Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,681
- 8,241
''Kabla hujafa hujaumbika.''Acheni kumlisha maneno
Alisema hivi na Nukuu
"Mimi sio yule wa kusema namwachia Mungu"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
''Kabla hujafa hujaumbika.''Acheni kumlisha maneno
Alisema hivi na Nukuu
"Mimi sio yule wa kusema namwachia Mungu"
Kura kujiandikisha ukipiga? Hilo eneo huwa mnalisahau sanaIli tusiingie barabarani usiibe kura. haaa haaaa tricky
Hilo amekuachia wewe ulifuatilie.uyu jamaa nilijua akija nchini suala la kwanza ni kufaitilia ishu yake ya kupigwa risasi
Mimi siyo limbukeni kama wewe uliyejiunga jf baada ya uchaguzi wa 2015 kisa babu yakoOctober usije ukapotea hapa au kulalamika tuuu tumeibiwa. Ukiweza kubaliana na Msaliti Lissu uingie barabarani uone cha mtema kuni.
Wakili anajua atashindwa na atachezea fimbu za kutosha baada ya uchaguzi anatafuta wa kufa nao.
JPM hawezi kushindwa na Kikaragosi/Vikaragosi, hakuna rais yoyote wa Tanzania aliyeweza kukusanya kodi na kuwawezesha Watanzania kutembea kufua mbele. Nobody aliyewaambia wazungu kwamba sisi ni tajiri and they can go to hell. Nobody aliyeweza kufanya uchumi wetu utengemae na kuweza kujiamulia mambo yetu bila kungoja kusikiliza London, Washington, Berlin au Paris watasema nini. That is not a small issue hivi sasa ni wapinzani ambao wanaona aibu na kujiuliza kulikoni. Mwacheni JPM awe JPM na vikaragosi wabaki kuwa vikaragosi.Ndio type ya mgombea anayeyetakiwa kwenda jino kwa jino na ccm sio kama wakina fisadi lowassa.
Magufuli ashinde uchaguzi ulio huru na haki otherwise akitumia ujanja ujanja mwaka huu ndio kwaheri yake. hakuna jeshi litakalo mlinda ajipange kweli.
AAA thubutuuuuuuu.nakwambia kampeni itanoga natabiri lissu atakamatwa kabla ya muda wa kampeni kuisha.Lisu ni wepesi sana siku 21 atatulia utanikumbuka
Ccm kwa hali haitashinda angalia kauli za Mutungi na kaijageHiyo ndio Kauli ya Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi October 2020.
Tundu Lissu amepitishwa na CHADEMA kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho. Lissu amenukuliwa akisema ataingiza Watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake.
My Take: Ni mapema sana kwa Mgombea wa Urais kutoa kauli kama hii si kiashiria kizuri. Anataka kutuaminisha kuwa hata ikitokea ameshindwa kihalali tuamini kuwa kaibiwa kura ili atimize azima yake.
Uongozi wa CHADEMA umshauri huyu mgombea kauli hizi hazifai kwa usalama wa nchi yetu.
Hizi ndo sababu why they wanted to kill him the very first time Thank you Load Keep the man alive he shall serve the nationYes tunahitaji Lissu wengine kama 50 hivi.
Mgombea wa aina hii tumemsubiri kwa miaka mingi sana, policcm waandae maji ya kuwasha ya kutosha.Hiyo ndio Kauli ya Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi October 2020.