Tundu Lissu ni Muasi au Mhaini? Ipi ni Kesi ya Msingi?

Msajili wa vyama vya siasa amesema ,No reform,no election wa chama pinzani ,hakuna madhara yoyote,ni misemo ya wanasiasa majukwaani!Haya mambo yakiendelea hivi ya kukamatakamata watu kwa vigezo dhaifu ni udhaifu pia kwa wanaotoa hizo Amri.Pia ni kutangaza muhusika na kufanya ajulikane hata na wasio mfahamu!
 
Amos aliongea ule uzushi wa Mpox na Ebola kwa faida ya nani? Na kwanini mpaka sasa Amos anadunda mtaani pamoja na kuhatarisha usalama wa Nchi?
Tunasema alizua taharuki Kwa Nchi bila sababu ya Msingi Kwa jambo ambalo halipo.
Ni sawa na Kosa alilofanya Rais wa Korea kusini na hatimae kafukuzwa urais, naye alizua Taharuki Kwa kutaka kuweka utawala wa Kijeshi bilasababu za Msingi
 
Chawa ktk ubora wake!
Kwa hivyo hao watawala wanaotaka kutuingiza kwenye uchaguzi kwa sheria zinazowafeva wao ndio wazalendo hao??!!.

Sawa, mie chawa wa serikali yangu ila wewe chawa wa tundu

Ila elewa hatuwezi kuiweka nchi yetu mikononi mwa mnafki, muasi na mhaini kama Tundu. Wala hamna haja ya kujichosha kwa hilo maana haiwezekani
 
Umechangia Upumbavu!

Mpumbavu kama wewe hajui iilicho bora ndio maana anaona yeye ndio mwerevu.

Ficha upumbavu wako kwa kutochangia isichokijua au tafuta kujua kabla ya kuchangia
 
Hayo mtayaeleza mahakamani,huku jf hayatakusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…