Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bibi Kizimkazi hatakiwi na wanaccm wote. 2025 hana lake.jamaa alitoka kugonga nyagi akiwa chakari, akatangaza eti maandamano ya samia must go,
baada ya hangover kukata alfajiri akabadili gia angani, sijui akayaita maandamano nini huko š¤£
š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£Hukuwemo kwenye basi?
Maana una mdomo sanaš¤
𤣠Msumbufu huyuu,humjui tuš¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£
Huwa nasoma comments zake mara kwa mara. Ni CCM lialia huyo.𤣠Msumbufu huyuu,humjui tu
š¤£š¤£š¤£š¤£š¤Huwa nasoma comments zake mara kwa mara. Ni CCM lialia huyo.
Sema umesababisha nimecheka sana kwa swali lako kwake.....eti, hukuwemo kwenye bus? šššššš daaaaaah!!!
naona mnapeana moyo makamanda,Huwa nasoma comments zake mara kwa mara. Ni CCM lialia huyo.
Sema umesababisha nimecheka sana kwa swali lako kwake.....eti, hukuwemo kwenye bus? šššššš daaaaaah!!!


Wanasiasa wote ni walewale hakuna mwenye nafuu. Waongo waongo, propaganda kedekede, ahadi hewa, kupeana matumaini yasiyokuwepo, kula hela za walipa kodi, ufisadi, wizi, utapeli, roho mbaya, ushirikina na Kila aina ya ushetani. Hii ni kwa wanasiasa wooootenaona mnapeana moyo makamanda,
huenda ni kwasababu ya uzito wa hoja mahususi mezani. ila haina shida,
eeh,
hivi nyie ni makamanda kindakindaki wa chadema ee ndrugu zango?
mko upande wa chadema ya chairman mwamba wa kaskazini au ni chadema ile ya upande wa vice chairman anaepewa backup na mabwenyenye ya magharibi?
Lisu ana uwezo kweli wa kupambana na rushwa hata kwa kumuangalia tu sura?![]()
sasa kama ni hivyo,Wanasiasa wote ni walewale hakuna mwenye nafuu. Waongo waongo, propaganda kedekede, ahadi hewa, kupeana matumaini yasiyokuwepo, kula hela za walipa kodi, ufisadi, wizi, utapeli, roho mbaya, ushirikina na Kila aina ya ushetani. Hii ni kwa wanasiasa woooote

š¤£š¤£š¤£ Haya bhana, nimeelewa mkuusio wewe kweli ndio msumbufu?
acha kusumbua watu bana,
mambo mengine ni kuelewana tu na yakafanyika na yakaisha bila mbamabamaba yoyote, ama nasema vibaya?![]()
Nimekuelewa, sorry for everyword I hv written wrong to you šššndiyo bana,
be a human tafadhali,
mnapokubaliana mambo, basi ya fanyike na sio kulaumiana tu. aliwahi kuyasema haya hayati E.N.Lowasa akiwa mbunge wa Monduli.![]()
Siasa ni UCHAFU , ukiingia siasani lazima uchafuke kwa namna yyt ile. Kama kweli Kuna hukumu kwa Mungu wanasiasa woooote wanaenda motoni. Wacha maisha yaendeleesasa kama ni hivyo,
tuwape wachungaji na watumishi wa Mungu uongozi kama walivyofanya Kenya, Zambia, Somalia na malawi?
na je kuna unafuu fulani wowote wanapata?![]()
hiyo ni dhana potofu gentleman,Siasa ni UCHAFU , ukiingia siasani lazima uchafuke kwa namna yyt ile. Kama kweli Kuna hukumu kwa Mungu wanasiasa woooote wanaenda motoni. Wacha maisha yaendelee

Best wishes to you too,may God bless you with your family šI love you,
and I wish you Mary Christmas an happy new year2025 in advance![]()
Siasa ššhiyo ni dhana potofu gentleman,
unamaanisha tangu awamu ya kwanza hadi sasa awamu ya sita wanasiasa wote walikua wanafanya siasa za uchafu na kuchafuana right?
hujui kwamba maisha ya mwanadamu ni siasa tupu?,
mathalani huyu mjamaa anaitwa Aristotle, believed man was a "political animal" because he is a social creature with the power of speech and moral reasoning,
kwamba nyumbani kwenye kila famlia kuana aina yake ya siasa, kwenye nyumba za ibada, kwenye michezo n.k kote huko ni siasa tupu...
unazungumziaje hili?![]()
Kuliko ccm wanaotumia dola kila kitu kumdhibiti?huyu Lisu kazidi uoga aise dah š