Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Wabongo sio watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo na tuko tayari ila watangulie kwanza viongozi wetu na familia zao wakiwa na watoto na wake zao na sisi tutafuatia nyuma yao.Mliosema mtaingia barabarani mko wapi sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23]Tupo na tuko tayari ila watangulie kwanza viongozi wetu na familia zao wakiwa na watoto na wake zao na sisi tutafuata nyuma yao.
Udikteta uleule uliotumika kuiba, kuchakachua na hadi kutangaza matokeo fake ndiyo uleule uliotumia mtutu wa BUNDUKI KUZUIA MAANDAMANO YA AMANI!!!!Uchaguzi umeisha na hajawaingiza barabarani it mean hajaibiwa.
Safi sana
Twendeni tukaungane na Lissu, Mbowe, Moses na wengine wote pamoja na wake zao na watoto KWENYE MAANDANAMO, kama ikishindikana basi TUANDANAMANE humu JF, Twitter, Instagram na kwenye mibarua ya BOB! Tuko pamoja sana!
Maandamano ya amani ya kuiondoa silikali.Udikteta uleule uliotumika kuiba, kuchakachua na hadi kutangaza matokeo fake ndiyo uleule uliotumia mtutu wa BUNDUKI KUZUIA MAANDAMANO YA AMANI!!!!
Tupo na tuko tayari ila watangulie kwanza viongozi wetu na familia zao wakiwa na watoto na wake zao na sisi tutafuatia nyuma yao.
Trump ambae hajanusa ikuluLissu ni Trump wa kiafrika.
Yupi?? Huyu wa kukimbilia ubalozini???Huyu ndio anafaa kulingana na nyakati tulizonazo leo hii.
Nyie ndo mabingwa mkiwa mitandaoni, mwenzako kakimbilia ubalozini!!!! Sasa anawachuza watoto wa maskiniNdio type ya mgombea anayetakiwa kwenda jino kwa jino na ccm sio kama wakina fisadi lowassa.
Magufuli ashinde uchaguzi ulio huru na haki otherwise akitumia ujanja ujanja mwaka huu ndio kwaheri yake. hakuna jeshi litakalo mlinda ajipange kweli.
Fungueni basi mitandao,woga wa nini?kweli hii ni tz kipindi cha kampeni utafikiri nchi tutapigana wenyewe kama somalia
Tayari tushafunguaFungueni basi mitandao,woga wa nini?
Watz wanajulikana hatuna uthubutu huo ,tutaishia humu humu jf kupiga zogo ndio uhalisia huo japokuwa wengi wataukataaFungueni basi mitandao,woga wa nini?
Sawa,ila mimi ninachosema woga wa nini wakati wameshinda kwa kishindo!Wafungue mitandao tuendelee na maisha yetu ya kawaida!Watz wanajulikana hatuna uthubutu huo ,tutaishia humu humu jf kupiga zogo ndio uhalisia huo japokuwa wengi wataukataa
Hatutaki kelele tumewafungulia barabara mmekimbia mnataka tu kutupigia kelele mitandaoniFungueni basi mitandao,woga wa nini?