Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza Wananchi barabarani

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza Wananchi barabarani

Ila naona kama unamlisha maneno kasema akiibiwa kura kwahiyo asipoibiwa hakutakuwa na tatizo.
 
Hiyo on my dead body walisha apa sana wenye akili kuliko wewe lkn mwisho wake wakawachwa midomo wazi, nini wewe kajamba nani?
Kwani kwao kule mkimbizi huyo aliyepewa kipindi maalum kustay.
eti leo kuna watu viazi wanazani huyu kiazi mbatata anaweza kuwa rais[emoji854].
in my dead body
 
uyu jamaa nilijua akija nchini suala la kwanza ni kufaitilia ishu yake ya kupigwa risasi
 
Hiyo ndio Kauli ya Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi October 2020.

Tundu Lissu amepitishwa na CHADEMA kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho. Lissu amenukuliwa akisema ataingiza Watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake.

My Take: Ni mapema sana kwa Mgombea wa Urais kutoa kauli kama hii si kiashiria kizuri. Anataka kutuaminisha kuwa hata ikitokea ameshindwa kihalali tuamini kuwa kaibiwa kura ili atimize azima yake.

Uongozi wa CHADEMA umshauri huyu mgombea kauli hizi hazifai kwa usalama wa nchi yetu.
Anasubiriwa naomba October iwahi hili nalo liishe!
 
Magufuli wamuongezee betri ya ziada huo moyo kwa kampeni za mwaka huu anaweza akautapika mshaurini.lissu siyo wa mchezomchezo.
 
Mada ya leo ni kuwa baada ya uchaguzi wa October, dunia itasimama kwa kitendo cha cdm kuitupia virago ccm
Nadhani tujikite kwenye mada ya leo mkuu.

Hayo ya kale tuyaache.
 
Tulisha sema huyu jamaa anahitaji "awekwe kitako" aelekezwe namna ya "ku behave" kama presidential candidate.
Too emotional move.
 
Acheni kumlisha maneno
Alisema hivi na Nukuu

"Mimi sio yule wa kusema namwachia Mungu"
Hata kama alisema yupo sahihi iwapo ataibiwa aingie tu mtaani maana jamaa hawataki kuwaepo tume huru
 
Ina maana nawewe ni kati ya watu wasiyo julikana?
Mimi tena nishakuwa sehemu ya wasio julikana anyway

Political Risk Insurance | Multilateral Investment Guarantee Agency | World Bank Group

Wasiojulikana walikerwa tu na upotoshaji wake eti tutaenda shitakiwa kwa insurance institution (MIGA) tuachane na ACCACIA.

https://www.miga.org/sites/default/..._in_the_Political_Risk_Insurance_Industry.pdf

MIGA wenyewe wanatumbua ☝ukitokea mgogoro wao sio mediators labda waombwe, otherwise mtatua wenu mgogoro kwa mujibu wa stabilisation clause iliyopo kwenye mkataba.

Mie nadhani CDM hasa JF branch mnachangia sana kwenye ku pump Lissu kuongea vitu ambavyo ni hatari ndani ya taifa lolote inafika hatua anaamua kutunga na uongo hili muendelee kumsifia hata nyakati sensitive kwa taifa. Na hilo ndio lililomponza Lissu mdomo wake mwenyewe.
 
Naona kawanyamazisha mataga wote, mnakesha mitandaoni kujaribu kuyazuia mafuriko kwa viganja.
October usije ukapotea hapa au kulalamika tuuu tumeibiwa. Ukiweza kubaliana na Msaliti Lissu uingie barabarani uone cha mtema kuni.
 
Hiyo ndio Kauli ya Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi October 2020.

Tundu Lissu amepitishwa na CHADEMA kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho. Lissu amenukuliwa akisema ataingiza Watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake.

My Take: Ni mapema sana kwa Mgombea wa Urais kutoa kauli kama hii si kiashiria kizuri. Anataka kutuaminisha kuwa hata ikitokea ameshindwa kihalali tuamini kuwa kaibiwa kura ili atimize azima yake.

Uongozi wa CHADEMA umshauri huyu mgombea kauli hizi hazifai kwa usalama wa nchi yetu.
Anajua atashindea ndo maana anajihami, pia hakuna mtanzania mjinga atakubali kuvunjwa miguu kisa lissu
 
Back
Top Bottom