Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Kikubwa msiibe kura basi. Mwaka huu kura zinapigwa vituoni, tunazilinda na matokeo yote yanatangazwa vituoni. Ni ngazi zote udiwani, ubunge hadi uraisi.Hataweza Fanya lolote huyu mpuuzi,na kama anaamini kuwa atakuwa rais basi amepotea sana,
Utani na kazi,hamna ubaya.Kama Lissu sio presidential material Magu anayeropoka kumpa mama yake mzazi mwanaume baada ya kupewa jogoo yeye ni nani??!
Akuletee uthibitisho wewe kama nani??? Tumemchangia watanzania kwa upendo wetu kama tulivyowachangia kina mbowe kwenye kesi mliyowafunga kidhalimu mahakamani kisutu na tukawatoa gerezaniMna ubavu huo.Anyway kama kweli atuletee uthibitisho.Hata hivyo ukweli ni kwamba kapewa na mabeberu.Na kama ni hivyo,atawalipaje?Narudia tena,hfai ataiuza nchi.
Ndugu yaangu una imani nzuri kwa Mungu.Napenda sana Mh. saana Mwenyekiti wangu Magufuli apate tena nafasi kwa miaka 5 kumalizia ngwe yake.
Shauku yangu kubwa ni ili apate kumalizia miradi aliyoianzisha. Haijalishi amebana vipi watu, ila awamu ya pili anapaswa kulenga watu sio vitu na huku akimalizia projects zake.
ILA pia namkubali sana Lissu, uwepo wake ni muujiza unaoishi, na kawaida muujiza huwa hautokei tu kwa bahati mbaya, bali ipo sababu na kusudi.
Nimalizie kuwakumbusha wanaLumumba wenzangu kuwa MUNGU anaishi, anaamua, na yule aliyemridhia ndiye atakayepita.
Wakati wa Mungu unapofika, hakuna cha kuzuia lililo lake (Rejea Mhubiri 9:11).
Utani kusema unampelekea mama yako mzazi mwanaume tena mbele za watu baada ya kupewa tu jogoo??? Tunatania kwenye dada zetu na watoto zetu sio mama zetu wazaziUtani na kazi,hamna ubaya.
Mje kwa wingi barabarani ile muione CORONA HALISI inavyofanya kazi.Safari hii ni bampa kwa bampa, mkifanya ule ujinga kama wa LUBUVA tunaingia barabarani ili tumtoe kwa nguvu huyo jemedari wenu kama LAURENT GBAGBO.
The erratic,unstable and emotional Lissu.The Great LISSU
Serikali wala haikuwahi kuwa na shida na karoho kake.Maalim Seif angekuwa na moyo wa aina hii, Zanzibar kingekwisha eleweka tayari. Na ndio maana watawala walitaka ufe. Wanakujua vizuri.
Anasema akiibiwa. Atashindwa ki halali kabisa. Ni mgombea mzuri, lkn timing yake ndo ina shida. Angesubiri magufuri amalize muda wake ili aje apambane na atakaye kuja. Kwa nini magufuri?Hiyo ndio Kauli ya Mh Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye uchaguzi mkuu mwezi October 2020. Ataingiza watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake.
View attachment 1526711
My take: Ni mapema Sana kwa mgombea urais kutoa kauli Kama hii si kiashiria kizuri. Anataka kutuaminisha kuwa hata ikitokea ameshindwa kihalali tuamini kuwa kaibiwa kura ili atimize azima yake.
Uongozi wa CHADEMA umshauri huyu mgombea kauli hizi hazifai kwa usalama wa nchi yetu.
Unaujua utani wa Wasukuma, Wazilaghembe nk.wewe?Acha kujifanya unajua kila kitu.Utani kusema unampelekea mama yako mzazi mwanaume tena mbele za watu baada ya kupewa tu jogoo??? Tunatania kwenye dada zetu na watoto zetu sio mama zetu wazazi
Hiyo ndio Kauli ya Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi October 2020.
Tundu Lissu amepitishwa na CHADEMA kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho. Lissu amenukuliwa akisema ataingiza Watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake.
My Take: Ni mapema sana kwa Mgombea wa Urais kutoa kauli kama hii si kiashiria kizuri. Anataka kutuaminisha kuwa hata ikitokea ameshindwa kihalali tuamini kuwa kaibiwa kura ili atimize azima yake.
Uongozi wa CHADEMA umshauri huyu mgombea kauli hizi hazifai kwa usalama wa nchi yetu.
Ahaa,sawa.Hivi unafikiri nchi anapewa mtu yeyote.Kama unadhani ni hivyo you are wrong.Maalim Sefu kiko wapi,miaka nenda miaka rudi si anahangaika tu.Kama Lissu sio presidential material Magu anayeropoka kumpa mama yake mzazi mwanaume baada ya kupewa jogoo yeye ni nani??!
mbona kaongea vizuri tu,majambazi wanawewesekaHiyo ndio Kauli ya Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi October 2020.
Tundu Lissu amepitishwa na CHADEMA kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho. Lissu amenukuliwa akisema ataingiza Watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake.
My Take: Ni mapema sana kwa Mgombea wa Urais kutoa kauli kama hii si kiashiria kizuri. Anataka kutuaminisha kuwa hata ikitokea ameshindwa kihalali tuamini kuwa kaibiwa kura ili atimize azima yake.
Uongozi wa CHADEMA umshauri huyu mgombea kauli hizi hazifai kwa usalama wa nchi yetu.
Tundu kwanza ni muoga utafikiri mtoto wa kike.AJE ATANGULIE YEYE AKUMBANE NA VIRUNGU VYA MAMBOSASA ARUDI TENA UBERJIJI KUJIUZA
Hata hii ina ukakasi kidogoAcheni kumlisha maneno
Alisema hivi na Nukuu
"Mimi sio yule wa kusema namwachia Mungu"
Na ID yako inatoa ruhusa kufanyiwa ufyonso, utafanyiwa siku hiyo ukipona unaenda kwa Gwajima[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Lisu ndo mjumbe sasa wa ku deal na Magufuli.
Na hizi ndo mbinu za wajumbe sasa. Ukiiba kura ni spana tu tunaingia road.
Unatoa hutoi
Aaah. Inabidi sasa nisikilize mwenyewe.Mleta mada wewe ndo wale watu mnasikilizaga habari kwa mihemuko, Ni Wapi ulisikia TL akitamuka maneno hayo.
Nanukuu alichokisema; "Tuchague mgombea ambae atakuwa na uwezo pamoja na Utayari wa kuwaingiza wananchi barabarani pale itakapohitajika" TL.
Je Umeona kaongelea nafsi hapo au ndo unatumia makalio kuelewa.
Hakuna anayetetewa, msingi wa keki ya Taifa ni amani na utulivu.Keki ya taifa inamanufaa kwa watanzania wote?, Hao unaowatete wamefanya Jambo gani la msingi kwa mwananchi,hatari ipo kwa wananchi kwa maneno aliyotamka sema tunachotaka ni maendeleo thabiti tu