu wa kuongoza aina ya Lissu ambaye kwa hatua aliyopo ni Kama hana tena cha kupoteza ktk maisha.

Hivyo kupitia safu hii nasema tena Lissu asipuuzwe!

Anayosema kihusu uchaguzi huru na haki iwe kweli vinginevyo dunia itashangazwa na Tanzania itaandika historia mpya!

Nashauri tuwe na uchaguzi huru na haki kweli kweli!
Mimi nilifikiri unaonya kuhusu uongo kuropoka na kama lissu ni kibaraka hatari kumbe unaonya kuhusu uchaguzi uwe huru? Mbona uchaguzi siku zote uko huru tu. Hao wanasheria wake waliyowekwa na mabwana zake wala hawatishi kitu. Sanasana wataaibika tu
 
Lissu atazinguliwa tu na hakuna mtakachoweza kufanya, mmejaa humu na majina feki kwa uoga halafu mnaongelea mapinduzi. Sijawahi ona watu waoga na wenye mikwara Kama wabongo. Lissu hana madhara yoyote Ila mitandaoni ndo mnampaisha sana. Yawezekana safari yake ikaishia wiki ijayo na mtaishia kulalamika humu tu. Huwa nasema siku zote, Lissu ana akili nyingi sana za darasani Ila kuhusu elimu DUNIA ni ZERO kichwani.
Mapambano ni jukwaani , sahau kumuengua Lissu
 
Lissu atazinguliwa tu na hakuna mtakachoweza kufanya, mmejaa humu na majina feki kwa uoga halafu mnaongelea mapinduzi. Sijawahi ona watu waoga na wenye mikwara Kama wabongo. Lissu hana madhara yoyote Ila mitandaoni ndo mnampaisha sana. Yawezekana safari yake ikaishia wiki ijayo na mtaishia kulalamika humu tu. Huwa nasema siku zote, Lissu ana akili nyingi sana za darasani Ila kuhusu elimu DUNIA ni ZERO kichwani.
Naku zoom tu kwa ufifirio wa Gwajima a.k.a mshenga
 
Lissu atazinguliwa tu na hakuna mtakachoweza kufanya, mmejaa humu na majina feki kwa uoga halafu mnaongelea mapinduzi. Sijawahi ona watu waoga na wenye mikwara Kama wabongo. Lissu hana madhara yoyote Ila mitandaoni ndo mnampaisha sana. Yawezekana safari yake ikaishia wiki ijayo na mtaishia kulalamika humu tu. Huwa nasema siku zote, Lissu ana akili nyingi sana za darasani Ila kuhusu elimu DUNIA ni ZERO kichwani.
Usitufokee kwani JF kuna watu kutoka nchi gani unaongea as if hapa Jamii forums kuna makazi ya watu wanaishi humu, tulienda kumpokea airport ni sis watu unaowaita wa Jamii forums, tulikua tunajaza nyomi kwenye mikutano yake ni sisi watu wa Jamii forums ID sio hoja mbona wewe unatumia jina fake
 
Lissu atazinguliwa tu na hakuna mtakachoweza kufanya, mmejaa humu na majina feki kwa uoga halafu mnaongelea mapinduzi. Sijawahi ona watu waoga na wenye mikwara Kama wabongo. Lissu hana madhara yoyote Ila mitandaoni ndo mnampaisha sana. Yawezekana safari yake ikaishia wiki ijayo na mtaishia kulalamika humu tu. Huwa nasema siku zote, Lissu ana akili nyingi sana za darasani Ila kuhusu elimu DUNIA ni ZERO kichwani.
Mabashite bhana ndio zilezile akitua tu anapelekwa segerea pathetic
 
Hakuna haki Duniani, haki ipo mbinguni tu. Na tumejiandaa JPM ashinde ngwe ya pili kwa njia yoyote. Wazungu wanasema By any means necessary. Watanzania walioamini Lowassa atawaletea mabadiliko mpaka wakadeki Lami sio wa kuwaacha waamue wenyewe,wanaweza mchagua hata Makonda awe Raisi ukiwaacha waamue. Ni ubabe ubabe tu. Kama mnaweza ingieni msituni vinginevyo subirini JPM aapishwe November mwaka huu.Mmezoea kuambiwa maneno ya kuwapa moyo, mi nawapa live. LISSU hawezi kuwa Raisi wa Tanzania,sio Leo sio 2025 . NEVER.
Tanzania 🇹🇿 iko salama kuliko kipindi chochote hakuna atakayechezea amani ambayo imejengwa kwa kupoteza roho za baba zetu,kwa kuzikomboa nchi zilizo kusini mwa afrika,kwa kuondoa nduli iddi amini.Leo aje kichaa mmoja awake eti HAPATATOSHA!!!!! Sisi tunamwambia patatosha na kuzidi.Ajaribu ataonja utamu.
 
Lissu atazinguliwa tu na hakuna mtakachoweza kufanya, mmejaa humu na majina feki kwa uoga halafu mnaongelea mapinduzi. Sijawahi ona watu waoga na wenye mikwara Kama wabongo. Lissu hana madhara yoyote Ila mitandaoni ndo mnampaisha sana. Yawezekana safari yake ikaishia wiki ijayo na mtaishia kulalamika humu tu. Huwa nasema siku zote, Lissu ana akili nyingi sana za darasani Ila kuhusu elimu DUNIA ni ZERO kichwani.
Mawazo yako ni ya kijinga sana yaliyojaa Ushetani wa IBILISI. Na mara nyingi mawazo ya namna hii huwapata Mafisadi na Majizi ya nchi kutoka CCM
 
Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu kumepatikana mwamko na amsha amsha za aina yake!

Kupitia Safu hii napenda nijadili haiba ya wagombea urais aina ya Lissu!

Kwa waliopita ktk system ya kusolve migogoro ya power corridors ndani na nje ya nchi mtakubaliana nami hiki ninachokwenda kuandika hapa.

Duniani kote wanaotumika kuleta mapinduzi au kuongoza mageuzi huwa ni watu ambao hawana cha kupoteza ktk maisha (lumpen)

Lissu amepitia Kitu tunaita’Near Death Experience’ Duniani kote wanasiasa au wanaharakati waliopitia the Near death Experience huwa majasiri na hatari sana! Wanaopanga njama dhidi yao huchagua kufa au kupona.

Spirit Yao huwa ni kali sana na hubadilisha upepo wa mambo kwa kasi sana!

Wanaomsikiliza Lissu wanaweza kuona anatania au anatishia but psychologically anachoongea Lissu kinatoka moyoni na anadhamiria.

Miaka mingi tumekuwa tukisema upinzani umepoa na hamna wa kukinukisha ni kwa sababu hapajawai tokea Mtu wa kuongoza aina ya Lissu ambaye kwa hatua aliyopo ni Kama hana tena cha kupoteza ktk maisha.

Hivyo kupitia safu hii nasema tena Lissu asipuuzwe!

Anayosema kihusu uchaguzi huru na haki iwe kweli vinginevyo dunia itashangazwa na Tanzania itaandika historia mpya!

Nashauri tuwe na uchaguzi huru na haki kweli kweli!
Yani bora hata corona kuliko uyu kirus lisu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]eti tutashtakiwa miga

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna haki Duniani, haki ipo mbinguni tu. Na tumejiandaa JPM ashinde ngwe ya pili kwa njia yoyote. Wazungu wanasema By any means necessary. Watanzania walioamini Lowassa atawaletea mabadiliko mpaka wakadeki Lami sio wa kuwaacha waamue wenyewe,wanaweza mchagua hata Makonda awe Raisi ukiwaacha waamue. Ni ubabe ubabe tu. Kama mnaweza ingieni msituni vinginevyo subirini JPM aapishwe November mwaka huu.Mmezoea kuambiwa maneno ya kuwapa moyo, mi nawapa live. LISSU hawezi kuwa Raisi wa Tanzania,sio Leo sio 2025 . NEVER.
Asante kwa kuendelea kutupa ushahidi muhimu!! Ubarikiwe sana. Jiandae kuwa na huyo Magufuli wako ICC hapo next year mkijibu mashtaka yenu
 
Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu kumepatikana mwamko na amsha amsha za aina yake!

Kupitia Safu hii napenda nijadili haiba ya wagombea urais aina ya Lissu!

Kwa waliopita ktk system ya kusolve migogoro ya power corridors ndani na nje ya nchi mtakubaliana nami hiki ninachokwenda kuandika hapa.

Duniani kote wanaotumika kuleta mapinduzi au kuongoza mageuzi huwa ni watu ambao hawana cha kupoteza ktk maisha (lumpen)

Lissu amepitia Kitu tunaita’Near Death Experience’ Duniani kote wanasiasa au wanaharakati waliopitia the Near death Experience huwa majasiri na hatari sana! Wanaopanga njama dhidi yao huchagua kufa au kupona.

Spirit Yao huwa ni kali sana na hubadilisha upepo wa mambo kwa kasi sana!

Wanaomsikiliza Lissu wanaweza kuona anatania au anatishia but psychologically anachoongea Lissu kinatoka moyoni na anadhamiria.

Miaka mingi tumekuwa tukisema upinzani umepoa na hamna wa kukinukisha ni kwa sababu hapajawai tokea Mtu wa kuongoza aina ya Lissu ambaye kwa hatua aliyopo ni Kama hana tena cha kupoteza ktk maisha.

Hivyo kupitia safu hii nasema tena Lissu asipuuzwe!

Anayosema kihusu uchaguzi huru na haki iwe kweli vinginevyo dunia itashangazwa na Tanzania itaandika historia mpya!

Nashauri tuwe na uchaguzi huru na haki kweli kweli!
Watasema wana vyombo vya dola watamkontrol. Kumbe vyombo vyenyewe vimeshaona anaonewa.
 
NEC wanamkata huyo, haya ishu
 
Mimi nilifikiri unaonya kuhusu uongo kuropoka na kama lissu ni kibaraka hatari kumbe unaonya kuhusu uchaguzi uwe huru? Mbona uchaguzi siku zote uko huru tu. Hao wanasheria wake waliyowekwa na mabwana zake wala hawatishi kitu. Sanasana wataaibika tu
CCM fanyeni ujinga wenu mwaka huu. Majibu mtayapata
 
Lissu atazinguliwa tu na hakuna mtakachoweza kufanya, mmejaa humu na majina feki kwa uoga halafu mnaongelea mapinduzi. Sijawahi ona watu waoga na wenye mikwara Kama wabongo. Lissu hana madhara yoyote Ila mitandaoni ndo mnampaisha sana. Yawezekana safari yake ikaishia wiki ijayo na mtaishia kulalamika humu tu. Huwa nasema siku zote, Lissu ana akili nyingi sana za darasani Ila kuhusu elimu DUNIA ni ZERO kichwani.
Angekua hana madhara yoyote basi ata media zingekua huru kutangaza hbr zake
 
Back
Top Bottom