Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Iko siku watakuja kugeukana.CCM Chama Cha Mafisadi
Mwambieni awarudishie michango ya bukubuku Watanzania aliowaomba kwenye kampeini.CCM Chama Cha Mafisadi
Ilitumika kwenye kamoeni, au mnadhani ile helikopta ilikuwa inatumia maji ya upako ya manabii Freemason wa CCM?Mwambieni awarudishie michango ya bukubuku watanzania aliowaomba kwenye kampeini
Hapa lisu anatamini angekuwa bungeni mana job alimwaga na kumnyima mapension yake .lisu watanzania walishampuuza bora akae kimya
Kama huna kazi ya kufanya bora upige mboji kuliko kusikilia hawa jamaa !!Bunge limekuwa kituko hakuna anayejielewa anaelifuatilia, halina maana tena kwa watanzania.
Tundu Lissu ana matatizo ya akiliAmeandika hivi katika akaunti yake ya twitter:
Ni ufisadi na ufujaji wa fedha za umma kwa Bunge kulipa mishahara na posho kwa watu ambao dunia nzima inafahamu hawana sifa ya kuwa wabunge kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania. Ipo siku wahusika wa ufisadi huu na wale wanaouwezesha watawajibishwa. Tuendelee kukusanya ushahidi.