Tundu Lissu ni muda wa kuanzisha chama chako

Tatizo lake yupo kiuharakati zaidi. Huwezi kuendesha Chama cha siasa kiuharakati kikabaki salama kwa Msajili wa vyama vya siasa
 
Wazo zuri sana, Akienda ACT wengi tutamfata uko , Yani Lisu na usomi wake inamaana hajui lendo la mbowe???
 
Nilishangaa Mbowe akitangaza church kule machame kuwa mama katoa michango wa mil 150. Juzi kanisani shoo naye kamwaga misifa kwa mama

Hakika hakuna mwanasiasa asiye na bei ni muda tu
 
Tatizo siyo kuanzisha chama tatizo ni mindset ya watanzania hasa vijana - bado hawajitambui na wengi wao wamegeukia uchawa.

Unakutana na kijana kwa miaka 27 unamwambia kuhusu katiba mpya anakujibu - "kwani ntakula katiba."

Kazi ya ukombozi wa kifikra bado ni ngumu mno ila hakuna kukata tamaa.
 
Kama tunaweza kukubaliana, kwamba CHADEMA ni chama cha waTanzania; kwa maana ya kwamba wanachama wa chama hicho ni waTanzania wenzetu; kwa nini tusiwasihi wao wafanye maamuzi ndani ya chama hicho kufuatana na jinsi wanavyo taka mwelekeo wake uwe?

Kumwambia Tundu Lissu naye akaanzishe chama (kama Mbowe), maana yake ni kuwa hicho chama pia kitakuwa ni mali ya Lissu?

Mimi ningeomba sana hawa wanachama wa CHADEMA watuonyeshe mwelekeo wa chama chao ulipo. Kama Tundu Lissu hakubaliani na mwelekeo huo, aungane na wenzake wenye fikra kama zake kuunda chama kipya.
 
Nyerere mbona hakuanzisha? kwamba asionye maovu ndani ya CDM? huo utamaduni wa kipumbavu upo ndani ya CCM pekee wa kusifia wizi na ufisadi
 
Mtasubiri sn
 
Alafu mi ndo nitakuja katibu wa hicho chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…