Wanataka kama Lowasa. Eti tumwachie Mungu.Huyu ndio anafaa kulingana na nyakati tulizonazo leo hii.
Kinachotakiwa hapa ni uchaguzi huru kila mtu aridhike na mazingira ya uchaguzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanataka kama Lowasa. Eti tumwachie Mungu.Huyu ndio anafaa kulingana na nyakati tulizonazo leo hii.
CCM kwa miaka mingi wametuonea sana. Hadi Greenguard kushambulia watu.Ndio type ya mgombea anayeyetakiwa kwenda jino kwa jino na ccm sio kama wakina fisadi lowassa.
Magufuli ashinde uchaguzi ulio huru na haki otherwise akitumia ujanja ujanja mwaka huu ndio kwaheri yake. hakuna jeshi litakalo mlinda ajipange kweli.
Magu katuonea sana na siasa zake za mitutu. Sasa kapata mbabe wake.Kwa siasa za Magufuli Lisu ndio saizi yake.
Umeweka rekodi sawa.Mleta mada wewe ndo wale watu mnasikilizaga habari kwa mihemuko, Ni Wapi ulisikia TL akitamuka maneno hayo.
Nanukuu alichokisema; "Tuchague mgombea ambae atakuwa na uwezo pamoja na Utayari wa kuwaingiza wananchi barabarani pale itakapohitajika" TL.
Je Umeona kaongelea nafsi hapo au ndo unatumia makalio kuelewa.
Utalipwa na ccmAna hela ya kutulipa tuingie barabarani?
Unamlisha maneno ya Uongo . Huo ni woga tu unakusumbua. Siasa zimebadilika ghafla ujio wa Lissu.Hiyo ndio Kauli ya Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi October 2020.
Tundu Lissu amepitishwa na CHADEMA kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho. Lissu amenukuliwa akisema ataingiza Watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake.
My Take: Ni mapema sana kwa Mgombea wa Urais kutoa kauli kama hii si kiashiria kizuri. Anataka kutuaminisha kuwa hata ikitokea ameshindwa kihalali tuamini kuwa kaibiwa kura ili atimize azima yake.
Uongozi wa CHADEMA umshauri huyu mgombea kauli hizi hazifai kwa usalama wa nchi yetu.
Aanze yeye na mke wake kuingia barabarani wamalizie kazi. Anajua kabisa hawezi kushindaHiyo ndio Kauli ya Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi October 2020.
Tundu Lissu amepitishwa na CHADEMA kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho. Lissu amenukuliwa akisema ataingiza Watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake.
My Take: Ni mapema sana kwa Mgombea wa Urais kutoa kauli kama hii si kiashiria kizuri. Anataka kutuaminisha kuwa hata ikitokea ameshindwa kihalali tuamini kuwa kaibiwa kura ili atimize azima yake.
Uongozi wa CHADEMA umshauri huyu mgombea kauli hizi hazifai kwa usalama wa nchi yetu.
Hata polisi walikuwa wanataka mtu kama huyu unadhani wao wanaridhishwa na hii hali??Moto wa Lissu utaunguza wezi wa kura
Ndio hawezi kushinda, ila msiibeAanze yeye na mke wake kuingia barabarani wamalizie kazi. Anajua kabisa hawezi kushinda
wanalipwa mishahara duni kama waasi waishio msituni kumbe ndio wanalilinda dolaHata polisi walikuwa wanataka mtu kama huyu unadhani wao wanaridhishwa na hii hali??
We acha tu yaaniwanalipwa mishahara duni kama waasi waishio msituni kumbe ndio wanalilinda dola
Wewe inakuhusu nini?
Maoni yako yanaruhusiwa, ila yatokane na hoja halisi iliyonukuliwa. Kumbuka kuna conditional sentence "nikiibiwa kura..."Hayo ni maoni yangu mimi soma vizuri utaelewa mkuu
Amri ya VIII. Usiibe.Hiyo ndio Kauli ya Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi October 2020.
Tundu Lissu amepitishwa na CHADEMA kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho. Lissu amenukuliwa akisema ataingiza Watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake.
My Take: Ni mapema sana kwa Mgombea wa Urais kutoa kauli kama hii si kiashiria kizuri. Anataka kutuaminisha kuwa hata ikitokea ameshindwa kihalali tuamini kuwa kaibiwa kura ili atimize azima yake.
Uongozi wa CHADEMA umshauri huyu mgombea kauli hizi hazifai kwa usalama wa nchi yetu.
Kunywa bia naja lipa nduguAnamtishia mtu ambaye moyo wake uliisha kuwa sugu !!
Yeye ajiandae tu ki ukweli atashindwa vibaya sana, na akileta fyoko atapigika kweli kweli kuanzia yeye mpaka hao wafuasi wake.
Natamani sana hili litokee,nilivyo na usongo na hawa ccmHiyo ndio Kauli ya Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi October 2020.