Tundu Lissu ni Muasi au Mhaini? Ipi ni Kesi ya Msingi?

Kesi iwe ya uasi kwamba Lisu anataka kuzuia uchaguzi

Kwenye uhaini hapo ,IGP kaboronga na dpp

Hata ikiwa uasi ,atawapelekea moto K zao zitaiva mahakamani mpaka wakome

Kwani
No reform no election ,itakuwa imehamishiwa mahakamani
 
Hamjambo watu wote!

Lissu ni Muasi au Mhaini?

Muasi ni mtu anayepinga au aliyekinyume au asiyemtiifu kwa Watawala au Kikundi Fulani. Lakini sharti Muasi awe sehemu ya hicho Kikundi.

Yaani kama wewe ni CHADEMA alafu ukawa kinyume na CHADEMA au ukapinga Jambo Fulani ndani ya CHADEMA. Ambalo pengine Jambo hilo wengi walilikubali Basi wewe unageuka kuwa MUASI.

Hata hivyo Mtu anaweza kuwa MUASI kupinga Jambo Fulani tuu ambalo anaona halipo Sawa. Lakini mambo mengine akawa anakubaliana nayo.

Mtu wa CCM hawezi kuwa MUASI wa CHADEMA na mtu wa CHADEMA hawezi kuwa MUASI wa CCM kwa Sababu Kanuni ya uasi lazima mtu awe sehemu ya Kikundi husika au sehemu husika.
Mfano; Muislam hawezi KUWA Muasi wa Ukristo. Na mkristo hawezi KUWA Muasi katika uislam.

UHAINI.
Uhaini ni kitendo cha kutaka kupindua serikali au ufalme au utawala Fulani. Au kitendo cha kutaka kusababisha Vita ambayo vita hiyo inalenga kupindua serikali au utawala au ufalme Fulani. Huo ni uhaini.
Mtenda uhaini sio lazima awe sehemu ya Kikundi, utawala, au sehemu ya nchi.
Hii ni kusema Raia wa Tanzania anaweza kufanya kosa la uhaini nchini Marekani.
Lakini Raia wa Tanzania hawezi kuwa Muasi wa Marekani.
Na ikitokea akajiunga na waasi wa Marekani Basi hataitwa Muasi isipokuwa ataitwa MAMLUKI.

Uasi ni Moja ya Mbinu zinazotumika katika kufanya Uhaini. Kwa sababu huwezi kuwa Mhaini ndani ya nchi yako kama haujawa MUASI.

Unaanza uasi ndipo unafuata Uhaini.

Je kila uasi ni Uhaini?
Hapana!
Sio kila Uasi ni uhaini.

Mfano, Wamasai wa Ngorongoro Walifanya Uasi dhidi ya serikali wakakataa kuhama kutoka Ngorongoro kuelekea Tanga. Ule ni Uasi.
Yaani kutokutii amri ya Serikali.

Dhamira ya uasi WA wamasai wa Ngorongoro haikuwa kufanya Uhaini yaani kuangusha serikali isipokuwa sababu kubwa ilikuwa kulinga uamuzi wa serikali kuwahamisha eneo la Ngorongoro kwa sababu walizozitoa.

Je Lisu na wenzake Kupinga uchaguzi Mkuu ni Uasi?
Ndio Lisu Kupinga uchaguzi Mkuu ni Uasi.

Je Lisu na wenzake Kupinga Uchaguzi Mkuu ni Uhaini?
Hapana, Sio Uhaini.

Kupinga uchaguzi Mkuu sio kupindua serikali. Sio kutaka kuangusha utawala Wala sio kutaka kuleta vita.

Isipokuwa maamuzi ya serikali ya namna ya kushughulikia upingaji huo ndio huweza kuleta matokeo mazuri au Mabaya.

Lisu na wenzake wanasema NO REFORMS NA ELECTION wakimaanisha kama Sheria na Kanuni Fulani walizopendekeza hazitafanyiwa maboresho au kuwekwa Basi hakutakuwa na uchaguzi.

Hii ni kumaanisha Lisu na wenzake hawapingi uwepo wa uchaguzi isipokuwa wanataka Reforms ili uchaguzi ufanyike kwa Haki na Uhuru.

Katika ulingo wa Sheria na Haki, Lisu na wenzake wapo upande sahihi. Kwa sababu;
1. Hawajapinga uchaguzi isipokuwa wanataka Reforms katika uchaguzi ili ufanyike.
2. Wanataka HAKI na Uhuru katika uchaguzi.

Je Kupinga uchaguzi ni Kupinga serikali?
Hapana, Uchaguzi sio wa serikali Bali ni uchaguzi wa wananchi kuchagua Serikali.
Hivyo wananchi wanayohaki ya kuona ni Sheria zipi za Haki zitawasaidia kuchagua Serikali ya Watu.

Uchaguzi Mkuu unahusu wananchi zaidi kuliko serikali inayochaguliwa au iliyopo madarakani.
Ikiwa uchaguzi Mkuu utaihusu serikali iliyopo madarakani au Ile inayoenda kuchaguliwa hauwi tena uchaguzi kwa maana ya Halisi ya uchaguzi. Ambapo uchaguzi humaanisha Uhuru wa Haki katika kufanya Maamuzi ya kuchagua.
Na kama kuna Uhuru na Haki Basi sheria za HAKI sharti ziwe za Haki.

Je Lisu kuchochea Uasi katika Kupinga uchaguzi Mkuu bila reforms ni KOSA?
Sio Kosa kwa Sababu Lisu ni Mwananchi lakini pia kiongozi wa CHADEMA ambacho kimesajiliwa Tanzania. Anahaki ya Kutaka reforms za Haki zitakazowawezesha Watanzania wote Kuwa Huru na kuchagua kwa Haki viongozi wataounda serikali. Kuchagua Serikali itakayowaongoza.

Hatua sahihi ambazo zingepaswa kuchukuliwa ambazo zinatija na za HAKI;

1. Serikali ingeunda tume ya kuunda hizo reforms za uchaguzi.
Vyama vyote vya siasa ikiwemo CCM, CHADEMA na ACT, pamoja na wadau wote wa Sheria wangehusishwa katika uundaji wa hizo reforms. Reform lazima ziguse maslahi ya wananchi ambao watafanya uchaguzi na sio vyama vya siasa.

2. Uchaguzi wa mwaka ungesogezwa mbele kwa hoja ya dharura kuwasilishwa bungeni. Ili kupisha mchakato.

3. Mijadala na midahalo mbalimbali ingeitishwa na elimu kutolewa.

4. Vyombo vya Dola havipaswi kuwa vibaraka na Watumwa wa Wanasiasa isipokuwa vitumikie wananchi kwa kufuata Sheria.

5. Mchakato wa Katiba MPYA ungeendelea pale ulipoishia.

Je Lisu ni Muasi au Mhaini?

Ijumaa Kareem.
Nawatakia maandalizi Mema ya Sabato

Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
Kwa mantiki hiyo hakuna kesi zaidi ya kumpotezea muda.
 
Tanzania nchi ya ajabu sana Polisi walikuwa na kura fake Kawe 2020 sio wahaini leo hii kudai haki ni uhaini? tumefika pabaya. Tatizo Media yetu imejaa machawa
 
Tundu Lissu ana kiapo gani na Nchi mpaka kuitwa Muasi ni ujinga ujinga wa watu wachache kama hawakua tayari kwenye mfumo wa vyma vingi wangefuta tu
 
UHAINI.
Uhaini ni kitendo cha kutaka kupindua serikali au ufalme au utawala Fulani. Au kitendo cha kutaka kusababisha Vita ambayo

Wewe ni mvivu wa kusoma. Hujasoma charge sheet au hujasoma provision ya sheria iliyotajwa kwenye charge sheet.

Au kama umesoma basi ni mwongo wa ujengaji hoja kwa makusudi. Au ni straight up light weight, uelewa mdogo!

Definition ya Uhaini iliyochajiwa imeandikwa kwenye charge sheet kwamba ni uhaini wa kutishia.

Sub section D iliyoandikwa kwenye charge sheet ni ya kutishia.

KUTISHIA MHIMILI MMOJAWAPO WA SERIKALI.

Sasa hayo ma definition yako ya KUPINDUA umeyatoa wapi na unayaongelea hapa ya nini wakati hajawa charged kwa vipengele hivyo ????

We bush lawyer vipi wewe ?
 
Hamjambo watu wote!

Lissu ni Muasi au Mhaini?

Muasi ni mtu anayepinga au aliyekinyume au asiyemtiifu kwa Watawala au Kikundi Fulani. Lakini sharti Muasi awe sehemu ya hicho Kikundi.

Yaani kama wewe ni CHADEMA alafu ukawa kinyume na CHADEMA au ukapinga Jambo Fulani ndani ya CHADEMA. Ambalo pengine Jambo hilo wengi walilikubali Basi wewe unageuka kuwa MUASI.

Hata hivyo Mtu anaweza kuwa MUASI kupinga Jambo Fulani tuu ambalo anaona halipo Sawa. Lakini mambo mengine akawa anakubaliana nayo.

Mtu wa CCM hawezi kuwa MUASI wa CHADEMA na mtu wa CHADEMA hawezi kuwa MUASI wa CCM kwa Sababu Kanuni ya uasi lazima mtu awe sehemu ya Kikundi husika au sehemu husika.
Mfano; Muislam hawezi KUWA Muasi wa Ukristo. Na mkristo hawezi KUWA Muasi katika uislam.

UHAINI.
Uhaini ni kitendo cha kutaka kupindua serikali au ufalme au utawala Fulani. Au kitendo cha kutaka kusababisha Vita ambayo vita hiyo inalenga kupindua serikali au utawala au ufalme Fulani. Huo ni uhaini.
Mtenda uhaini sio lazima awe sehemu ya Kikundi, utawala, au sehemu ya nchi.
Hii ni kusema Raia wa Tanzania anaweza kufanya kosa la uhaini nchini Marekani.
Lakini Raia wa Tanzania hawezi kuwa Muasi wa Marekani.
Na ikitokea akajiunga na waasi wa Marekani Basi hataitwa Muasi isipokuwa ataitwa MAMLUKI.

Uasi ni Moja ya Mbinu zinazotumika katika kufanya Uhaini. Kwa sababu huwezi kuwa Mhaini ndani ya nchi yako kama haujawa MUASI.

Unaanza uasi ndipo unafuata Uhaini.

Je kila uasi ni Uhaini?
Hapana!
Sio kila Uasi ni uhaini.

Mfano, Wamasai wa Ngorongoro Walifanya Uasi dhidi ya serikali wakakataa kuhama kutoka Ngorongoro kuelekea Tanga. Ule ni Uasi.
Yaani kutokutii amri ya Serikali.

Dhamira ya uasi WA wamasai wa Ngorongoro haikuwa kufanya Uhaini yaani kuangusha serikali isipokuwa sababu kubwa ilikuwa kulinga uamuzi wa serikali kuwahamisha eneo la Ngorongoro kwa sababu walizozitoa.

Je Lisu na wenzake Kupinga uchaguzi Mkuu ni Uasi?
Ndio Lisu Kupinga uchaguzi Mkuu ni Uasi.

Je Lisu na wenzake Kupinga Uchaguzi Mkuu ni Uhaini?
Hapana, Sio Uhaini.

Kupinga uchaguzi Mkuu sio kupindua serikali. Sio kutaka kuangusha utawala Wala sio kutaka kuleta vita.

Isipokuwa maamuzi ya serikali ya namna ya kushughulikia upingaji huo ndio huweza kuleta matokeo mazuri au Mabaya.

Lisu na wenzake wanasema NO REFORMS NA ELECTION wakimaanisha kama Sheria na Kanuni Fulani walizopendekeza hazitafanyiwa maboresho au kuwekwa Basi hakutakuwa na uchaguzi.

Hii ni kumaanisha Lisu na wenzake hawapingi uwepo wa uchaguzi isipokuwa wanataka Reforms ili uchaguzi ufanyike kwa Haki na Uhuru.

Katika ulingo wa Sheria na Haki, Lisu na wenzake wapo upande sahihi. Kwa sababu;
1. Hawajapinga uchaguzi isipokuwa wanataka Reforms katika uchaguzi ili ufanyike.
2. Wanataka HAKI na Uhuru katika uchaguzi.

Je Kupinga uchaguzi ni Kupinga serikali?
Hapana, Uchaguzi sio wa serikali Bali ni uchaguzi wa wananchi kuchagua Serikali.
Hivyo wananchi wanayohaki ya kuona ni Sheria zipi za Haki zitawasaidia kuchagua Serikali ya Watu.

Uchaguzi Mkuu unahusu wananchi zaidi kuliko serikali inayochaguliwa au iliyopo madarakani.
Ikiwa uchaguzi Mkuu utaihusu serikali iliyopo madarakani au Ile inayoenda kuchaguliwa hauwi tena uchaguzi kwa maana ya Halisi ya uchaguzi. Ambapo uchaguzi humaanisha Uhuru wa Haki katika kufanya Maamuzi ya kuchagua.
Na kama kuna Uhuru na Haki Basi sheria za HAKI sharti ziwe za Haki.

Je Lisu kuchochea Uasi katika Kupinga uchaguzi Mkuu bila reforms ni KOSA?
Sio Kosa kwa Sababu Lisu ni Mwananchi lakini pia kiongozi wa CHADEMA ambacho kimesajiliwa Tanzania. Anahaki ya Kutaka reforms za Haki zitakazowawezesha Watanzania wote Kuwa Huru na kuchagua kwa Haki viongozi wataounda serikali. Kuchagua Serikali itakayowaongoza.

Hatua sahihi ambazo zingepaswa kuchukuliwa ambazo zinatija na za HAKI;

1. Serikali ingeunda tume ya kuunda hizo reforms za uchaguzi.
Vyama vyote vya siasa ikiwemo CCM, CHADEMA na ACT, pamoja na wadau wote wa Sheria wangehusishwa katika uundaji wa hizo reforms. Reform lazima ziguse maslahi ya wananchi ambao watafanya uchaguzi na sio vyama vya siasa.

2. Uchaguzi wa mwaka ungesogezwa mbele kwa hoja ya dharura kuwasilishwa bungeni. Ili kupisha mchakato.

3. Mijadala na midahalo mbalimbali ingeitishwa na elimu kutolewa.

4. Vyombo vya Dola havipaswi kuwa vibaraka na Watumwa wa Wanasiasa isipokuwa vitumikie wananchi kwa kufuata Sheria.

5. Mchakato wa Katiba MPYA ungeendelea pale ulipoishia.

Je Lisu ni Muasi au Mhaini?

Ijumaa Kareem.
Nawatakia maandalizi Mema ya Sabato

Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
Asante kwa elimu nzuri.
 
Uchawi ni mbaya zaidi Mkuu
Ungekuwepo uchawi wa kweli watu tungedai kwa kutumia uchawi na nchi ingekuwa na heshima.
Sawa, mie chawa wa serikali yangu ila wewe chawa wa tundu

Ila elewa hatuwezi kuiweka nchi yetu mikononi mwa mnafki, muasi na mhaini kama Tundu. Wala hamna haja ya kujichosha kwa hilo maana haiwezekani
Mnafiki kukuzidi wewe unayetetea ufidhuli nchini mwako.
 
Baada ya Pasaka April 24, itajulikana gentleman,
ni muhimu sana kuwepo na ustahimilivu na subra 🐒
 
Back
Top Bottom