Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza Wananchi barabarani

Ndio type ya mgombea anayeyetakiwa kwenda jino kwa jino na ccm sio kama wakina fisadi lowassa.

Magufuli ashinde uchaguzi ulio huru na haki otherwise akitumia ujanja ujanja mwaka huu ndio kwaheri yake. hakuna jeshi litakalo mlinda ajipange kweli.
CCM kwa miaka mingi wametuonea sana. Hadi Greenguard kushambulia watu.
 
Umeweka rekodi sawa.
 
Unamlisha maneno ya Uongo . Huo ni woga tu unakusumbua. Siasa zimebadilika ghafla ujio wa Lissu.
 
Aanze yeye na mke wake kuingia barabarani wamalizie kazi. Anajua kabisa hawezi kushinda
 
Aache uongo,mi najua Magufuli atapiga kampeni kutetea wabunge wake lakini Lissu hawezi kushinda,kwa mfano kule Hai nilitembelea kipindi flani Mbowe akiwa ni mgombea Ubunge Kikwete Urais na Slaa alikuwa CHADEMA nadhani,nilishangaa mwananchi wa kijijini kabisa anasema Ubunge Nampa Mbowe lakini Urais ni Kikwete,nikamuuliza si uwapigie tuu CHADEMA kote ,akasema weeee!CHADEMA haiwezi kushinda Urais.
 
Hayo ni maoni yangu mimi soma vizuri utaelewa mkuu
Maoni yako yanaruhusiwa, ila yatokane na hoja halisi iliyonukuliwa. Kumbuka kuna conditional sentence "nikiibiwa kura..."
 
Amri ya VIII. Usiibe.
 
Anamtishia mtu ambaye moyo wake uliisha kuwa sugu !!
Yeye ajiandae tu ki ukweli atashindwa vibaya sana, na akileta fyoko atapigika kweli kweli kuanzia yeye mpaka hao wafuasi wake.
Kunywa bia naja lipa ndugu
 
Natamani sana hili litokee,nilivyo na usongo na hawa ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…