The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Kama kwenye siasa za tz huhitaji hata kuwa na cheti Cha std7 kufanya siasa , he itajuwaje Kwa mwanasheria Tena mahiri, SI Bure alikula mvua ya masasi🤸.Nikiri wazi mimi nimekuwa muumini wa siasa za upinzani tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi hapa nchini.
Kwa hiyo haya maoni sio kwa sababu ya chuki na wapinzani.
Sina historia yoyote inayomuonyesha lisu kama kiongozi anayeweza kuwaunganisha watu kwa busara na hekima zake.
Mara zote amekuwa mtu wa kulalamika kukosoa kukejeli na wakati mwingine kutukana. Kwa tabia hiyo kamwe huwezi kupata kiongozi mzuri.
Ila kwa upande wa uanaharakati na uanasheria, hilo sina mashaka nalo hata kidogo. Kwa hiyo nawashauri CHADEMA mkihitaji busara yoyote ya kiongozi muoneni mwenyekiti wetu Mbowe.
Mwanasiasa bora ni Heri James,Shaka,Nnauuye na January Makamba.Nikiri wazi mimi nimekuwa muumini wa siasa za upinzani tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi hapa nchini.
Kwa hiyo haya maoni sio kwa sababu ya chuki na wapinzani.
Sina historia yoyote inayomuonyesha lisu kama kiongozi anayeweza kuwaunganisha watu kwa busara na hekima zake.
Mara zote amekuwa mtu wa kulalamika kukosoa kukejeli na wakati mwingine kutukana. Kwa tabia hiyo kamwe huwezi kupata kiongozi mzuri.
Ila kwa upande wa uanaharakati na uanasheria, hilo sina mashaka nalo hata kidogo. Kwa hiyo nawashauri CHADEMA mkihitaji busara yoyote ya kiongozi muoneni mwenyekiti wetu Mbowe.
Shida ni kuwa kikariri wa wanakijani kuwa wanapokuwamo , hawauhitaji Tena ubongo wao?Mwanasiasa bora ni Heri James,Shaka,Nnauuye na January Makamba.
Nyie mlibahatika kuwa na akina Mr. kiroboto sip.Ndio mana chadema wanafeli sana mtu waliyemueka juu hakuwahipo kuwa mwanasiasa mzuri
Zielekeze sifa hizo wanaouza ubongo kwenye Lile geti lenu basiMmmh , Kwenye sheria pia Tia maji tia maji huyo usimjazie misifa.
Mahili ndio nini?Nikiri wazi mimi nimekuwa muumini wa siasa za upinzani tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi hapa nchini.
Kwa hiyo haya maoni sio kwa sababu ya chuki na wapinzani.
Sina historia yoyote inayomuonyesha lisu kama kiongozi anayeweza kuwaunganisha watu kwa busara na hekima zake.
Mara zote amekuwa mtu wa kulalamika kukosoa kukejeli na wakati mwingine kutukana. Kwa tabia hiyo kamwe huwezi kupata kiongozi mzuri.
Ila kwa upande wa uanaharakati na uanasheria, hilo sina mashaka nalo hata kidogo. Kwa hiyo nawashauri CHADEMA mkihitaji busara yoyote ya kiongozi muoneni mwenyekiti wetu Mbowe.
Kwahiyo pamoja na uhovyo wa viongozi wa Chadema lakini bado CCM mnateseka hadi kuwapa kesi za michongo za Ugaidi hewa. Mlisema CHADEMA ingekufa kabla ya 2015 lakini mpka Leo bado mnawatangaza tuu Chadema wapo hai.Nikiri wazi mimi nimekuwa muumini wa siasa za upinzani tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi hapa nchini.
Kwa hiyo haya maoni sio kwa sababu ya chuki na wapinzani.
Sina historia yoyote inayomuonyesha lisu kama kiongozi anayeweza kuwaunganisha watu kwa busara na hekima zake.
Mara zote amekuwa mtu wa kulalamika kukosoa kukejeli na wakati mwingine kutukana. Kwa tabia hiyo kamwe huwezi kupata kiongozi mzuri.
Ila kwa upande wa uanaharakati na uanasheria, hilo sina mashaka nalo hata kidogo. Kwa hiyo nawashauri CHADEMA mkihitaji busara yoyote ya kiongozi muoneni mwenyekiti wetu Mbowe.
Na samia suluhu na kasimuMwanasiasa bora ni Heri James,Shaka,Nnauuye na January Makamba.
Hata kukiwa na kibaka mitaani watu wazima na akili zenu lazima muumize vichwa namna ya kumdhibiti hii haina maana kwamba ni mtu mahili ila ni msumbufu mlopokaji na mtu ambaye mkimuacha aongee atakavyo ipo siku atahatarisha usalama.Kwahiyo pamoja na uhovyo wa viongozi wa Chadema lakini bado CCM mnateseka hadi kuwapa kesi za michongo za Ugaidi hewa. Mlisema CHADEMA ingekufa kabla ya 2015 lakini mpka Leo bado mnawatangaza tuu Chadema wapo hai.
Kweli CCM ni Chama Cha majinga.
Ndugu yangu,Nikiri wazi mimi nimekuwa muumini wa siasa za upinzani tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi hapa nchini.