Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza Wananchi barabarani

Watu hata kwenye kupiga kura hawakwenda kwa sababu matokeo huwa hayabadiliki yanajulikana, matumaini ya mabadiliko yalitakiwa yatokee ile 2015 ila hayakutokea, sasa watu hao utawaingiza vp barabarani et ili kupinga matokeo wakati miaka yote matokeo ndio yaleyale walishajua ndio maana hawakusumbuka kwenda kupanga foleni.

Labda uwaingize watu barabarani kwenda kudai hiyo tume huru hapo ndio itakuwa jambo la maana.
 
Point
 
Alijua atashindwa, anaticket ya kuondoka kurejea kwao.
 
Twendeni tukaungane na Lissu, Mbowe, Moses na wengine wote pamoja na wake zao na watoto KWENYE MAANDANAMO, kama ikishindikana basi TUANDANAMANE humu JF, Twitter, Instagram na kwenye mibarua ya BOB! Tuko pamoja sana!
 

Tukome kuwaongelea watu wengine. Kama vile tuna makubaliano nao. Nani wa kuandamana? Na kwanini aandamane? Katibampya yenye kujari maslahi mapana ya Tanzania, na uzalendo.

TL na wale wazungu wake anategemea atapewa nchi bure bure tu? Ili tuuzane tena? Kwani tumewasahau Carl Peters na wenzake, walivyomtenda Chief Mangungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…