Kb Ulayaulaya
JF-Expert Member
- Jan 5, 2023
- 727
- 1,059
Mkuu,pole sana.
Mnatamani ccm kuwa na watu wenye IQ kama yeye ila bahati mbaya mmejazana vilaza,chawa,vizabinazabina,wachumia tumbo,watu wasiojielewa,wajingawajinga,mizugo ya taifa.
Kiufupi ni hasara ya taifa..
Umbeni mungu,isitokee.kuna watu itabidi wanyongwe kwq uhaini.
Unateseka ukiwa wapi mkuu😂😂😂😂