Tundu Lissu ni muda wa kuanzisha chama chako

Tundu Lissu ni muda wa kuanzisha chama chako

Umefika muda wa Tundu Lissu kuanzisha chama chako maana inaonekana Chadema kuna viongozi wanaangalia maslahi yao bali siyo ya nchi.

Hawana tofauti na mafisadi wa CCM, naamini utaondoka na wanachama wengi, tumechoka na ukondoo wa Mbowe tunataka siasa ya uanaharakati vitendo, hata Mozambique wanatushinda?
Hamna Tundu Lissu nje ya CHADEMA. Akitoka ndiyo amekwisha.

Na akiwa ndani ya Chadema aufyate kwa kuwa fahari wawili hawakai zizo moja. Ila asisahau kuwa Freeman Mbowe ndiyo alishikilia drip la Dextrose alilotundikiwa kwenye ndege kutoka Dodoma kwenda Nairobi

Achague moja kati ya hilo
 
Back
Top Bottom