CCM ndiyo pekee chama cha siasa Tanzania tangu kuanzishwa kwake chenye malengo ya kufanya siasa safi, kushinda uchaguzi, kushika dola, kuunda serikali, kuongoza nchi na kuwatumikia wananchi kwa usawa, haki na weledi wa kiwango cha juu sana..
Hakuna chama cha siasa chenye malengo kama hayo.
Serikali sikivu ya CCM imejipanga na imejizati kuilinda amani ya waTanzania kwa nguvu na gharama yoyote ilie,
na kuhakikisha ustawi na maendeleo ya kisiasa, kijamii na kiuchumi ya wananchi wa Tanzania yanaimarishwa bila mbambamba za mpinga maendeleo wa ndani au nje ya nchi π