The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Nikiri wazi mimi nimekuwa muumini wa siasa za upinzani tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi hapa nchini.
Kwa hiyo haya maoni sio kwa sababu ya chuki na wapinzani.
Sina historia yoyote inayomuonyesha lisu kama kiongozi anayeweza kuwaunganisha watu kwa busara na hekima zake.
Mara zote amekuwa mtu wa kulalamika kukosoa kukejeli na wakati mwingine kutukana. Kwa tabia hiyo kamwe huwezi kupata kiongozi mzuri.
Ila kwa upande wa uanaharakati na uanasheria, hilo sina mashaka nalo hata kidogo. Kwa hiyo nawashauri CHADEMA mkihitaji busara yoyote ya kiongozi muoneni mwenyekiti wetu Mbowe.