Tundu Lissu ni mwanasiasa wa maneno matupu kwasababu hakuna maendeleo aliyopeleka Singida tangu apate Ubunge

Mr Why

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
2,235
Reaction score
4,252
Tundu Lissu ni mwanasiasa wa maneno matupu kwasababu hakuna maendeleo aliyopeleka Singida tangu apate Ubunge

Nikawaida Mbunge kupeleka maendeleo jimboni kwake lakini kwa Lissu imekuwa tofauti
Wahenga wanasema mkono mtupu haulambwi
 
Mbunge anakusanya kodi? Mbuge yupi kapeleka maendeleo jimboni kwakwe? Kwa fedha zipi?
Idadi kubwa ya Wabunge wamepeleka maendeleo majimboni mwao mfano Shabiby na wengineo yeye maneno matupu
 
Tundu Lissu ni mwanasiasa wa maneno matupu kwasababu hakuna maendeleo aliyopeleka Singida tangu apate Ubunge

Nikawaida Mbunge kupeleka maendeleo jimboni kwake lakini kwa Lissu imekuwa tofauti
Wahenga wanasema mkono mtupu haulambwi

Alitakiwa achukue nyundo akavunje yale mamilima ya mawe ndio ionekane kafanya maendeleo? We mbunge wako ni nani na kafanya nini huko kwenu?
 
Tundu Lissu ni mwanasiasa wa maneno matupu kwasababu hakuna maendeleo aliyopeleka Singida tangu apate Ubunge

Nikawaida Mbunge kupeleka maendeleo jimboni kwake lakini kwa Lissu imekuwa tofauti
Wahenga wanasema mkono mtupu haulambwi
Mafisadi wa Mbowe karibuni mjimwaye mwaye uwanja ni wenu
 
Tundu Lissu ni mwanasiasa wa maneno matupu kwasababu hakuna maendeleo aliyopeleka Singida tangu apate Ubunge

Nikawaida Mbunge kupeleka maendeleo jimboni kwake lakini kwa Lissu imekuwa tofauti
Wahenga wanasema mkono mtupu haulambwi
You are purely an idiot. Development in a particular constituency are not brought by MP. MPs don't have fund to finance development activities.Wewe ndio wale Mbowe amewalipa kuja kuandika ujinga humu?
 
Yeye Lissu anaezijua amepeleka nini kwao zaidi za maneno matupu
Sio kazi yake kiufupi, kwani ana mabuldoza na makatapila ya kuchimbia mitaro? Mbunge gani kafanya na kafanya nini utuonyeshe hapa, hasa wa kwenu Kibajaji
 
You are purely an idiot. Development in a particular constituency are not brought by MP. MPs don't have fund to finance development activities
Sasa CCM wangepelekaje wakati alikua anawatusi
 
Tundu Lissu ni mwanasiasa wa maneno matupu kwasababu hakuna maendeleo aliyopeleka Singida tangu apate Ubunge

Nikawaida Mbunge kupeleka maendeleo jimboni kwake lakini kwa Lissu imekuwa tofauti
Wahenga wanasema mkono mtupu haulambwi

Nambie mbunge ambae kapeleka maendeleo ya kuridhisha jimboni kwake
 
CCM wakisikia mtu kama huyu wanafurahi sana na kutamba kama wanapendwa sana,mtu hata hajui majukumu ya mbunge anakuja kujidhalilisha hapa!
Tangu nchi hii ipate uhuru hakuna mbunge aliyepeleka maendeleo jimboni kwake hata Magufuli mwenyewe miaka 20 yote aliyokaa bungeni hakuna maendeleo alipeleka Chato akiwa kama mbunge lakini alivyopata Urais kwa miaka mitano tu alipeleka maendeleo haraka haraka labda angekuwa hai saa hizi Chato ingekuwa nusu Dar es Salaam,aliweza kuyafanya hayo yote katika kipindi kifupi kwa sababu alikuwa na madaraka ya kuamua pesa za serikali azipeleke wapi na kwenda kufanya jambo gani na hakuna mtu wa kumhoji.
 
Nambie mbunge ambae kapeleka maendeleo ya kuridhisha jimboni kwake
Hata kujenga Shule imemshida? Mwanasiasa gani ? Vipi hana hela ya kujenga hata wodi ya akina mama wajawazito?
 
Back
Top Bottom