Sasa hilo swali si analifaham mwamba tuvushee??Usituletee taarabu kwenye maswali ya msingi.
Mwisho mtasema Mbowe na mkewe walikua Chato kwa chakula cha jioni.hivi unaweza kukaa kupoteza muda kulifikiira hilo ? mbowe anajuwa kila kitu katibu muuu alikuwa hakushirikishwa ndiyo maana akakurupuka mbona sasa wamekaa kimya wanashindwa nini kujadiri rufaa yao siku zina songa mwamba anakula hela ya kila mwezi kwa wabunge wengine mtatoa mimacho mpaka kufikia 2025 mtakuwa mmechokaaa hata kampeni hamtaweza
🤛🏾Hao ni taswira ya kiburi cha madaraka ya urais ndio maana wako humo bungeni.
Malibu tafadhali kwa wajuzi wa mambo na kipengele cha katiba ,inasemaje juu ya huli.Wajuzi wa Sheria na Katiba wanisaidie.
Nijuavyo huwezi kuwa Mbunge, Rais, Diwani bila kuwa na chama labda uteuliwe na Rais au vinginevyo....
Ushahidi ndiyo huu, kama hyjui kywa ni mgonjwa wewe ndiye mgonjwaxsasa muko wawiliWeka ushahidi hapa mkuu Sio umbeya...