WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 8,437
- 8,136
Subra ya kuumizana kwa makusudi siyo subra bali ni ukoloni wa fikra.Baada ya Pasaka April 24, itajulikana gentleman,
ni muhimu sana kuwepo na ustahimilivu na subra 🐒

Baada ya Pasaka April 24, itajulikana gentleman,Hamjambo watu wote!
Lissu ni Muasi au Mhaini?
Muasi ni mtu anayepinga au aliyekinyume au asiyemtiifu kwa Watawala au Kikundi Fulani. Lakini sharti Muasi awe sehemu ya hicho Kikundi.
Yaani kama wewe ni CHADEMA alafu ukawa kinyume na CHADEMA au ukapinga Jambo Fulani ndani ya CHADEMA. Ambalo pengine Jambo hilo wengi walilikubali Basi wewe unageuka kuwa MUASI.
Hata hivyo Mtu anaweza kuwa MUASI kupinga Jambo Fulani tuu ambalo anaona halipo Sawa. Lakini mambo mengine akawa anakubaliana nayo.
Mtu wa CCM hawezi kuwa MUASI wa CHADEMA na mtu wa CHADEMA hawezi kuwa MUASI wa CCM kwa Sababu Kanuni ya uasi lazima mtu awe sehemu ya Kikundi husika au sehemu husika.
Mfano; Muislam hawezi KUWA Muasi wa Ukristo. Na mkristo hawezi KUWA Muasi katika uislam.
UHAINI.
Uhaini ni kitendo cha kutaka kupindua serikali au ufalme au utawala Fulani. Au kitendo cha kutaka kusababisha Vita ambayo vita hiyo inalenga kupindua serikali au utawala au ufalme Fulani. Huo ni uhaini.
Mtenda uhaini sio lazima awe sehemu ya Kikundi, utawala, au sehemu ya nchi.
Hii ni kusema Raia wa Tanzania anaweza kufanya kosa la uhaini nchini Marekani.
Lakini Raia wa Tanzania hawezi kuwa Muasi wa Marekani.
Na ikitokea akajiunga na waasi wa Marekani Basi hataitwa Muasi isipokuwa ataitwa MAMLUKI.
Uasi ni Moja ya Mbinu zinazotumika katika kufanya Uhaini. Kwa sababu huwezi kuwa Mhaini ndani ya nchi yako kama haujawa MUASI.
Unaanza uasi ndipo unafuata Uhaini.
Je kila uasi ni Uhaini?
Hapana!
Sio kila Uasi ni uhaini.
Mfano, Wamasai wa Ngorongoro Walifanya Uasi dhidi ya serikali wakakataa kuhama kutoka Ngorongoro kuelekea Tanga. Ule ni Uasi.
Yaani kutokutii amri ya Serikali.
Dhamira ya uasi WA wamasai wa Ngorongoro haikuwa kufanya Uhaini yaani kuangusha serikali isipokuwa sababu kubwa ilikuwa kulinga uamuzi wa serikali kuwahamisha eneo la Ngorongoro kwa sababu walizozitoa.
Je Lisu na wenzake Kupinga uchaguzi Mkuu ni Uasi?
Ndio Lisu Kupinga uchaguzi Mkuu ni Uasi.
Je Lisu na wenzake Kupinga Uchaguzi Mkuu ni Uhaini?
Hapana, Sio Uhaini.
Kupinga uchaguzi Mkuu sio kupindua serikali. Sio kutaka kuangusha utawala Wala sio kutaka kuleta vita.
Isipokuwa maamuzi ya serikali ya namna ya kushughulikia upingaji huo ndio huweza kuleta matokeo mazuri au Mabaya.
Lisu na wenzake wanasema NO REFORMS NA ELECTION wakimaanisha kama Sheria na Kanuni Fulani walizopendekeza hazitafanyiwa maboresho au kuwekwa Basi hakutakuwa na uchaguzi.
Hii ni kumaanisha Lisu na wenzake hawapingi uwepo wa uchaguzi isipokuwa wanataka Reforms ili uchaguzi ufanyike kwa Haki na Uhuru.
Katika ulingo wa Sheria na Haki, Lisu na wenzake wapo upande sahihi. Kwa sababu;
1. Hawajapinga uchaguzi isipokuwa wanataka Reforms katika uchaguzi ili ufanyike.
2. Wanataka HAKI na Uhuru katika uchaguzi.
Je Kupinga uchaguzi ni Kupinga serikali?
Hapana, Uchaguzi sio wa serikali Bali ni uchaguzi wa wananchi kuchagua Serikali.
Hivyo wananchi wanayohaki ya kuona ni Sheria zipi za Haki zitawasaidia kuchagua Serikali ya Watu.
Uchaguzi Mkuu unahusu wananchi zaidi kuliko serikali inayochaguliwa au iliyopo madarakani.
Ikiwa uchaguzi Mkuu utaihusu serikali iliyopo madarakani au Ile inayoenda kuchaguliwa hauwi tena uchaguzi kwa maana ya Halisi ya uchaguzi. Ambapo uchaguzi humaanisha Uhuru wa Haki katika kufanya Maamuzi ya kuchagua.
Na kama kuna Uhuru na Haki Basi sheria za HAKI sharti ziwe za Haki.
Je Lisu kuchochea Uasi katika Kupinga uchaguzi Mkuu bila reforms ni KOSA?
Sio Kosa kwa Sababu Lisu ni Mwananchi lakini pia kiongozi wa CHADEMA ambacho kimesajiliwa Tanzania. Anahaki ya Kutaka reforms za Haki zitakazowawezesha Watanzania wote Kuwa Huru na kuchagua kwa Haki viongozi wataounda serikali. Kuchagua Serikali itakayowaongoza.
Hatua sahihi ambazo zingepaswa kuchukuliwa ambazo zinatija na za HAKI;
1. Serikali ingeunda tume ya kuunda hizo reforms za uchaguzi.
Vyama vyote vya siasa ikiwemo CCM, CHADEMA na ACT, pamoja na wadau wote wa Sheria wangehusishwa katika uundaji wa hizo reforms. Reform lazima ziguse maslahi ya wananchi ambao watafanya uchaguzi na sio vyama vya siasa.
2. Uchaguzi wa mwaka ungesogezwa mbele kwa hoja ya dharura kuwasilishwa bungeni. Ili kupisha mchakato.
3. Mijadala na midahalo mbalimbali ingeitishwa na elimu kutolewa.
4. Vyombo vya Dola havipaswi kuwa vibaraka na Watumwa wa Wanasiasa isipokuwa vitumikie wananchi kwa kufuata Sheria.
5. Mchakato wa Katiba MPYA ungeendelea pale ulipoishia.
Je Lisu ni Muasi au Mhaini?
Ijumaa Kareem.
Nawatakia maandalizi Mema ya Sabato
Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
ni muhimu kutoa nyongo moyoni ili kupata pumzi mpya ya fikra, but ukweli utabaki pale pale gentleman,Subra ya kuumizana kwa makusudi siyo subra bali ni ukoloni wa fikra.
hakuna danadana kwenye ukweli gentleman 🐒Hapo ni danadana Mpaka Mpira utoke nje
Alishakubali mwenyewe, acha kumtetea.Hamjambo watu wote!

hakuna danadana kwenye ukweli gentleman 🐒
Ndo utumie uhuru wako kuchangia ujinga badala ya hoja za kujenga na kuimarisha utaifa wetu?Na tunachojadili ni siasa
Mtoa maada ameweka maada hapa ili kwa uhuru kabisaa tuchangie tunachochangia
NukuuHamjambo watu wote!

Akili za KI-ccm hiziTundu ni muasi
Tundu ni mhaini
Hana maadili ya kiuongozi
Hana hekima wala busara
Hana uzalendo hata tone
Nenda mahakamani ukaaonyeshe umahiri wako, humu utaishia kupata likes za nyumbu tu wasiojua lolote......sijasema we hujui kamanda, nisieleweke vibaya🙏🙏🙏Hamjambo watu wote!

Hawezi jibu huyo chawa aka kupe wa mamaNdo utumie uhuru wako kuchangia ujinga badala ya hoja za kujenga na kuimarisha utaifa wetu?
Hebu jaribu kujibu maswali haya:
1. Kwa hali ilivyo sasa wewe unaonaje? Kwamba, Je, Tanzania inahitaji kufanya reforms ktk mfumo wetu wa kupata Viongozi kwa njia za chaguzi HURU, ZA WAZI, ZA HAKI na za KUAMINIKA au la...?
2. Wewe kwa mtazamo wako huru unaonaje? Kwamba, mtu yeyote akisimama na kusema, NO REFORMS NO ELECTION anakuwa anafanya kosa la uhaini au uasi..?
3. Je, kwa kusoma andiko la Robert Heriel Mtibeli, unaweza kutoa conclusion gani kwa ufahamu na akili yako, kwamba, Tundu Lissu Lissu ni haini au ni mwasi..?
Na nyumbu wewe unaingia kwenye mtanange huu,ceti? Mbona umeshindwa kabla ya kuanza. Kapike ugali huko.Nukuu
"...Kifungu cha 39 (1) cha kanuni za adhabu kinasema kuwa mtu yeyote ambaye yumo ndani ya Jamhuri ya Muungano au popote, kujaribu kumuua Rais, kuanzisha vita dhidi ya Jamhuri ya Muungano, kusababisha, kuwezesha, kuchochea, kushawishi, kushauri kuhusu kifo, kumwondolea Rais heshima na jina la Mkuu wa nchi, Amiri jeshi mkuu, au kiongozi wa Serikali, kupindua serikiali iliyo madarakani, kutishia Serikali, Bunge au Mahakama kwa makosa haya na yale yaliyotajwa hapo juu mtu wa namna hiyo atakuwa ametenda kosa la jinai ambalo ni kosa la uhaini...."
1. Ameasi kutoka kwenye mamlaka ipi ambayo alikuwemo?
2. Amemhaini nani?
3. Vita ameianzisha lini, wapi na dhidi ya nani?
4. Mtuhumiwa ana silaha za kufanikisha tuhuma zilizotajwa?
-Kamchochea nani na aliyechochewa akachocheka?
-Alitaka kumuua nani, lini na wapi?
Unaroho mbaya kuliko hata shetani, nyie ndo mliojitoa akili kudhani damu za watanzania ni kama maji ya bahari, ipo siku yenuWe hunaga akili, umeandika uzushi, uwongo, upotoshaji na upuuzi mwingine mwingi, kwa faida ya nani? Masai wa wapi wamekataa kuhama Ngorongoro? Acha upotoshaji, wamasai walicholalamikia mwaka jana ni huduma za shule na afya kusitishwa.
Unapenda sana makalio ya manesi hivyo kujibu hoja za msingi huwezi wewe.Nenda mahakamani ukaaonyeshe umahiri wako, humu utaishia kupata likes za nyumbu tu wasiojua lolote......sijasema we hujui kamanda, nisieleweke vibaya🙏🙏🙏
Hakika.Unaroho mbaya kuliko hata shetani, nyie ndo mliojitoa akili kudhani damu za watanzania ni kama maji ya bahari, ipo siku yenu
Nenda mahakamani ukaaonyeshe umahiri wako, humu utaishia kupata likes za nyumbu tu wasiojua lolote......sijasema we hujui kamanda, nisieleweke vibaya🙏🙏🙏
Wengine hatujasoma Sheria. Hayo peleka kwenye Jopo la Mawakili wa Lissu inaweza itawasaidia. Lakini kiukweli kabisa, mimi naamini Polisi walichelewa sana kumkamata na kumshtaki Lissu kwa uhaini! Ila nalipongeza maana better late than never!Hamjambo watu wote!
Lissu ni Muasi au Mhaini?
Muasi ni mtu anayepinga au aliyekinyume au asiyemtiifu kwa Watawala au Kikundi Fulani. Lakini sharti Muasi awe sehemu ya hicho Kikundi.
Yaani kama wewe ni CHADEMA alafu ukawa kinyume na CHADEMA au ukapinga Jambo Fulani ndani ya CHADEMA. Ambalo pengine Jambo hilo wengi walilikubali Basi wewe unageuka kuwa MUASI.
Hata hivyo Mtu anaweza kuwa MUASI kupinga Jambo Fulani tuu ambalo anaona halipo Sawa. Lakini mambo mengine akawa anakubaliana nayo.
Mtu wa CCM hawezi kuwa MUASI wa CHADEMA na mtu wa CHADEMA hawezi kuwa MUASI wa CCM kwa Sababu Kanuni ya uasi lazima mtu awe sehemu ya Kikundi husika au sehemu husika.
Mfano; Muislam hawezi KUWA Muasi wa Ukristo. Na mkristo hawezi KUWA Muasi katika uislam.
UHAINI.
Uhaini ni kitendo cha kutaka kupindua serikali au ufalme au utawala Fulani. Au kitendo cha kutaka kusababisha Vita ambayo vita hiyo inalenga kupindua serikali au utawala au ufalme Fulani. Huo ni uhaini.
Mtenda uhaini sio lazima awe sehemu ya Kikundi, utawala, au sehemu ya nchi.
Hii ni kusema Raia wa Tanzania anaweza kufanya kosa la uhaini nchini Marekani.
Lakini Raia wa Tanzania hawezi kuwa Muasi wa Marekani.
Na ikitokea akajiunga na waasi wa Marekani Basi hataitwa Muasi isipokuwa ataitwa MAMLUKI.
Uasi ni Moja ya Mbinu zinazotumika katika kufanya Uhaini. Kwa sababu huwezi kuwa Mhaini ndani ya nchi yako kama haujawa MUASI.
Unaanza uasi ndipo unafuata Uhaini.
Je kila uasi ni Uhaini?
Hapana!
Sio kila Uasi ni uhaini.
Mfano, Wamasai wa Ngorongoro Walifanya Uasi dhidi ya serikali wakakataa kuhama kutoka Ngorongoro kuelekea Tanga. Ule ni Uasi.
Yaani kutokutii amri ya Serikali.
Dhamira ya uasi WA wamasai wa Ngorongoro haikuwa kufanya Uhaini yaani kuangusha serikali isipokuwa sababu kubwa ilikuwa kulinga uamuzi wa serikali kuwahamisha eneo la Ngorongoro kwa sababu walizozitoa.
Je Lisu na wenzake Kupinga uchaguzi Mkuu ni Uasi?
Ndio Lisu Kupinga uchaguzi Mkuu ni Uasi.
Je Lisu na wenzake Kupinga Uchaguzi Mkuu ni Uhaini?
Hapana, Sio Uhaini.
Kupinga uchaguzi Mkuu sio kupindua serikali. Sio kutaka kuangusha utawala Wala sio kutaka kuleta vita.
Isipokuwa maamuzi ya serikali ya namna ya kushughulikia upingaji huo ndio huweza kuleta matokeo mazuri au Mabaya.
Lisu na wenzake wanasema NO REFORMS NA ELECTION wakimaanisha kama Sheria na Kanuni Fulani walizopendekeza hazitafanyiwa maboresho au kuwekwa Basi hakutakuwa na uchaguzi.
Hii ni kumaanisha Lisu na wenzake hawapingi uwepo wa uchaguzi isipokuwa wanataka Reforms ili uchaguzi ufanyike kwa Haki na Uhuru.
Katika ulingo wa Sheria na Haki, Lisu na wenzake wapo upande sahihi. Kwa sababu;
1. Hawajapinga uchaguzi isipokuwa wanataka Reforms katika uchaguzi ili ufanyike.
2. Wanataka HAKI na Uhuru katika uchaguzi.
Je Kupinga uchaguzi ni Kupinga serikali?
Hapana, Uchaguzi sio wa serikali Bali ni uchaguzi wa wananchi kuchagua Serikali.
Hivyo wananchi wanayohaki ya kuona ni Sheria zipi za Haki zitawasaidia kuchagua Serikali ya Watu.
Uchaguzi Mkuu unahusu wananchi zaidi kuliko serikali inayochaguliwa au iliyopo madarakani.
Ikiwa uchaguzi Mkuu utaihusu serikali iliyopo madarakani au Ile inayoenda kuchaguliwa hauwi tena uchaguzi kwa maana ya Halisi ya uchaguzi. Ambapo uchaguzi humaanisha Uhuru wa Haki katika kufanya Maamuzi ya kuchagua.
Na kama kuna Uhuru na Haki Basi sheria za HAKI sharti ziwe za Haki.
Je Lisu kuchochea Uasi katika Kupinga uchaguzi Mkuu bila reforms ni KOSA?
Sio Kosa kwa Sababu Lisu ni Mwananchi lakini pia kiongozi wa CHADEMA ambacho kimesajiliwa Tanzania. Anahaki ya Kutaka reforms za Haki zitakazowawezesha Watanzania wote Kuwa Huru na kuchagua kwa Haki viongozi wataounda serikali. Kuchagua Serikali itakayowaongoza.
Hatua sahihi ambazo zingepaswa kuchukuliwa ambazo zinatija na za HAKI;
1. Serikali ingeunda tume ya kuunda hizo reforms za uchaguzi.
Vyama vyote vya siasa ikiwemo CCM, CHADEMA na ACT, pamoja na wadau wote wa Sheria wangehusishwa katika uundaji wa hizo reforms. Reform lazima ziguse maslahi ya wananchi ambao watafanya uchaguzi na sio vyama vya siasa.
2. Uchaguzi wa mwaka ungesogezwa mbele kwa hoja ya dharura kuwasilishwa bungeni. Ili kupisha mchakato.
3. Mijadala na midahalo mbalimbali ingeitishwa na elimu kutolewa.
4. Vyombo vya Dola havipaswi kuwa vibaraka na Watumwa wa Wanasiasa isipokuwa vitumikie wananchi kwa kufuata Sheria.
5. Mchakato wa Katiba MPYA ungeendelea pale ulipoishia.
Je Lisu ni Muasi au Mhaini?
Ijumaa Kareem.
Nawatakia maandalizi Mema ya Sabato
Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
Roho mbaya haijengi endelea kujifunza pole pole thamani ya mtu.Wengine hatujasoma Sheria. Hayo peleka kwenye Jopo la Mawakili wa Lissu inaweza itawasaidia. Lakini kiukweli kabisa, mimi naamini Polisi walichelewa sana kumkamata na kumshtaki Lissu kwa uhaini! Ila nalipongeza maana better late than never!