Watu kama nyinyi ndio mnafanya Afrika izidi kudumaa.
Ndio miongozo inasema mbunge atapeleka maendeleo jimjmboni , ulisoma wapi ? Anawapa vibati 100 kuwahadaa
Kama anaweza kuleta maendeleo awajengee shule au hospitali .
Umasikini ndio unaotufa ya tushindwe haya kufikiri.
Jah people nae huwahadaa watu wake kama huyo Shabib. Hawana lolote.