Tundu Lissu ni muoga, hana ujasiri, uthubutu wala mipango mikakati ya kupambana na rushwa

Kuliko ccm wanaotumia dola kila kitu kumdhibiti?
CCM ndiyo pekee chama cha siasa Tanzania tangu kuanzishwa kwake chenye malengo ya kufanya siasa safi, kushinda uchaguzi, kushika dola, kuunda serikali, kuongoza nchi na kuwatumikia wananchi kwa usawa, haki na weledi wa kiwango cha juu sana..

Hakuna chama cha siasa chenye malengo kama hayo.

Serikali sikivu ya CCM imejipanga na imejizati kuilinda amani ya waTanzania kwa nguvu na gharama yoyote ilie,

na kuhakikisha ustawi na maendeleo ya kisiasa, kijamii na kiuchumi ya wananchi wa Tanzania yanaimarishwa bila mbambamba za mpinga maendeleo wa ndani au nje ya nchi 🐒
 
Ili ufanye hayo unapaswa uwe sehemu gani?

hapo mpo kwa sababu ya nguvu ya dola.
 
Hiyo siri wanayo CCM pekee, ambao hawakua na dola, lakini ndio walioleta uhuru, haki, umoja na mshikamano wa miongoni mwa waTanzania bila kumwaga damu.

vyama vinginevyo havina maono wala uwezo wa kudhoofisha wala kutatiza azama na nia hiyo njema ya CCM katika kujenga na kuchochea Maendeleo ya waTanzania wote 🐒
 
Back
Top Bottom