Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza Wananchi barabarani

 
Kwani tulipoingia barabarani kwenye mapokezi yake ilikuwa Tanzania au ubelgiji??
 
Anayesema kajisaidieni kwa DC, atampatia mama yake mzazi mwanaume ndo presidential Material???
Sikiliza sifa za mwanaume huyu anayeitwa Magufuli,mnatuletea mtu unproven,erratic na unstable.Ninyi bure kabisa.Te,te,te,te,te...Kweli nimeamini wajinga ndio waliwao.Si afadhali mngemchagua hata yule mtoto wa Wamarekani,labda wajinga wachache wanao-husudu Wamarekani wangemchagua.


 
Interest za mabeberu ni zipi??? Au umekaririshwa tu mambo ya kusema humu hapo Lumumba??
Jibu maswali niliyouliza,hela alizotumia Ulaya kwa miaka miwili kwa matibabu na matumizi mengine kapata wapi?
 
Ununue zile diaper za kutosha usije ukasema hatukukuonya.. maana nyie akili zenu kuku anasubiri.
Kwani shida iko wapi??? Ili ukombozi wa kweli upatikane lazima wengine tuumie. Ujumbe wetu mwaka huu ndo huo. Kama kushinda mshinde kihalali, mkiiba jiandaeni kutuua wote alafu muishie ICC Kama Laurent Ghabgo
 
Anamtishia mtu ambaye moyo wake uliisha kuwa sugu !!
Yeye ajiandae tu ki ukweli atashindwa vibaya sana, na akileta fyoko atapigika kweli kweli kuanzia yeye mpaka hao wafuasi wake.

Napenda sana Mh. saana Mwenyekiti wangu Magufuli apate tena nafasi kwa miaka 5 kumalizia ngwe yake.

Shauku yangu kubwa ni ili apate kumalizia miradi aliyoianzisha. Haijalishi amebana vipi watu, ila awamu ya pili anapaswa kulenga watu sio vitu na huku akimalizia projects zake.

ILA pia namkubali sana Lissu, uwepo wake ni muujiza unaoishi, na kawaida muujiza huwa hautokei tu kwa bahati mbaya, bali ipo sababu na kusudi.

Nimalizie kuwakumbusha wanaLumumba wenzangu kuwa MUNGU anaishi, anaamua, na yule aliyemridhia ndiye atakayepita.

Wakati wa Mungu unapofika, hakuna cha kuzuia lililo lake (Rejea Mhubiri 9:11).
 
Kwani shida iko wapi??? Ili ukombozi wa kweli upatikane lazima wengine tuumie. Ujumbe wetu mwaka huu ndo huo. Kama kushinda mshinde kihalali, mkiiba jiandaeni kutuua wote alafu muishie ICC Kama Laurent Ghabgo
Ukombozi wa kuwa wanaume wageuzane walane viboga ndio unaita ukombazi wa kweli ...ninamashaka na jinsia yako au ndio wale no gender .
 
Safari hii ni bampa kwa bampa, mkifanya ule ujinga kama wa LUBUVA tunaingia barabarani ili tumtoe kwa nguvu huyo jemedari wenu kama LAURENT GBAGBO.
 
Huyu ndio aina ya mpinzani tuliomsubiri kwa mda mrefu.

Go Lissu, Lissu go we are after you.
 
Angesema nikiibiwa kura namuachia Mungu hapo ndy CCM wangeitika aleluya na I we hivyo.mwaka huu tutashuudia maajabu mawili.Mungu kuiondoa korona na huyohuyo kuhakikisua mshindi wa kweli anatangazwa.Mungu aliwashinda wasiojulikana Leo kafukuza korona halafu mtu alete mchezo.
 
Hataweza Fanya lolote huyu na kama anaamini kuwa atakuwa rais basi amepotea sana,
 
Kachangiwa na sie watanzania wazalendo kweli
Mna ubavu huo.Anyway kama kweli atuletee uthibitisho.Hata hivyo ukweli ni kwamba kapewa na mabeberu.Na kama ni hivyo,atawalipaje?Narudia tena,hafai ataiuza nchi.
 
Keki ya taifa inamanufaa kwa watanzania wote?, Hao unaowatete wamefanya Jambo gani la msingi kwa mwananchi,hatari ipo kwa wananchi kwa maneno aliyotamka sema tunachotaka ni maendeleo thabiti tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…