nyonyodawa
Member
- Nov 11, 2024
- 42
- 133
Hapana ndugu yangu Tundu lissu hanunuliki kiurahisi hata Marehemu Magufuri hilo analijuaMaslah ya nchi ipi wewe,
Wanasiasa wote wanafanana mzee..
nani atakisajiri?Umefika mda wa Tundu Lissu kuanzisha chama chako maana inaonekana Chadema kuna viongozi wanaangalia maslai yao bali siyo ya inchi,
Hawana tofauti na mafisadi wa CCM,naami utaondoka na wanachama wengi,tumechoka na ukondoo wa Mbowe tunataka siasa ya uwanaharakati vitendo,hata Mozambique wanatushinda?
weke true Id yako kama wewe shujaaa. Lisu Usidanganywe na hawa ccm chawa. Imarisha chadema and you will sail through ...nilitegemea Lisu alipokatazwa mkutano paleSame angelikaidi.... sasa akianzisha chama atakaidi policcm na watekaji wao?Hawana tofauti na mafisadi wa CCM,naami utaondoka na wanachama wengi,tumechoka na ukondoo wa Mbowe tunataka siasa ya uwanaharakati vitendo,hata Mozambique wanatushinda?
True id ya nini sasa? Mtu asitoe maoni yake lazima mumtishe?weke true Id yako kama wewe shujaaa. Lisu Usidanganywe na hawa ccm chawa. Imarisha chadema and you will sail through ...nilitegemea Lisu alipokatazwa mkutano paleSame angelikaidi.... sasa akianzisha chama atakaidi policcm na watekaji wao?
si shujaa? shujaa hafichi Id! wote unaoona tunaficha majina halali hatuwezi kuanzisha chama kama mimi na wewe. hatuwezi kuhimili uonevu wa polisi ndiyo maana tuna fake IDsTrue id ya nini sasa? Mtu asitoe maoni yake lazima mumtishe?
si shujaa? shujaa hafichi Id! wote unaoona tunaficha majina halali hatuwezi kuanzisha chama kama mimi na wewe. hatuwezi kuhimili uonevu wa polisi ndiyo maana tuna fake IDs
nje ya Chadema Lisu is completely useless..Umefika mda wa Tundu Lissu kuanzisha chama chako maana inaonekana Chadema kuna viongozi wanaangalia maslai yao bali siyo ya inchi,
Hawana tofauti na mafisadi wa CCM,naami utaondoka na wanachama wengi,tumechoka na ukondoo wa Mbowe tunataka siasa ya uwanaharakati vitendo,hata Mozambique wanatushinda?
Ni wazo zuri lakini halitekelezeki, msajili wa vyama ambayeni kada na chawa wa Rais hawezi kuruhusu hili.Umefika mda wa Tundu Lissu kuanzisha chama chako maana inaonekana Chadema kuna viongozi wanaangalia maslai yao bali siyo ya inchi,
Hawana tofauti na mafisadi wa CCM,naami utaondoka na wanachama wengi,tumechoka na ukondoo wa Mbowe tunataka siasa ya uwanaharakati vitendo,hata Mozambique wanatushinda?
Kuanzisha chama sio suluhu , chadema bado ipo imara sana , yanaweza kuwepo mapungufu ambayo ni ya kawaidaUmefika mda wa Tundu Lissu kuanzisha chama chako maana inaonekana Chadema kuna viongozi wanaangalia maslai yao bali siyo ya inchi,
Hawana tofauti na mafisadi wa CCM,naami utaondoka na wanachama wengi,tumechoka na ukondoo wa Mbowe tunataka siasa ya uwanaharakati vitendo,hata Mozambique wanatushinda?
Siyo kweli mbona Lissu amenunuliwa na mabeberu kule Belgium?Hapana ndugu yangu Tundu lissu hanunuliki kiurahisi hata Marehemu Magufuri hilo analijua
Umefika mda wa Tundu Lissu kuanzisha chama chako maana inaonekana Chadema kuna viongozi wanaangalia maslai yao bali siyo ya inchi,
Hawana tofauti na mafisadi wa CCM,naami utaondoka na wanachama wengi,tumechoka na ukondoo wa Mbowe tunataka siasa ya uwanaharakati vitendo,hata Mozambique wanatushindaatamruhusu na kumkubalia Tundu Lissu aanzishe chama chake?
chadema ni chaggadema,nyie wengine mnahangaika nini?Umefika mda wa Tundu Lissu kuanzisha chama chako maana inaonekana Chadema kuna viongozi wanaangalia maslai yao bali siyo ya inchi,
Hawana tofauti na mafisadi wa CCM,naami utaondoka na wanachama wengi,tumechoka na ukondoo wa Mbowe tunataka siasa ya uwanaharakati vitendo,hata Mozambique wanatushinda?
Thubutu,yaani wanachama wengine watatoka CCM na wengine watatoka Chadema,tunataka chama ambacho hatutakubali kutapeliwa na Maccm kwa ahadi zao za uongonje ya Chadema Lisu is completely useless..
akijitoa chadema, atajikuta ni yeye na wewe pekeyake 🐒
atoke basi mbona ameng'ang'ana tu na ana babaika na kumbwelambwela kwenye press conference hata wa kumuandalia maji hakuna dah!Thubutu yaani wanachama wengine watatoka CCM na wengine watatoka Chadema,tunataka chama ambacho hatutakubali kutapeliwa na Maccm kwa ahadi zao za uongo
Tulishasema siku nyingi sana hawa Mangi walikuwa wanamtumia Lissu bila yeye kutambua hilo,ni lissu alekuwa mmbunge wa kwanza toka kanda ya kati kupitia cdm kutokana na umaarufu wake.Leo akina Lema na Mdude ni mali kuliko Lissu kweli?Umefika muda wa Tundu Lissu kuanzisha chama chako maana inaonekana Chadema kuna viongozi wanaangalia maslahi yao bali siyo ya nchi.
Hawana tofauti na mafisadi wa CCM, naamini utaondoka na wanachama wengi, tumechoka na ukondoo wa Mbowe tunataka siasa ya uanaharakati vitendo, hata Mozambique wanatushinda?