Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza Wananchi barabarani

Wakili anajua atashindwa na atachezea fimbu za kutosha baada ya uchaguzi anatafuta wa kufa nao.
 
October usije ukapotea hapa au kulalamika tuuu tumeibiwa. Ukiweza kubaliana na Msaliti Lissu uingie barabarani uone cha mtema kuni.
Mimi siyo limbukeni kama wewe uliyejiunga jf baada ya uchaguzi wa 2015 kisa babu yako
 
Ndio type ya mgombea anayeyetakiwa kwenda jino kwa jino na ccm sio kama wakina fisadi lowassa.

Magufuli ashinde uchaguzi ulio huru na haki otherwise akitumia ujanja ujanja mwaka huu ndio kwaheri yake. hakuna jeshi litakalo mlinda ajipange kweli.
JPM hawezi kushindwa na Kikaragosi/Vikaragosi, hakuna rais yoyote wa Tanzania aliyeweza kukusanya kodi na kuwawezesha Watanzania kutembea kufua mbele. Nobody aliyewaambia wazungu kwamba sisi ni tajiri and they can go to hell. Nobody aliyeweza kufanya uchumi wetu utengemae na kuweza kujiamulia mambo yetu bila kungoja kusikiliza London, Washington, Berlin au Paris watasema nini. That is not a small issue hivi sasa ni wapinzani ambao wanaona aibu na kujiuliza kulikoni. Mwacheni JPM awe JPM na vikaragosi wabaki kuwa vikaragosi.
 
Hatuwezi kuishi katika nchi yetu kwa mateso na manyanyaso kama ambavyo magufuli na ccm wanatufanyia kwani sisi upinzani sio watu?
 
Kuliko jiwe!!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Uchaguzi wa mwaka huu si rahisi na mpaka sasa mpinzani anayefaa ni Lissu maana roho ya uoga imeshamtoka JIWE lazima uende nae jino kwa jino maana hana maana.
 
Ccm kwa hali haitashinda angalia kauli za Mutungi na kaijage
 
Mgombea wa aina hii tumemsubiri kwa miaka mingi sana, policcm waandae maji ya kuwasha ya kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…