Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Elekeza antena mjini ukamate tbcU better!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elekeza antena mjini ukamate tbcU better!
Mhe mtu makini vipi mkuu wangu na wewe umesaliti amri ya kuandamana?
Nadhani umeuona sasa msimamo wa watanzania walio wengi, kwanza wamekataa kulinda Kura vituoni pili wamekataa kwenda barabarani kuandamana wakati wanajua waliye mchagua ni nani.Maandamano hayafanywi na mtu mmoja.
Nadhani umeuona sasa msimamo wa watanzania walio wengi, kwanza wamekataa kulinda Kura vituoni pili wamekataa kwenda barabarani kuandamana wakati wanajua waliye mchagua ni nani.
Ndo ujue kuwa watanzania si wajinga na hawashikiwi akili kiasi hicho.
Wewe ndio uone aibu, watanzania Kama kweli walimchagua Lissu kwa wingi huo kisha kura zao kupewa Magu wasingesita kuingia barabarani.Ona aibu kusema watanzania, 2/3 ya watanzania hawakupiga Kura. Na hiyo 1/3 wote hawakumpa Magufuli, achia mbali kura za kwenye mabeg tulizoona kwa macho yetu. Watanzania sio kwamba wameridhika, ila ni waoga wa kupigwa risasi, kwa maagizo ya viongozi madhalimu.
Wewe ndio uone aibu, watanzania Kama kweli walimchagua Lissu kwa wingi huo kisha kura zao kupewa Magu wasingesita kuingia barabarani.
Tusidanganyane hapa mkuu watanzania wamemkataa huyo unaye muita shujaa. Wamempuuza yeye pamoja na maagizo yake yote mchana kweupe.
Dooh!! Nimecheka sana mkuu, hivi kwani tangu lini na ni uchaguzi upi ambao watu wote walio jiandikisha wakapiga Kura?Ni hivi, 2/3 ya watanzania hawakushiriki huo ushenzi uitwao uchaguzi. Ule haukuwa uchaguzi, bali yalikuwa maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura fullstop.
Kura za wizi tumeziona kwa macho yetu.Dooh!! Nimecheka sana mkuu, hivi kwani tangu lini na ni uchaguzi upi ambao watu wote walio jiandikisha wakapiga Kura?
Na hata Kama hawakupiga wote basi hao walio piga maamuzi yao yaheshimiwe mana hakuna aliye wakataza hao wengine kupiga kura.
Na nakumbuka Kuna siku uliwahi kusema humu kuwa huto piga Kura basi nadhani wewe pia ulichangia huyu mgombea wetu pendwa kupata Kura ml 1 ulimpuuza Kama walivyo mpuuza wengine.
Kwani zote 12m ni za wizi? Au unataja hiyo figure ili kupoteza ukweli ulipo?Kichekesho cha kuibiwa kura ml 12 duh hii ni kali ya karne.
Mkuu unahangika na vilaza sana , kura milion 12 Kwa million 1 , yaan uibiwe kura milion 11 zote , tunadanganyana kweupe kabisa , ndo mana hata wazungu wanaona nothing kuingilia uchaguz , yaan uibiwe kura 11 milion how comes....wananchi wamempiga chini Tu huyo TL ukweli ambao hawataki kuusikiaWewe ndio uone aibu, watanzania Kama kweli walimchagua Lissu kwa wingi huo kisha kura zao kupewa Magu wasingesita kuingia barabarani.
Tusidanganyane hapa mkuu watanzania wamemkataa huyo unaye muita shujaa. Wamempuuza yeye pamoja na maagizo yake yote mchana kweupe.
Kwanza aanze yeye na mkewe na wanae,labda atawaingiza barabarani Wabeligiji lakini sio Watanzania,hana ushawishi huo.Hiyo ndio Kauli ya Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi October 2020.
Tundu Lissu amepitishwa na CHADEMA kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho. Lissu amenukuliwa akisema ataingiza Watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake.
My Take: Ni mapema sana kwa Mgombea wa Urais kutoa kauli kama hii si kiashiria kizuri. Anataka kutuaminisha kuwa hata ikitokea ameshindwa kihalali tuamini kuwa kaibiwa kura ili atimize azima yake.
Uongozi wa CHADEMA umshauri huyu mgombea kauli hizi hazifai kwa usalama wa nchi yetu.
Almost wote wanaodai kutakuwa kulikuwa na wizi wa kura ukimuuliza kama alipiga kura anadai hakupiga kwa sababu alijua hata angepiga kura yake isingebadili chochote. Sasa hapa ndo unazishangaa akili za wapinzani wa nchi hii, kura haujapiga ila unategemea mgombea wako ashinde! Nani amchague sasa wakati wewe umemsusia? Hawa watu mambo yao mengi hayamake senseDooh!! Nimecheka sana mkuu, hivi kwani tangu lini na ni uchaguzi upi ambao watu wote walio jiandikisha wakapiga Kura?
Na hata Kama hawakupiga wote basi hao walio piga maamuzi yao yaheshimiwe mana hakuna aliye wakataza hao wengine kupiga kura.
Na nakumbuka Kuna siku uliwahi kusema humu kuwa huto piga Kura basi nadhani wewe pia ulichangia huyu mgombea wetu pendwa kupata Kura ml 1 ulimpuuza Kama walivyo mpuuza wengine.
Tangu tarehe 28 anapita juu kwa juu kwa aibu MzeeOctober usije ukapotea hapa au kulalamika tuuu tumeibiwa. Ukiweza kubaliana na Msaliti Lissu uingie barabarani uone cha mtema kuni.
Hawezi kushinda, BELIEVE ME; let us wait 4 da results tuone.Hiyo ndio Kauli ya Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi October 2020.
Tundu Lissu amepitishwa na CHADEMA kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho. Lissu amenukuliwa akisema ataingiza Watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake.
My Take: Ni mapema sana kwa Mgombea wa Urais kutoa kauli kama hii si kiashiria kizuri. Anataka kutuaminisha kuwa hata ikitokea ameshindwa kihalali tuamini kuwa kaibiwa kura ili atimize azima yake.
Uongozi wa CHADEMA umshauri huyu mgombea kauli hizi hazifai kwa usalama wa nchi yetu.
Ni Bora angeamua tu Kusema, Mungu ndiye kila kituAcheni kumlisha maneno
Alisema hivi na Nukuu
"Mimi sio yule wa kusema namwachia Mungu"
Amewaachia mabeberuAcheni kumlisha maneno
Alisema hivi na Nukuu
"Mimi sio yule wa kusema namwachia Mungu"