Kb Ulayaulaya
JF-Expert Member
- Jan 5, 2023
- 727
- 1,059
Badala ya kuhangaika na hili lichama lenu miaka 60 bado watoto hawana vyoo shuleni unakuja kutuambia Lissu ana akili kisoda. Kwani Lissu ameongoza idara gani akashindwa kukidhi matarajio?Kadri siku zinavyoenda lisi nadhihirish kumbe hakuw vile kama watu walivyotuaminisha eti ana akili kama tuliaminisha pia kwmaba prof lipumbu ni mbobevu wa uchumi kumbe ni mhuni ffani tu.
Watanzani huwa tunadanganyika kirahisi sana sijui kwa nini. Au elimu yetu ina shida pahala.
Mi nachojua udsm hawasomagi ordinary people wenye akili kisoda. Wenye akili kisoda wanasoma udom, SAUT, mzumbe, kampala nk
Hoja dhaifu sana inawezekana nyie ndo mlikuwa mnaingia na vibomu kwenye vyumba vya mitihani . Ukiona mtu yoyote ni famous with education back up huyo amefight the Armageddon battle kuwa hapo halipo hivyo put some respect on thatKadri siku zinavyoenda lisi nadhihirish kumbe hakuw vile kama watu walivyotuaminisha eti ana akili kama tuliaminisha pia kwmaba prof lipumbu ni mbobevu wa uchumi kumbe ni mhuni ffani tu.
Watanzani huwa tunadanganyika kirahisi sana sijui kwa nini. Au elimu yetu ina shida pahala.
Mi nachojua udsm hawasomagi ordinary people wenye akili kisoda. Wenye akili kisoda wanasoma udom, SAUT, mzumbe, kampala nk
Muulize Paper yake alipublish wapi? Halafu Muulize Supervisor wake alikuwa nani?Mama samia ana masters ya economics. Hivyo hoja yako haina mashiko
Sasa kwa akili zako finyu unaweza kuitambua akili kubwa kweli?Kadri siku zinavyoenda lisi nadhihirish kumbe hakuw vile kama watu walivyotuaminisha eti ana akili kama tuliaminisha pia kwmaba prof lipumbu ni mbobevu wa uchumi kumbe ni mhuni ffani tu.
Watanzani huwa tunadanganyika kirahisi sana sijui kwa nini. Au elimu yetu ina shida pahala.
Mi nachojua udsm hawasomagi ordinary people wenye akili kisoda. Wenye akili kisoda wanasoma udom, SAUT, mzumbe, kampala nk
fanya umuulize baba yako mzazi. maana baba yako mzazi mwenyewe anajua hana akili mbele ya Lisu.Kadri siku zinavyoenda lisi nadhihirish kumbe hakuw vile kama watu walivyotuaminisha eti ana akili kama tuliaminisha pia kwmaba prof lipumbu ni mbobevu wa uchumi kumbe ni mhuni ffani tu.
Watanzani huwa tunadanganyika kirahisi sana sijui kwa nini. Au elimu yetu ina shida pahala.
Mi nachojua udsm hawasomagi ordinary people wenye akili kisoda. Wenye akili kisoda wanasoma udom, SAUT, mzumbe, kampala nk
Sio rahisi kumtambua, maana mara nyingi wenye akili hutambuana zaidi wao kwa wao kuliko kutambuliwa na walio nje ya wao.Kadri siku zinavyoenda lisi nadhihirish kumbe hakuw vile kama watu walivyotuaminisha eti ana akili kama tuliaminisha pia kwmaba prof lipumbu ni mbobevu wa uchumi kumbe ni mhuni ffani tu.
Watanzani huwa tunadanganyika kirahisi sana sijui kwa nini. Au elimu yetu ina shida pahala.
Mi nachojua udsm hawasomagi ordinary people wenye akili kisoda. Wenye akili kisoda wanasoma udom, SAUT, mzumbe, kampala nk
Sasa utanilinganisha na Lisu mzee. Mi nina div one point 7 na point 3 o level na advance respectively. Halafu lisu kasoma ngeini yaani hgl wakati mi nimesoma masomo magumu yaani pcmMkuu mbona haujui kuandika harafu upo busy kukagua uwezo wa watu waliofanya vizuri NECTA mpaka Chuo wakati wewe ulikimbia umande kama mimi tu ndio maana sihoji uwezo wa watu waliotuzidi uwezo..
Ya chuo gani mkuu? Yeye mwenyewe ktk cv yake hajawahi kusema amesoma hayo maajabu.Mama samia ana masters ya economics. Hivyo hoja yako haina mashiko
MzumbeYa chuo gani mkuu? Yeye mwenyewe ktk cv yake hajawahi kusema amesoma hayo maajabu.
Hakuna uhusiano kati ya chuo na kuwa na akili. Akili unazaliwa nazo au una acquire as you grow and experience.Kadri siku zinavyoenda lisi nadhihirish kumbe hakuw vile kama watu walivyotuaminisha eti ana akili kama tuliaminisha pia kwmaba prof lipumbu ni mbobevu wa uchumi kumbe ni mhuni ffani tu.
Watanzani huwa tunadanganyika kirahisi sana sijui kwa nini. Au elimu yetu ina shida pahala.
Mi nachojua udsm hawasomagi ordinary people wenye akili kisoda. Wenye akili kisoda wanasoma udom, SAUT, mzumbe, kampala nk
Kichwa maji sana wewe.Lisu hajaandika paper hata moja. Leta ushahodi. Hata hivyo paper siyo kigezo cha akili. Kuna copy and paste.
Hapa ndio nimeona uwezo uliokua nao ni wa chini sana aisee...shule sio ngumu mkuu kama unavyodhania labda kama umetoka kwenye familia wewe ndio wa kwanza kupata points hizo..Sasa utanilinganisha na Lisu mzee. Mi nina div one point 7 na point 3 o level na advance respectively. Halafu lisu kasoma ngeini yaani hgl wakati mi nimesoma masomo magumu yaani pcm
πππππππKwa andiko lako hili tu umejitambulisha kuwa wewe ni kilaza .
Akili kubwa ile dogo. Lisu anapigwa za uso mchana kweupe kwamba ana uwezo mdogo.Lugha ya kishikaji ya mwenyekiti wa CCM taifa kwa Tundu Lissu.
Tundu Lissu mwanangu asema rais Samia Hassan, lugha hiyo hutumia na watoto wa mjini kuonesha kuwa unamkubali kwa sana mtu lengwa