Tundu Lissu ni Muasi au Mhaini? Ipi ni Kesi ya Msingi?

Kesi iwe ya uasi kwamba Lisu anataka kuzuia uchaguzi

Kwenye uhaini hapo ,IGP kaboronga na dpp

Hata ikiwa uasi ,atawapelekea moto K zao zitaiva mahakamani mpaka wakome

Kwani
No reform no election ,itakuwa imehamishiwa mahakamani
 
Kwa mantiki hiyo hakuna kesi zaidi ya kumpotezea muda.
 


Tanzania nchi ya ajabu sana Polisi walikuwa na kura fake Kawe 2020 sio wahaini leo hii kudai haki ni uhaini? tumefika pabaya. Tatizo Media yetu imejaa machawa
 
Tundu Lissu ana kiapo gani na Nchi mpaka kuitwa Muasi ni ujinga ujinga wa watu wachache kama hawakua tayari kwenye mfumo wa vyma vingi wangefuta tu
 
UHAINI.
Uhaini ni kitendo cha kutaka kupindua serikali au ufalme au utawala Fulani. Au kitendo cha kutaka kusababisha Vita ambayo

Wewe ni mvivu wa kusoma. Hujasoma charge sheet au hujasoma provision ya sheria iliyotajwa kwenye charge sheet.

Au kama umesoma basi ni mwongo wa ujengaji hoja kwa makusudi. Au ni straight up light weight, uelewa mdogo!

Definition ya Uhaini iliyochajiwa imeandikwa kwenye charge sheet kwamba ni uhaini wa kutishia.

Sub section D iliyoandikwa kwenye charge sheet ni ya kutishia.

KUTISHIA MHIMILI MMOJAWAPO WA SERIKALI.

Sasa hayo ma definition yako ya KUPINDUA umeyatoa wapi na unayaongelea hapa ya nini wakati hajawa charged kwa vipengele hivyo ????

We bush lawyer vipi wewe ?
 
Asante kwa elimu nzuri.
 
Uchawi ni mbaya zaidi Mkuu
Ungekuwepo uchawi wa kweli watu tungedai kwa kutumia uchawi na nchi ingekuwa na heshima.
Sawa, mie chawa wa serikali yangu ila wewe chawa wa tundu

Ila elewa hatuwezi kuiweka nchi yetu mikononi mwa mnafki, muasi na mhaini kama Tundu. Wala hamna haja ya kujichosha kwa hilo maana haiwezekani
Mnafiki kukuzidi wewe unayetetea ufidhuli nchini mwako.
 
Baada ya Pasaka April 24, itajulikana gentleman,
ni muhimu sana kuwepo na ustahimilivu na subra πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…