Tundu Lissu: Ni ufisadi na ufujaji wa fedha za umma kwa Bunge kuwalipa watu ambao hawana sifa za kuwa wabunge

Rudisheni kwanza ruzuku ya hao
 
Haahaa huo ndo ushahidi? Wekeni ushahidi kwamba zimeingizwa chadema..
 
Subiri CAG akitua karibu na uchaguzi ujao kutoa ripoti mjiandae kuumbuka mnaliwa timing
 
Hapa Lissu anatamini angekuwa bungeni mana Job alimwaga na kumnyima mapension yake. Lissu watanzania walishampuuza bora akae kimya.
Unaona alitendewa sawa?
 
Lisu mwenyewe alitapei wazungu ohh mazingira yote yanaonyesha tutashinda na hata tukishindwa wananchi wako tayari kuingia barabarani kupindua nchi Godbless Lema ndie aliandaliwa kuwa kiongozi wa mapinduzi wa kumtangaza Lisu kama mshindi na ambaye wapinduaji chini ya kamanda wa mapinduzi Godles Lema wanamtaka!!!

Hela za watu kala Lisu pesa alizoibia wazungu kaweka bank Bahamas
 
LISSU aige Bobby Wine ama wewe uige watu wa UGANDA.
 

Lissu ajielekeze ktk masuala mapana, yenye umuhimu na uharaka kuliko hili suala.

Kwani kuwalipa wale wabunge watano wa Lowassa aliowahalalisha 2015;wakati yeye ni mwanasheria wa chama kuna tofauti gani.

Wale wote si walikuwa wana CCM waliopewa ubunge wa chadema? Walikuwa halali? Haukuwa ufisadi?

Tunataka kusikia agenda ya kusonga mbele sio hizi mark timings...

Kwa mfano, yeye kama makamu mwenyekiti amkumbushe mwenyekiti kuandaa mkakati wa miaka mitano ijayo.

AGM iitishwe na kuupitisha ili uanze kutekelezwa kabla ya 2022.

Otherwise covid19 na covid19+ hawana tofauti kubwa.
 
Subiri CAG akitua karibu na uchaguzi ujao kutoa ripoti mjiandae kuumbuka mnaliwa timing

Anasubiri mpaka wakati wa uchaguzi kama si utoto ukubwani ni nini?
 
Mbowe, Mnyika kimyaaaaaa..... Wanapiga zaidi ya mil. 100 kila mwezi Kama hawajui kinachoendelea vile, huku nyie mmekomaa na tweet za Lissu.

..siyo kweli.

..Mnyika hakupeleka majina kwa viti maalum kwa Tume ya Uchaguzi.

..Mbowe amesema kuna jinai imetendeka ktk kulazimisha uteuzi wa wabunge wa viti maalum toka Chadema.
 
Tundu Lissu ana matatizo ya akili
Angehoji kwanza chama chake kwa nini kinakula ruzuku itokanayo na uchaguzi haramu
Maamuzi ya Mbowe ndio maamuzi ya chama,kwa maana Mbowe ndio Chadema.
Hawa akina Lissu ni wapita njia tu.
 
Mwenzie Bobwine anapigania mle mle yeye kalala mbele katuacha tuliompigia kura.

Awaache tu hao wamama wafanye wanachoona, alitaka wakale wapi njaa hii ya bongo.
 
Nadhani ilikuwa busara kwa Lisu kuwasihi wanachama wake wakiongozwa na mwenyekiti wa Baraza la wanawake taifa Halima Mdee kuacha ubunge huo wa viti maaalum sasa kama yeye na mwenyekiti wameshindwa kuwazuia viongozi wenzao tena viongozi wandamizi.

Ni bora Mbowe na Lisu wangejiuzulu nafasi zao kwa fedheha iliyo tokea. ni wazi kabisa Mwenyekiti Mbowe na makamu wake Lisu wamedharauliwa na kuonekana hawana uwezo ktk nafasi zao.

ni bora wang'atuke kuliko kuendelea kufedheheka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lissu akae afanye maisha yake tu aachane na mambo ya siasa daa.
Ashukuru mungu alimwokoa ajifanyie mambo mengne uweezo was kusumbua serikali Hana atapata msongo wa mawazo bure
Ndugu unaona hii ni sawa
 
Muhuni arudi bongo aje awashtaki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…